Toka mchakato wa uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulipoanza, tumeshuhudia mambo mengi ya hovyo yakifanywa na TAMISEMI, chini ya Waziri Mchengerwa, kuanzia kutunga kanuni mbaya za kusimamia uchaguzi, kama ile ya kuwalinda wasimamizi wa uchaguzi wasishtakiwe wanapofanya makosa hata ya kijinai wakati...
Hivi sijui kukosa ushauri au nini yaani CCM wanavyowafanyia hivi CHADEMA ndiyo mnavyozidi kuipa nguvu Chadema na kuipa promo kuuzika kwa wananchi nyie CCM mnaona mnaikomoa lakini kiuhalisia ndivyo mnavyozidi CCM kujichimbia kaburi lenu hivi mnavyoitesa na kuwatesa wapinzani ndivyo wapinzani...
Kipimo kikuu cha akili na ustaarabu wa binadamu yeyote yule ni namna anavyopangilia maeneo yake anayoishi na kufanya shughuli zake.
Haijalishi kama anajenga nyumba za kitajiri au za kimaskini ila namna gani alivyopima na kupangilia makazi yake ndicho kielelezo pekee kinachoweza kukwambia kuwa...
Msichoke, kila hatua ikemeeni kama haitendi haki.
sasa kampeni , wapinzani wanaonewa sana, serikali , polisi for that matter, imeonesha ushenzi mkubwa.
Wakemeeni na kumtanguliza mungu wa Mbinguni awaadhibu weye dhambi ya madaraka
Wananchi wa Mtaa wa Buguruni Kata ya Njombe mjini Mkoani Njombe wamelalamikia uwepo wa vibaka ambao wamekuwa tishio katika usalama wao na kuwataka viongozi watakaoshinda katika uchaguzi wa serikali za mitaa kwenda kuweka mkakati wa kupambana nao.
Wananchi hao akiwemo Anna Msigwa na Maneno Ilomo...
Mlezi wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Mwenyekiti Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndg. Mohammed Ali Kawaida (MCC) Jana akizungumza kwenye Mkutano wa Hadhara wa Ufunguzi wa kampeni ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa/Vijiji katika Uwanja wa Chamwino Wilaya ya Morogoro...
Kwa sisi wenye imani tunaamini majanga yetu ni kwasababu ya uporaji wa haki na bila kuwa na upendo na haki kwa wote ikiwa ni pamoja na katiba nzuri, demokrasia ya kweli, bunge na mahakama inayotoa haki majanga nchini hayataisha.
Majanga yatakuja ya mvua, matetemoko , ajali na vifo. Viongozi...
Wakuu,
Mambo yameendelea kuwa sukari kwenye Uchaguzi wa Serikali za Mitaa
Katibu Mkuu ACT Wazalendo, Ado Shaibu akizungumzia "Wasaliti" wa chama hicho watakavyofutiwa uanachama
Ado amesema kuwa viongozi wote kutoka ACT Wazalendo ambao watakandamiza wananchi watafutiwa uanachama...
Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha simanzi kubwa , ajali hii ni funzo kubwa na haiwezi kusahaulika. Binafsi, nilifika kuwaaga ndugu...
Rais Tinubu wa Nigeria ni jasusi la CIA. Kanunuliwa, yuko mfukoni.
Nimesikitika, nimeshangaa, nikakasirika, halafu nikaisikitikia Mama Afika.
Sikiliza na uone tulivyo bado watumwa.
Mpendwa Steve Nyerere,
Kwa heshima kubwa, napenda kukushukuru kwa kazi zako nzuri na mchango wako wa kipekee katika kuleta maelewano ndani ya jamii yetu. Kama mmoja wa viongozi wenye ushawishi mkubwa, nina imani kuwa unaweza kuwa kiungo muhimu katika kutatua suala la Niffer na Diva kwa njia ya...
Jisomeeni wenyewe hapo chini kwa kimombo:
Times of Israel
Incoming Senate
majority leader threatens ICC with sanctions over case against Israelis
Senator John Thune warns US will impose restrictions on International Criminal Court if it moves ahead with arrest warrant requests against...
Peter msechu hili waliokufa kariakoo halijamuuma?
Au kwenye misiba ya viongozi wakifa kuna per diem anapata? Ila akiimba hili la kariakoo hamna chochote kitu?au mwana ni msaka tonge?
Kiukweli kilichotekea jana kariakoo msukumo wangu wa uongozi umeongezeka mara dufu nahisi au ndiyo ukweli viongozi wengi wa Afrika wapo kwa ajili ya maisha yao na si Ku dedicated maisha yao kwa walipa kodi just kwa miaka 63 bado nchi kama nchi tunasua sua kwenye uokozi? Wale ni walipa kodi...
Hali ya elimu yetu ni mbovu sana. Kama taifa, hivi sasa tuko kwenye kilele cha mavuno ya matunda ya ubovu wa mfumo mzima wa elimu yetu.
Na bado huu ni mwanzo tu, kuna siku rais atakuja kuwekewa drip ya mafuta ya taa.
afrika
chanzo
elimu
elimu.
kesi
kilele
kimataifa
kisiasa
kuanguka
maghorofa
makundi
siasa
siri
ubovu
uchawa
umaskini
viongoziviongozi wa kisiasa
vyama
vyama vya siasa
wingi
zao
Majanga ni yetu sote na wanaopatwa na majanga siyo watu wa dini flani au kabila flani. Ni kariba zote z viumbe hai.
Natamani kuwakumbusha viongozi wa dini kwamba disaster management and control ni kazi yao ya msingi kabisa. Wanapobaini uwepo wa mifumo inayochagiza majanga wanapaswa kupiga...
Viongozi wa afrika bila shaka wanashida vichwani mwao, watu wao wanakufa , wakiwa na majanga mabalimbali wanaingiza siasa,wakati wa uchaguzi wanaona wa thamani sana, lakini wakati wa majanga huwona kama nyani tu ,kwa mfano kariakoo
Eti watu wanawaokoa kwa kutumia jembe, nyumdo ,spedi, wapo...
Katika utamaduni wa Kiafrika, kuheshimu viongozi ni jambo la muhimu. Hata hivyo, katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko la tabia ya kuwapongeza viongozi kupita kiasi, hata wakati hawastahili. Je, hii ni kweli heshima, au ni dhihaka isiyo na maana?
Utamaduni wa Kiafrika umekuwa na...
Nimeshangazwa na chama cha ACT-WAZALENDO siku ya kesho wanaenda kuzindua ilani ya chama chao kwajili ya uchaguzi wa serikali za mitaa kwa uchaguzi upi? Kwa wagombea wepi?
Katika jukwaa ili kuna mtu aliwahi kusema siasa ambazo wanafanya ACT-WAZALENDO ni siasa ambazo wanajiona kama wapo ndani ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.