Habarini wanajukwaa,
Siku ya jana, Sativa alikaa kwenye mahojiano na kituo cha habari cha Mwanzo TV Plus.
Katika mahojiano hayo Sativa aliendelea kusisitiza kuwa Faustine Mafwele pamoja na kikosi chake wanaendelea kumtafuta na kwamba Faustine Mafwele anataka afe.
Sativa aliendelea kusema kuwa...
Leo tuwakumbuke viongozi mahiri na shupavu kuwahi kutokea Tanzania.
Naanza na Bibi Titi Mohamed, huyu kwangu mimi anabakia kuwa “Iron Lady” mwanamama mahiri zaidi katika ardhi ya Tanzania.
Huyu ni miongoni mwa waliojitoa haswa katika harakati za Uhuru enzi ya TANU. Alikuwa na misimamo haswa...
Wanabariki utekaji.
Wanabariki uuwaji.
Wanabariki wizi wa kura.
Wanabariki majina feki.
Wanaiba hela za umma.
Wanafitinisha jamii.
Wanadhulumu maskini.
Haya na mengine mengi wanasiasa hawataiona pepo.
Viongozi wengi wa vyama vya upinzani wameenguliwa Kwa kigezo hili
Ambapo kimsingi wenye kukidhi hili kigezo ni CCM wenye mabalozi kwenye vitongoji
Ila vyama vingine ni ngumu na haiwezekani Kwa sababu ni vichanga
Bunge lilitungaje hii sheria kandamizi Kwa democrasia yetu
Yaani Leo Chauma uikute...
Moja ya kauli za Lisu kwenye press yake ya leo, amesema hivi: (sitanukuu neno kwa neno, nitanukuu muktadha tu)
"Hapa katikati tuliletewa lugha laini tukaingia kwenye maridhiano. Tukadanganywa danganywa kuwa wewe sijui utakuwa nani nani. Wengine waziri mkuu n.k".
Kwahiyo safu ya uongozi ya...
Mtu anayeamini kuwa CCM bado ni chama halisi anajidanganya. Kwa sasa, ni genge la watu wanaoendekeza udhalimu, kusifia na kutetea uovu. Chama kimeshikiliwa na watu wanaotenda uovu bila kujali mateso ya wengine; hawataki kusikia sauti za watu wema waliopo ndani ya CCM.
Leo hii, Mr. Nchimbi...
Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka, linafanana na jalala lililoachwa wazi.
Kwa kuwa nilikuwa mgeni, nilidhani pengine ni sehemu...
Wenzetu wanagombea kwa uzalendo na kuleta maendeleo. Tanzania watu wanagombea kulinda malizao na kujitajirisha. Tusishangae Raisi mzima ana unga mkono wizi wa mwenyekiti wa kijiji kwenye nchi yake!
https://youtu.be/946l-x6Szns?si=F5wAQEHqqy6aEGT-
Katibu Mkuu wa TEC Padri ametoa rai kwa mamlaka za juu kuacha kuigilia mamlaka za chini hususani katika mchakato wa kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa na Vijiji.
Amesema katika Chaguzi za hivi karibuni kumeibuka mtindo wa kuwanyima haki baadhi ya wagombea hasa wa upinzani kutokana na...
Kuambiwa ukweli kunauma sana, lakini ndio dawa pekee inayofaa kutatua changamoto iliyopo katika Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoa wa Kilimanjaro.
Nakumbuka watu walifurahi hususani Wana CCM waliposikia Katibu wa Chama wakati huo Komredi Jonathan Mabhiya akiondoka baada ya kuongoza miaka takribani...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza chanzo cha ndani kinasema baada ya Gamondi ametaka watu kumfanya kichaka cha kujifichia ilibidi ang'ake na kuwa mkali na kila mmoja afanye kazi yake kwa matokeo yeye asilimia mia atayafanyia kazi.
Ameng'aka kuna wachezaji uongozi unachangia unawafanya kama...
Ukweli ulio Tukuka, Kuna baadhi ya maeneo katika nchi yetu hayapati maendeleo kutokana na aina ya viongozi walionao ambao siyo wachapakazi. Viongozi waliochaguliwa wanafanya kazi kwa kupendelea kundi la watu fulani tu. Wakati mwingine, baadhi ya viongozi hawawezi kuwajibika mpaka siku za...
Kuna huduma za chini chini kwa baadhi ya viongozi wa majeshi ukizitazama siyo afya kabisa kwa matumizi bora ya kodi!
Sasa hivi nchi inalalamika kuwa deni la taifa limefikia tirioni 96
Lakini kuna hizi mambo kwa baadhi tu ya watu lakini wengine wanalia na njaa
Kuna haja gani wakuu wa majeshi...
Nashangazwa sana hawa watu ambao kutwa kumsema askofu shoo kwa maneno yake ya kumsifu Rais samia lakini watu jamii nyingi ya Watanzania ni mandumilakuwili tu leo hii akitokea askofu akimpiga spana Rais samia watu wale wale waliokuwa wanamsema askofu watageuka kumsifia askofu shoo! Hii nchi ina...
Imeelezwa kuna uwepo wa mgogoro wa viongozi wa CCM katika Mtaa wa Nera, Kata ya Isamilo, Manispaa ya Nyamagana.
Hayo yanajiri baada ya viongozi kutohitaji uwepo wa jina la Mwenyekiti aliyemliza muda wake (Abubakar Self) kugombea nafasi hiyo kwa mara nyingine kutokana na jitihada zake za kuibua...
Mimi ni mmoja kati ya Wananchi wa Mtaa wa Green View uliopo Kata ya Nyamanoro, Manispaa ya Ilemela hapa Mwanza tuna malalamiko yetu kuhusu hali ya ubovu wa barabara zilizopo katika Kata yetu.
Barabara mbovu zimekuwa zikisababisha usumbufu kwa Watumiaji wa barabara hizo kwa muda mrefu sasa bila...
NA AMRAT KOMBO, ZANZIBAR
Usawa wenye hadhi sawa unamaanisha kwamba watu wote katika jamii wanapaswa kuwa na fursa sawa za kushiriki katika ngazi ya maamuzi na uongozi. Hali hii inategemea muktadha wa kisiasa,kiuchumi na kijamii .
Ingawa kuna ongezeko la uwakilishi wa wanawake katika Bunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.