viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. U

    JamiiForums Tanzania Naona si sawa Kwa Wananchi kulalamika posho za watumishi na Viongozi Gavoo

    Kwanini wananchi Huwa tunaumia bila sababu pale watumishi wa Serikali pamoja na baadhi ya viongozi wakiwa wanalipa posho. Mimi naona asilimia kubwa ya watanzania ni wakulima na wafanyabiashara , na wateja wengi wa biashara zetu ni watumishi, mkisema wasipewe posho hayo maduka , na biashara...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Siku maalumu: Kila wiki ya mwisho wa mwezi Viongozi wawe wanatembea kwa Miguu kwenda Ofisini na kurudi majumbani mwao

    Habari Tanzania !.. Naomba wananchi tuamue na tuanzishe utamaduni maalumu; kwa kila kiongozi wa Taifa wawe wanatembea kwa miguu kutoka mahali wanakoishi kwenda Ofisini na kurudi nyumbani kila wiki ya mwisho wa mwezi. Yaani Jumatatu mpaka Jumapili. Faida 1. Hii itawawezesha kupata uzoefu wa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wananchi wasisitizwa Malezi Bora Kupata viongozi wanaochukia rushwa

    Wananchi wa kata ya kisangura Wilaya Serengeti Mkoa wa Mara wamesisitizwa kuendelea kutoa malezi bora kwa watoto ili kupata jamii yenye hofu ya Mungu na yenye kuchukia uhalifu na vitendo vya Rushwa. Hayo yamebainishwa na Mkaguzi kata ya Kisangura Wilaya ya Serengeti Mkoa wa Mara Mkaguzi wa...
  4. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Kiwango cha uelewa kwa viongozi wetu kiko chini sana

    Siyo siri kwa sasa hivi, kiwango cha uelewa na kufikiri kwa mantiki kwa viongozi wetu kimepungua sana miaka ya karibuni. Sioni kiongozi THINKER, na mwenye uwezo wa kuufikiria umma wa kawaida. Watu kama Mwalimu Nyerere, watu wenye uwezo wa kufikiria mifumo kama ya kijamaa kwa ajili ya umma...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Trump: Viongozi wa Iran hawatabiliki

    Rais wa Marekani Donald Trump amewakosoa Viongozi wa Iran baada ya mazungumzo ya kidiplomasia kushindwa kuleta makubaliano kamili kuhusu suala la Nyuklia. Kupitia ukurasa wake wa Truth Social, Trump amewataja Viongozi hao kuwa “Watu wasiotabirika, wagumu na wenye kubadilika badilika,”...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu: Kuna wale maslahi yao yakiguswa wanaajiri watu wa kutukana, ili waendelee kufugwa, lazima watukane viongozi

    Waziri Mkuu Mwigulu Nchemba amesema kuwa vita ya rasilimali ni kubwa sana na ndio maana baadhi maslahi ya waliozoea kuchukua na ya wengine yakiguswa huwa wanaajiri wa kutukana mtandao, na hili hao watukanaji waendelee kufugwa lazima waendelee kutukana na ndio maana wamekuwa wakihama kila awamu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Imefikia pabaya sana. Mnakaa mitaani na kuomba viongozi wenu wauliwe kama wale wa Iran!

    Naona mmewachoka na mnawachukia sana. Mnakaa vijiweni na kuomba walipuliwe kama Ayatollah na jopo lake alivyouwawa. Hii ni sababu ya nini? Cake ya taifa?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Nchimbi: Kosa tunalofanya viongozi wengi ni kutumia vibaya madaraka kwa maslahi binafsi

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dk. Emmanuel Nchimbi, amewashukia viongozi wanaotumia vibaya dhamana ya uongozi kwa ajili ya kujinufaisha, badala ya kuwatumikia wananchi waliowachagua. Akizungumza Aprili 11, 2026, katika kuadhimisha miaka 104 ya kuzaliwa kwa Hayati Mwalimu Julius Nyerere. "Lakini...
  9. Parabolic

    JamiiForums Tanzania Waziri Katambi akutana na viongozi wa dini, wajadili mmomonyoko wa maadili

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Patrobas Katambi (watano kulia) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa dini wakati wa Kikao Kazi kilichofanyika Makao Makuu ndogo ya wizara hiyo jijini Dar es Salaam. Watatu kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Dkt. Maduhu Kazi. Picha na Wizara ya...
  10. E

    JamiiForums Tanzania Dk Chakwera apokea ombi la kumtembelea Lissu gerezani, akutana na CHADEMA, ACT, Prof Kabudi

    Mwakilishi wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola, Rais Mstaafu wa Malawi, Lazarus Chakwera leo Aprili 10 amekutana na kufanya mazungumzo na baadhi ya vyama vya siasa na watendaji wa Serikali jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa vyama alivyokutana navyo ni CHADEMA kilichoongozwa na Makamu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Hotuba za Viongozi: Je, tunachukulia kwa uzito wa kutosha?

