viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wataka Vijana wasitumike kuchafua amani ya Nchi

    Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sheikh Walid Kawambwa, amewasihi vijana wasikubali kutumika na baadhi ya watu wakiwemo wanasiasa au viongozi wa dini ambao wanakusudia kuharibu amani na utulivu uliopo nchini. Sheikh Kawambwa alisema hayo jana jijini Dar es Salaam, alipokuwa akizungumza a...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti hivyo matamko yao yako engineered na idara

    Viongozi wengi wa dini wako kwenye payroll ya idara nyeti na wamewekwa makusudi ili kuituliza jamii kipindi cha hamkani si shwari. Jiulize kwani mara nyingi hutoa matamko ambayo ukiyaweka kwenye mizania unayaona kabisa yako kinyume na jamii na hayana upako wa kimungu bali wa kisiasa? Bosi wa...
  3. S

    JamiiForums Tanzania Yanayofanywa na Viongozi wa juu wa Jeshi la Polisi, ni mfano kwa askari walio chini yao hivyo tujiandae

    Habari ndio hio ndugu zangu na uzuri karibu kila mtu anajua nini kinachoendelea kwa sasa. Hivyo, wewe mwananchi wa kawaida huku mitaani, utarajie mambo kama hayo unayoyasikia kutoka kwa askari tunaoishi nao huku mitaani in case uko katika mazingira hayo. Issue ni kwamba, kama madai...
  4. JamiiForums Tanzania Urusi yaituhumu idara ya Ujasusi ya Uingereza MI6 kuunda kikundi cha mauaji kutoka Ukraine dhidi ya viongozi wa Afrika wanaoshirikiana na Russia

    Russia imeituhumu idara ya ujasusi wa nje ya Uingereza ya MI6 kuhusika na mpango wa kuunda kundi la wauaji au "Assassination Squad" ambalo kazi yake kuu itakuwa ni kuharibu miundombinu na kufanya mauaji ya viongozi wa nchi za Afrika ambao watakuwa wakishirikiana na Russia kiuchumi na...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa Kiafrika na Akili za Ki-Esau Esau

    Asalaam Aleykum, Mwanzo 27:1-46, Biblia inaelezea kisa cha mzaliwa wa kwanza wa Mzee Isaka (Isihaka) ambaye aliitwa Esau pamoja na mdogo wake Yakobo (Yakub). Kulingana na mila na tamaduni za kipindi hicho, Esau alikuwa ni kiongozi automatically kwa maana ndiye alikuwa mzaliwa wa kwanza. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania Viongozi Simba mnatuonaje?

    Viongozi wa Simba mnatuonaje? Mnadhani mashabiki wote ni maamuma? Mnatengeneza Zogo la makusudi ili mumtupie lawama Kocha? Awamu hii tumewashika pabaya ama zenu ama Zetu. Robertinho ni Kocha mzuri ila atafeli kwakuwa anafanya kazi na Viongozi wapumbavu, kama kuna mtu aliona namna Simba...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kamata kamata inayoendelea ni maazimio ya Kina Kinana na viongozi wa CCM baada ya kushindwa siasa za majukwaani; ogopa kukataliwa

    Viongozi wote wa CCM wameamua kurudi na kukaa ofisini baada ya kuona kila wanapopita kutetea DP world mambo yanavurugika. Soon after kusarenda wameshauri turudi kwenye mfumo wa Magufuli; lakini pia pressure ya kisiasa iliyopo Afrika kaskazini na Magharibi inatoa piacha kwamba siasa za...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Yaani Watanganyika tuwaombee viongozi wanaofisadi na kuuza bandari za Tanganyika! Haya ni majaribu

    Tuwaombee ili wazidi kuiba na kuuza rasilimali za Tanganyika?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Nchi inaweza kuendelea kwa viongozi kuzunguka Duniani kuomba fedha?

    Mjadala mkubwa ulipo mtaani sasa hivi ni kuhusu viongozi wetu kutamka kwenye majukwaa kwamba wanazunguka Duniani kutafuta pesa kwaajili yetu; wengi wanajiuliza hizo pesa tunazopewa huko nje zinatokana na nini? Kwamba wenzetu wafanyakazi kwa bidii kwa ajili ya kutupa fedha sisi? Je tunapopewa...
  10. B

    JamiiForums Tanzania Afrika ni Bara lililobarikiwa utajiri wa raslimali za kila aina, likalaaniwa viongozi wake

    Afrika ni bara tajiri sana duniani. Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta, gesi n.k. Viwanda vingi duniani vinaendeshwa na raw-materials toka Afrika. Cha kustaajabisha, nchi...
  11. JamiiForums Tanzania Baadhi ya viongozi hawana sifa za kuongoza

