viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Hili la viongozi wa kisiasa kulalamika zaidi ya wananchi ni jipya

    Badala ya kua wakosoaji wakuuu na wabunifu kimawazo, mipango na mikakati mbadala wa kinacholalamikiwa na wanainchi, wao sasa ndio wamekua sehemu ya walalamikaji mahiri na hodari, na sasa wamepoteana na Kupoteza uelekeo kabisa mazima... Hayati Edward N. Lowasa, aliwahi kusema, na nukuu...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Haijapata kutokea ila imetokea sasa ndio maana tunawasifu na kuwaunga mkono viongozi wetu

    Tangu mwaka 1995 Jimbo la Vunjo limepata kuongozwa na wabunge wafuatao:- 1. 1995 - 2000 Mhe. James Francis Mbatia (NCCR MAGEUZI) 2. 2000 - 2005 Mhe. Meja Jesse Jeremiah Makundi (TLP) 3. 2005 - 2010 Mhe. Aloyce Bent Kimaro (CCM) 4. 2010 - 2015 Mhe. Augustine Lyatonga Mrema (TLP) 5. 2015 -...
  3. G

    JamiiForums Tanzania Ya Ndumbaro hayajapoa, MwanaFA kaja na jipya. Viongozi wa kisiasa acheni mihemko

    Kauli hii ya mwanaFA ikionwa na CAF itabidi serikali ije na taarifa nyingine tena ya kusema mwanaFA alikuwa anatania. Kwasabb mkiombwa uthibitisho wa madai yenu naamini hamtakuwa nao. Wataalamu wa VAR wameona, wamechunguza na kuchambua, kisha wakaamua kuwa siyo goli. Sisi wala mihogo huku...
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Yanga Fanyeni hivi Haraka iwezekanavyo Lazima Yanga icheze Nusu Fainali

    Aliyewahi kuwa Makamu wa Rais wa Bunge la Afrika (PAP) na Mbunge wa Shinyanga Mjini, Stephen Masele amesema Yanga inaweza kukata rufaa CAF kupitia kifungu cha sheria za mpira za CAF namba XVI kifungu namba 3 kupinga kitendo cha kukataliwa goli alilofunga Aziz Ki. Masele ameshauri Viongozi wa...
  5. K

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa BAVICHA wakishiba na kuvimbiwa, wanawaza maandamano bila kujali hali za vijana wanaowataka kuandamana.

    Nawapongeza sana UVCCM maana wanachofanya siku zote ni kuwaheshimisha vijana, huwezi kukuta UVCCM wanapanga kufanya maandamano huku wakijua vijana wanatakiwa kutafuta ugali wao muda huo. Maandamano ya UVCCM yananifurahisha Kwa sababu yanakuja baada ya vijana kushiba tofauti na ya BAVICHA ambayo...
  6. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Makonda umekichemsha sana, wapo waliokuwa wamelala

    https://www.youtube.com/watch?v=g_Vx3fF69f0 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi Wateule katika ukumbi wa Kikwete Ikulu jijini Dar es Salaam leo tarehe 04 Aprili, 2024. RAIS SAMIA: MAWAZIRI MKAJIBU HOJA ZA CAG Siku chache baada ya Mdhibiti na...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi wakubwa duniani wajitokeza kulaani shambulio la Israel dhidi ya watu wa msaada

    Moja kwa Moja.. Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza...
  8. JamiiForums Tanzania Uongozi wa simba msisubirie fursa iwafuate itafuteni- Yanga walikua na mpango wa kupeleka mashabiki south baada tu ya draw ya robo

    Nimeona mashabiki wa simba wanalalamika sana kwamba Yanga inapendelewa kitu ambacho mashabiki wengi wa simba hawakitambui fursa inatafutwa haikufuati Yanga kabla ya mechi ya mzunguko wa kwanza vs mamelodi tayari walishakuwa na mkakati wa baadhi ya mashabiki wachache kwenda south afrika na...
  9. JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya sheria ya mafao ya retirement benefits act, (cap. 225)

    BADILIKO 1: Ongezeko la kifungu kipya cha 9A ambacho hakipo kwenye sheria kinachotaja mafao ya mke/mume wa rais mstaafu. Baada ya rais kustaafu, mwenza/wenza wake atapokea kiasi cha fedha (kwa mkupuo) sawa na 25% ya mshahara wa rais alioupokea katika kipindi chote alichokuwa madarakani. Yaani...
  10. P

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Mbunge Ulanga: Viongozi wa dini wadumishe amani na utulivu kuhakikisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na Uchaguzi Mkuu unapita salama

    Mbunge wa jimbo la Ulanga mkoani Morogoro, Salim Alaudin Hasham wakati akishiriki ibada ya Pasaka katika kanisa la Roma Kwiro wilayani Ulanga amesema viongozi wa dini wanatakiwa kudumisha amani na utulivu kuhakikisha chaguzi zote mbili; Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024 pamoja na Uchaguzi Mkuu...
  11. G

    JamiiForums Tanzania Hivi viongozi kutoka US, UK nk. wakitembelea Arusha watapokewa na RC Makonda?

