viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Tutumie Jumapili ya leo kuwaombea viongozi wetu kama maandiko yanavyotuagiza

    Timoteo 2 mstari 1 na 2 Basi kabla ya mambo yote ninasihi maombi,dua,sala na shukrani zifanyike kwa ajili ya watu wote ,kwa ajili ya wafalme na watu wenye mamlaka,ili tupate kuishi maisha ya utulivu na amani katika uchaji wa Mungu na ustahivu wote.
  2. Mayala B

    JamiiForums Tanzania Kocha hatuna wanetu, kocha hatuna hakika hatuna kocha viongozi wetu hawajielewi

    Amani iwe nanyi ndugu Timu yetu haina hakika kocha hatuna ni hayo tu Wanetu hatuna kocha
  3. S

    JamiiForums Tanzania Haikutokea enzi za Nyerere, Mwinyi, Mkapa wala Kikwete, bali enzi za Magufuli na Samia, wananchi kushangilia vifo na kujeruhiwa viongozi na waandamizi

    Katika siku za mwisho za uhai wake, akiwa hospitali Uingereza na alipotembelewa na Mkapa, Nyerere alimwambia hivi Mkapa, "Benjamin, najua Watanzania watalia sana watakaposikia nimekufa" Na Nyerere alipokufa ni kweli Watanzania tulilia sana. Tulilia pia alipokufa Waziri Mkuu wa enzi hizo, Edward...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Sanduku la kura lirudi mahala pake, tuchague viongozi tuwatakao

    Salaam, shalom! Kwa kuwa kura halali zilitiwa ndani ya Sanduku la kura zikichangamana na kura fake tena chini ya usimamizi wa waandalizi wa uchaguzi wenyewe kama asemavyo Judge Warioba, zoezi Zima linageuka kuwa haramu. Tunaweza kujisahihisha Kwa kufuta huu uchafuzi na kurudisha Sanduku la...
  5. Ngengemkenilomolomo

    JamiiForums Tanzania Je, ni kwamba wananchi wameichoka Serikali au wamewachoka viongozi wa Serikali?

    Wakuu, Najiuliza hivi nu kwamba wananchi wamewachoka viongozi wa serikali au wameichoka serikali maana yanayotokea kwa sasa ningekuwa kaka Luka ningebubujikwa na machozi. Yani imefikia kipindi viongozi wanapata majanga badala wananchi wasikitike wanafurahi na kutaka kujua wangapi wametangulia...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Chanzo cha umaskini wa Waafrika ni viongozi wa kisiasa na wa kidini

    Habarini, Lengo kubwa la Waafrika kupigana vita dhidi ya wakoloni ilikuwa ni kurudisha ardhi na heshima yao ambazo zilikuwa zimechukuliwa na wanasiasa na viongozi wa dini wa kikoloni siyo kurejesha DEMOCRACY. Leo hii taasisi za kidini na wanasiasa ndiyo wanamiliki ARDHI na UTU kwa kumiliki...
  7. SSH2025_2030

    JamiiForums Tanzania Hakuna Askari wa Usalama barabarani (Trafiki) maskini

    Kwa maokoto ya kila siku. Hakuna trafiki boya/maskini. Kuwa na balance bank 50m TZS Jambo dogo
  8. winnerian

    JamiiForums Tanzania Sisi Tanzania na mataifa mengi ya Afrika tunakabiliwa na hatari ya kuwa watumwa wa kiuchumi na kidiplomasia kwa China miaka siyo mingi

    Fikiria hili: unapomtegemea mtu kwa kila jambo bila kufanya juhudi za kujitegemea, ipo siku utakuta umegeuka mtumwa wake. Hali hii inadhihirika wazi kupitia uhusiano wetu na China, ambapo nchi yetu na nyingine nyingi za Afrika zimewekwa katika hali ya utegemezi mkubwa. Sekta zetu muhimu kama...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia

    02 December 2024 Washington DC na Luanda Angola ZIARA YA RAIS JOE BIDEN AFRIKA KULETA FURSA KWA MATAIFA MANNE Rais Biden kukutana viongozi kutoka Angola, DR Congo, Tanzania na Zambia juu ya mradi wa reli kutoka Lobito, Angola utakaopita DR Congo, Zambia hadi Bahari ya Hindi Tanzania...
  10. F

    JamiiForums Tanzania Rais Samia, ni vyema Watanzania wenye sifa za kuwa viongozi wa kimataifa wang'ae kwa umahiri wao, sio kuwang'arisha kwa nguvu ya fedha au siasa

    Dr. Faustine Ndugulile ameondoka katika kipindi ambacho alitazamiwa kuwa mkuu wa Shirika la Afya Duniani kanda ya Afrika. Ametuachia majonzi makubwa sana! Sasa tunatamani mtu mwingine achukue nafasi yake. Kwa bahati mbaya kila mtu siku hizi anaamini fedha na siasa ndio inampa mtu haki au sifa...
  11. DolphinT

    JamiiForums Tanzania Masauni anapowataka viongozi wa dini wasisitize na kuhubiri amani