    Katika dunia ya leo, hotuba ya kiongozi si maneno tu—ni taswira ya taifa, dira ya wananchi, na wakati mwingine ni ujumbe wa kimataifa unaobeba heshima au aibu ya nchi. Ndiyo maana inapotokea hotuba yenye makosa ya wazi ya lugha, taarifa zisizo sahihi, au ujumbe usioeleweka, wananchi wengi...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Utawala wa Iran uliua zaidi ya raia elfu 40 miezi miwili iliyopita ndio maana wanaogopa kuwasha internet, Wananchi wengi wapo upande wa Israel na USA

    https://x.com/nmebadi/status/2041356156413661510?s=20 https://x.com/i/status/2017987125895925982 Utawala wa Iran umeweka giza la taarifa kwa zaidi ya mwezi sasa, mtandao umezimwa ili kuzuia ukweli usiwafikie watu wa nje. Ni chini ya asilimia 1 tu ya wananchi wenye uwezo wa kupata internet, na...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tutangaze nchi sio viongozi ili kupata watalii. Late Dr Munroe yupo sawa

    https://youtu.be/klE6IkLD0aM?si=WEoMVcIw1XeaVjlM
  14. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Jinsi Vyombo vya Usalama vilivyogeuza Ulinzi kuwa chanzo cha hofu

    Tangu yalipofanyika maandamano na baadaye vurugu wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29, 2025 na baada ya hapo, kumekuwa na hofu kubwa kwa wananchi kutokana na kuongezwa kwa ulinzi wa polisi na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ). Maandamano yaliyokabiliwa kwa nguvu na polisi na JWTZ yalisababisha...
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IRGC Yatishia Makampuni makubwa ya Magharibi

    Baada ya viongozi wakuu wa iran kuuwawa kila siku Sasa IRGC-Walinzi wa Mapinduzi ya Iran walitangaza kwamba kuanzia kesho saa 20:00 saa za Tehran, mauaji yoyote zaidi ya afisa mkuu wa Iran yatasababisha kulipiza kisasi dhidi ya orodha ya makampuni makubwa. Taarifa hiyo inataja makampuni ikiwa...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Kwa uzoefu wangu, mashamba mengi makubwa ya bangi huwa ni ya viongozi wakubwa

    Ukibisha bisha tu lakini kiuhalisia ndio iko hivyo. Pwani wilaya ya Kisarawe maeneo ya mto Ruvu nikiwa huko kulikuwa na mashamba makubwa tu bangi ya vigogo na yana wafanyakazi kama sisi tulivyo na wafanyakazi kwenye kilimo cha nyanya. Vile napenda kuzurura nikaenda Morogoro tena hukohuko mto...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Serikali hatujali misiba yenu ya viongozi Mafisadi Watanzania wanataka haki na uhuru

    Serikali mnataka kulazimisha Watanzania wote tuache kazi na kusikitika nanyi kupoteza marafiki wenu lakini watanzania wengi hatuna muda tunataka democracy na katiba mpya. Hatuta waonea huruma viongozi walio ingia kwa wizi wa kura, kunyanyasa watanzania masikini, kuunga mkono mafisadi wakati...
  18. loose Nut

    JamiiForums Tanzania Viongozi na makamanda Iran wanavaa baibui kujificha kuuawawa na Israel

    Viongozi wa serikali nchini Iran pamoja na wakuu wa vikosi vya usalama Iran wanavaa baibui vazi la kiislamu kwa wanawake kujificha kuhofia kuuwawa na Mossad Israel. Netanyahu kaleta hofu Iran hadi wanaume wanashindwa kutoka nje na wakitoka lazima wavae baibui na pia kutembea kwa tahadhari kubwa...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Inakuaje viongozi wa Iran wanauawa sana, ni kwamba hawawezi kujilinda au wanafeli wapi ?

    Imeshakuwa kawaida kusikia viongozi wakubwa sana wa Iran wakiuawa tena kwa precission kubwa sana. Ni kwamba ule ulinzi wanaojisifiaga wanao ni maneno tu au ? Ali Khamenei — Kiongozi Mkuu wa Iran Ali Shamkhani — Mshauri Mkuu wa Kiongozi Mkuu Ali Larijani — Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Israel alichowafanya viongozi wa Iran ni kufuru, hii ni picha ya viongozi wakubwa kabla ya vita na sasa

Back
Top Bottom