Nani kati ya hawa viongozi unamuona kiongozi bora wa muda wote?

The same to me 1-4 japo uongozi wa nyeyerere sikuushuhudia
Enzi za Utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tulivamiwa na Iddi Amini Dada Mwalimu akatuongoza na tukatoa Dozi nadhani tungekuwa na Kiongozi Legelege Amini angetia timu Dar.
 
Enzi za Utawala wa Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere tulivamiwa na Iddi Amini Dada Mwalimu akatuongoza na tukatoa Dozi nadhani tungekuwa na Kiongozi Legelege Amini angetia timu Dar.
Ahaha iyo vita inatokea nilikua sijazaliwa.... Ila nasikia maisha yalikua magumu sana
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
JPM ndio kiongozi bora kuliko wote na had Yesu arudi hatutapata mwingine kama JPM, daily naangalia video zake moyo wangu unafurahi
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
JP magufuli🫡
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Tupo msalabani wasilisha machozi ya dam , mambo ya kusema nani awe kiongonzi ,upumbavu mtupu ,nafunga siku 14 ,na nataka majibu ndani ya siku 47, laana hii lazima ikome ,
 
Tanzania imeongozwa na viongozi wengi hususani maraisi?
Yupi ni rais wa bora wa mda wote kwako?
1. JK Nyerere
2. Ali Hassan Mwinyi
3. BW Mkapa
4. J M Kikwete
5. JP Maguful
6. SS Hasani
Ondoa kwanza hizi namba: 2, 4, 6
 
Back
Top Bottom