    Makonda ni mtu wanayotuhumiwa na nchi za magharibi kwa kuhusika na vitendo vya mauaji ya watu wasio na hatia, pia amepigwa marufuku kukanyaga kwenye nchi zao. Sasa ikitokea balozi au kiongozi mwingine wa nchi hizo kutembelea jiji la kitalii Arusha, anaweza kukutana na rc mpya?
  12. P

    JamiiForums Tanzania Ni lini viongozi wetu watakuwa na huruma na sisi?

    Kwa sauti ya unyenyekevu kabisa niiombe serikali iwe na huruma kwa wananchi wake. Nia ya kuanzishwa kwa mifuko ya hifadhi ya jamii pamoja na bima ya afya ya taifa ni njema. Ila kinachoendelea sasa ni kwamba haya mambo yamekuwa kama laana, masikitiko kwa wanachama wake. Nimeshuhudia watu...
  13. JamiiForums Tanzania Ziara za Deng Xiaoping baada ya kupokea kijiti cha Mao. Hivi viongozi wetu huwa wanaenda kuzurura tu huko nje ?

    Hebu mtazame hapa huyu mwamba Deng Xiaoping katika ziara zake baada ya kuipokea China iliyokuwa imechoka vibaya katika miaka ya mwisho ya Mao. Deng alifanya ziara muhimu kwa wakati ule kwa majirani zake waliokuwa wamewaacha China mbali sana kama Thailand, Singapore, Japan, Malaysia tazama...
  14. JamiiForums Tanzania UWT yawajengea uwezo wanawake viongozi kutoka mikoa 9 ya Kanda ya Ziwa na Ziwa Magharibi

    UWT YA CHATANDA MOTO USIOPOA, YAJENGEA UWEZO WANAWAKE VIONGOZI KUTOKA MIKOA 9 YA KANDA YA ZIWA NA KANDA YA ZIWA MAGHARIBI ๐Ÿ—“๏ธ 27/3/2024 ๐Ÿ“ Winterfell, Mwanza Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndg. Mary Chatanda kwa kushirikiana na Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa serikali...
  15. JamiiForums Tanzania Viongozi: Kabla ya kuwa katika nyadhifa mbalimbali walianzia huku

    ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ณ Narendra Modi - Tea seller ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฆ Volodymyr Zelensky - Comedian ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฑ Edi Rama - Painter ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡บ Tony Abbott - Trainee Priest ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฌ Boiko Borisov - Bodyguard ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Justin Trudeau - Bouncer ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฆ Stephen Harper - Mailroom Assitant ๐Ÿ‡ญ๐Ÿ‡ท Ivo Josipovic - Music Composer ๐Ÿ‡ซ๐Ÿ‡ท Nicolas Sarkozy - Cleaner ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡น Jimmy Morales -...
  16. JamiiForums Tanzania Nchi ya ovyo, viongozi wateule hata wakiulizwa salamu tu lazima wamshukuru na kumsifia Samia

    Hivi hawa mawaziri wana vyeti vya form four? Sijaulizia Degrees, Master's au PhD. Mtu yeyote angalau mwenye cheti cha kidato cha nne lazima ajitambue, hawezi kuishi kwa kutegemea bahati. Kila jambo likija mikononi mwake anaamini kuwa ni haki yake na anastahili. Hawa mawaziri ambao kila...
  17. JamiiForums Tanzania Misafara ya Rais na viongozi wa juu kwenye jiji la kibiashara kama Dar itumie helicopter

    Hii imekuwa kero kubwa sana ,hasa kwa wapambanaji ambao akipoteza saa Moja tu au masaa manne amelala njaa! Wengine weajiriwa anatakiwa kufika kwa wakati kazini kwake akichelewa hana kazi na hawezi kumwambia boss nilikuwa nasubili rais apite! Serikali itusaidie kuondoa hii kero ni mbaya sana...
  18. JamiiForums Tanzania Viongozi wa CCM wengi wameacha kutumia JF ukilinganisha kipindi cha nyuma? Sababu ni uwoga

    Miaka ya nyuma JF inaanza kulipamba sana viongozi wa CCM wengine mpaka wakawa wanajinadi kwa wafanyao na kutoa mawazo ya kiutendaji. Ila mambo yamebadilika kama wanao kuwepo hapa JF ni wachache au wamebadilisha ID ambazo kwamtazamo zinaonesha ni watu wa ovyo ID mpya. Tatizo ni uwoga hapa JF...
  19. JamiiForums Tanzania Viongozi wa jeshi la Iran wauawa kwenye shambulizi la Israel kule Syria

    Hakuna kupumzika, kote mnapigwa.... Urusi walijifanya shobo na nyie watu, wakapokea kibano, huyu Iran wenu mnayemtegemea, naye hasazwi..... A series of airstrikes targeted sites belonging to Iran's Islamic Revolutionary Guards Corps (IRGC) in the Deir Ezzor region of eastern Syria on Monday...
  20. JamiiForums Tanzania Israel inatafakari ombi la HAMAS kwamba viongozi waihame Gaza na wasiuawe watakakokwenda

    Mojawapo wa maombi ya HAMAS kwenye mazungumzo ya amani ni kwamba viongozi wake wataihama Gaza na wasiuawe popote watakapokwenda, wahakikishiwe uhai wao. Hilo ombi ni ngumu kutekelezeka maana Myahudi ukimwaga damu yake subiri lazima alipe, wao hutumia sheria za Musa, yaani jicho kwa jicho, kwamba...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