    Bwana Masauni napenda kutoa maoni yangu juu ya kauli yako inayohimiza nyumba za ibada kuhamasisha amani. Lengo langu ni kuomba ufafanuzi wa tafsiri yako ya neno amani na jinsi inavyopaswa kufikiwa katika mazingira halisi ya taifa letu. Je, unapotaja amani, una maanisha watu wakae kimya pale...
  12. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Wakati naleta Uzi kuwaomba viongozi wa juu CHADEMA kususia uchaguzi na siasa nilisema kuwa viongozi wa chini hawana ulinzi kama nyie

    Viongozi wa juu CHADEMA wana ulinzi wa aina 3. 1. Ulinzi kwasababu jumuia za kimataifa wanawafahamu. Si rahisi kumuua kiongozi wa mkuu wa chama cha upinzani kwakuwa wauaji nao wanahitaji misaada kutoka kwa watu ambao wameruhusu upinzani. Kiongozi wa upinzani ngazi za chini hata akiuwawa jumuia...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wakitekwa au kupotea viongozi wa CCM hawakemei au kulaani kwa wakati?

    Nadhani viongozi wa CCM wanapaswa kubadili msimamo wao. Kila ikitokea taarifa ya kutekwa au kuuwawa kwa asiye mwana CCM wao ukaa kimya. Kwa kuzingatia umuhimu wa haki ya kuishi niwaombe wabadili response strategy zao na wajitokeze mapema kulaani na kukemea. Ukimya wa CCM umepelekea hata vyombo...
  14. Z

    JamiiForums Tanzania VIongozi wetu onesheni mfano kwa kupima VVU hadharani katika maadhimisho ya leo tarehe 1 Desemba, 2024

    Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari. Ongozeni kwa vitendo, punguzeni maneno mengi.
  15. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Tabora: Viongozi wa Serikali za Mitaa waomba Serikali Kuu kuwaongezea posho muda mchache baada ya kuapishwa!

    Wakuu, Siku chache baada ya kuchaguliwa na kuapishwa kuwa viongozi wa serikali za mitaa, watu wameshaanza kudai posho zao kupandishwa. Hivi kweli hata kabla wananchi hawajaanza kuona matunda ya kura zao watu mshaanza kudai kuongezewa posho? Hawa viongozi wanatokea chama gani?
  16. Mindyou

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Lindi: Viongozi wa Dini na Kimila wasema uchaguzi umefanyika kwa Uhuru na Haki, Uchaguzi ujao amani itawale kama sasa

    Wakuu, Kumbe Uchaguzi wa Serikali za Mitaa ulikuwa ni wa huru na wa haki? Mbona hamkusema? HIivi kweli unajitokezaje kusema kuwa Uchaguzi ni huru na wa haki baada ya kuona mabomu ya machozi, kuenguliwa kwa wapinzani, polisi kukamata wapinzani kwenye kampeni na wizi wa kura ambao ushahid wake...
  17. Poppy Hatonn

    JamiiForums Tanzania Watu wakiruhusiwa kwenda mahakamani,ina maana hawa viongozi waliochaguliwa,they will not hit the ground running

    Hit the ground running ni msamiati wa kijeshi ambao watu wengine imeonekana kwamba wameshindwa kuelewa maana yake. Ina maana mwanajeshi anaposhuka na parachuti,anapokaribia ardhini,upepo utakuwa unavuma,kwa hiyo akigusa ardhi hatakiwi kusimama,anatakiwa kufika tu chini na kuanza kukimbia. Kwa...
  18. Subira the princess

    JamiiForums Tanzania Nchi hii tuna bora viongozi na si viongozi bora

    Wasalaam, Leo naandika kwa uchungu sana kuhusu tabia ya makampuni ya simu hasa hawa tigo kukwepa kodi kila baada ya miaka 5. Serikali ina viongozi ambao wengi wapo pale kwa maslahi yao na si watanzania. Tangu jana nawapigia ndugu zangu waliopo tigo najibiwa kwamba namba unayopiga haipo...
  19. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania LGE2024 Viongozi Waliochaguliwa Wakatatue Changamoto Kwenye Mitaa, Vijiji na Vitongoji Vyao

    VIONGOZI WALIOCHAGULIWA WAKATATUE CHANGAMOTO KWENYE MITAA, VIJIJI NA VITONGOJI VYAO. Katibu wa NEC Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu CPA Amos Makalla akizungumza na Waandishi wa Habari amewataka Viongozi waliochaguliwa kwenda kuwafanyia kazi Wananchi kama walivyoomba na kuacha tabia...
  20. Bams

    JamiiForums Tanzania Wananchi Wawakatae Viongozi wa kupachikwa

    Kila mmoja ameshuhudia jinsi uchaguzi wa Serikali za mitaa ulivyoharibiwa na taasisi za usimamizi. Ni dhahiri kulifanyika maandalizi ya kutosha toka mwanzo kuuharibu uchaguzi huu, ndiyo maana kuliwekwa mpaka kanuni za kuwalinda watakaoharibu uchaguzi. Wananchi wana haki ya kuwakataa na...
Back
Top Bottom