    Serikali yetu inapitia Changamoto pia ya Kuwa na Viongozi ambao hawajui dhamana yao, kazi zao, wajibu wao, lengo la kuwa eneo hilo. Hawajui namna ya kuishi na Raia ambao 2025 utarudi tena kwao kuomba kura🤔🤔🤔 Nape Nnauye ndio namba moja wao kati ya viongozi wajinga.
  12. JamiiForums Tanzania Tanzania ni nchi iliyojaa viongozi (wanasiasa) wasio wazalendo

    Tanzania imejaa na viongozi wafuatao.... 1. Viongozi Wabinafsi wasiowakumbuka wananchi ambao ndio waliwapeleka huko bungeni na kupata vyeo vingine. 2. Viongozi ambao hawapendi kusema ukweli, na raia wakiomba kuambiwa ukweli wanaonekana kama wakosaji na wavunja amani. 3. Viongozi ambao wana...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kama wananchi na viongozi walifundishwa binadamu alikuwa SOKWE na hawajawahi kulaani huu ushetani wataweza kulinda rasilimali zetu Afrika?

    Kama viongozi wameshindwa kuondoa somo la Historia linalopotosha ukweli wa asili ya binadamu wanaweza kutetea rasilimali zetu? Kama viongozi wetu wanaamini Afrika haiwezi kuendelea bila wazungu na kwao mzungu yoyote ni tajiri na mtu mwema; wataweza kulinda rasilimali zetu mbele ya wazungu...
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wanawake upinzani wamsifu Rais Samia

    Baadhi ya viongozi vya siasa vya upinzani wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kulea vyama vyao na kuleta maridhiano mazuri nchini huku akihakikishia dunia kuwa wanawake Tanzania wanaweza. Walisema maridhiano hayo yameleta tija katika vyama vyao kwa kuwa na mahusiano mazuri na serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Mwanafunzi wa sekondari Nganza asema viongozi wanashindwa kutekeleza mipango ya nchi kwa sababu ya kukosa uzalendo

    Kuna clip ya mwanafunzi wa shule ya sekondari Nganza inatembea sana mitandaoni akitukana Rais na viongozi wote wa serikali katika mkutano uliofanyika chuo Cha SAUT nani alimtuma ? Baraza la mitihani Lina namba yake ili tujue ni mwanafunzi kweli au kavalishwa uniform tu? Nashauri Baraza la...
  16. JamiiForums Tanzania Viongozi wangu hiki kiwanda cha mbolea na kemikali za petroli kiliishia wapi? Tanzania Mbolea and Petrochemical Company

    Hiki kiwanda cha mbolea na petrochemical kinaonekana kipo Tanzania ukiangalia kwenye page ya wikipidia. --- Wajerumani kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea Mtwara Kampuni ya HELM A.G ya nchini Ujerumani imeanza maandalizi ya ujenzi wa kiwanda kikubwa cha kuzalisha mbolea, kitakachojengwa katika...
  17. JamiiForums Tanzania Huu ni mwaka wa mafanikio kwa simba sc kama viongozi hawatozubaa

    Nyota ya Simba sc inang’aa sana hivi sasa yaani kila wanachokigusa kinaenda, hii ni ishara nzuri kinyota. Nawaasa viongozi wa simba shikamaneni mizimu imebariki mwaka huu nyie kuwa na mafanikio makubwa, mnayoyapanga msiyaruhusu maadui zenu wayanase. Huu mwaka ni wenu
  18. JamiiForums Tanzania CHADEMA mnapanga ziara na mnasahau viongozi wenu watalala wapi halafu tuwape nchi?

    Ukitaka kujua uchanga wa CHADEMA soma hii; Kamanda Maro Amesema uchunguzi wa awali umebaini kuwa wakati moto huo unagundulika, viongozi na maofisa wa CHADEMA hawakuwepo hotelini hapo kwa sababu walilala eneo lingine baada ya kukosa nafasi hoteli ya Twiga. ‘’Baada ya kukosa nafasi ya kulala...
  19. JamiiForums Tanzania Kiwango cha ujinga cha viongozi wa CCM, mashabiki wao, na raia kwa ujumla, kinatisha!

    Kichwa cha mada kinajielezea. Ni zaidi ya ujinga [ignorance]. Ni upumbavu [stupidity]. Rais Samia karuhusu mikutano ya vyama vya siasa. Rais Samia kavipa vyama vya siasa ruzuku. Rais Samia kamlipa Tundu Lissu stahiki zake za kibunge. Rais Samia katoa mabilioni huku na kule. Watu ambao mtu...
  20. JamiiForums Tanzania SoC03 Kilimo mkombozi wa nchi

    Kama ningepewa nafasi kuongea na viongozi wangu wa Tanzania kuhusu sekta moja inayo hitaji uwajibikaji kati ya sekta nyingi zenye chanagamoto ningechagua kilimo. kwani haya ndio ndio natamani kuyajadili zaidi. Tanzania ni moja ya nchi duniani zinazo sifika kwa kilimo. Mazao kama mahindi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…