Kwa uelewa wangu wa mambo ya soka, na kwa kufuatilia mienendo ya majibu ya viongozi wa yanga kwa nyakati mbalimbali, na jana wamekataa kwenda TFF kujadiliana kuhusu madeni ni dhahiri kabisa kuwa ile ni geresha toto, mpango wao waendelee hivi hivi kuwachanganya watanzania ili simba wabweteke...
CCM MMEACHA NJIA MMEACHA KUANDAA VIONGOZI SASA UONGOZI NI KUENDANA NA UPEPO.
Wasalaam wanajukwaa!
Tokea enzi za Mwalimu CCM walikua na utaratibu wa kuandaa viongozi ambao baadaye tunawapata marais, speaker, Makamu wa Rais na mawaziri wakuu. Hivi sasa tuseme uongozi umekua ni kama zali hata...
Kwa Ndugu, Stephen Wasira, na CPA Amos Makala.
Kwa heshima na taadhima, naomba kutoa ushauri huu wa bure kwa viongozi wawili muhimu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mheshimiwa Stephen Wasira (Makamu Mwenyekiti wa CCM) na CPA Amos Makala (Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM):
Katika mikutano yenu...
Kila kona chadema imebanwa msajiri kila siku kutoa matamko yasiyo na tija na kusitisha ruzuku, viwanja vya mikutano imekuwa mwiba kwa chama hicho , uhamiaji kila sehemu wapo macho hawataki anayeitwa kiongozi wa chadema kuvuka mipaka ya nchi, mahakama nayo imebana kwa kuamua kesi ya chama...
TANU na ASP zilikuwepo na Wana intelligence was vyama hivyo walikuwepo baadae CCM 1977 ikazaliwa na Wana intelligence walifanya KAZI yao!
KAZI ya intelligence ni kuhakikisha wanakua pro active Kwa mstakabali ujao wa taifa!wao ndio walimshauri kikwete asimamie uandishi wa Rasimu ili baadae owe...
Kumbe Hatuchezi ni project ya CCM kuitumia Yanga kujaribu kupotezea moto wa majadiliano ya NO REFORMS NO ELECTION?
Kama ni hivyo viongozi wa Yanga wanataka huo ubunge kwa kupitia damu za wana yanga wanaotekwa na kuuwawa au ndugu zao.
Kila mwana Yanga mwenzangu nwenye akili timamu asikubali...
Mimi sio mfuasi wa Gwajima hata kidogo.. Ana mashimo yake mengi tu.. Lakini pale alipojitoa waziwazi kuliongelea swala linalotuumiza sana la utekaji ghafla akageuka shujaa wa wengi maana aliongea kile watu walichotaka kukisikia
Uungwaji wake huo mkubwa haukumfurahisha kila mtu.. Na hili wala si...
Katika jamii ya leo ambapo uhuru wa kuongea umekuzwa sana, watu wengi badala ya kutoa maoni, wanajikuta wakitoa matusi kwa wakuu wa nchi au viongozi wa kisiasa. Matokeo yake maoni yao hayapewi kipaumbele kwa sababu ya ukosefu wa lugha ya staha. Hebu leo tujifunze jinsi tunavyoweza kusema ukweli...
Siwezi kuweka majina wala kupoint watu ila navyosikia za chinichini wengi waliopo madarakani wana uraia pacha ambao wameshatengeneza mazingira la lolote.
Kuna mmoja hata nia ya nchii hana malengo nayo.
Sasa nauliza kama idara za uhamiaji mfahamu watu wenu tena viongozi mnakwama wapi.
Hii Kasi ya movement ya no reform no election ni movement hatari sana. Naifananisha na movement ya MAGA, kipindi Trump anashuka kwenye escalator pale Trump tower New York,na kutangaza movement ya MAGA. Aisee viongozi wote wa Republican na Democrats waliidharau hiyo movement, ila kilichotokea...
Mnawazea vibaya sana kana kwamba wamejinyea.
Wameenda Chaumma kwa njaa zao waacheni.
Nimeona video nyingi zikisambaa mitandaoni mkiwazomea. Najua hamutawataki lakini hakuna haja ya kuwazomea.
Tatizo kubwa lililopo sasa ni moja tu,viongozi wetu wamediliki kuisigina misingi na miiko ya kimaadili ya uongozi wa nchi yetu Tanzania na Chama cha Mapinduzi CCM.
Twende na rejea hotuba ya baba wa taifa ya mwaka 1995 alipoalikwa katika mkutano mkuu wa CCM, alituasa kama chama na kama taifa...
Kiongozi yeyote wa dini anayesema eti tulinde amani tuliyo nayo, ni kiongozi mnafiki, mwongo, anayetumika na waovu. Kiongozi wa namna hiyo tumpuuze.
Watu wanatekwa
Watu wanauawa
Watu wanapigwa, wanatiwa ulemavu wanatupwa maporini.
Watu wanakamatwa wanapigwa na kuawitiwa.
Halafu anatokea mtu...
Biblia imasema watu wanapomokea Yesu wanafanyika KUWA watoto wa Mungu.
Wale waliowaongoza kumjua Yesu KWA KUWA wamewatangulia kwenye imani watakuwa Kaka ZAO sio Baba.
Kwa hiyo napendekeza badala ya kuwaita Baba Mchungaji, au Baba askofu au Baba mtakatifu au Baba mtumishi litumike NENO Kaka...
Mamlaka ya uhamiaji siku ya jana hapo Namanga ilimzuia Lema kwenda Kenya, Lema anakuwa kiongozi wa pili kizuiwa kutoka nchini na kunyang'anywa hati yake ya kusafiria, hii ya hati ni kauli ya Lema mwenyewe. Je, viongozi wa Chadema wapo kizuizini?
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ametoa wito kwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kumtaka Waziri wa Fedha kuidhinisha utoaji wa taarifa zote zinazohusu mikopo, mamlaka za rufani za kodi, misamaha ya kodi pamoja na mamlaka za uchunguzi.
Mpina amesisitiza umuhimu wa taasisi kama...
WITO KWA VIONGOZI: JIFUNZENI KUZUNGUMZA BILA KUTEGEMEA MAANDISHI
Ni jambo la kusikitisha kuona baadhi ya viongozi wakishindwa kabisa kuwasiliana kwa ufasaha mbele ya umma bila kutegemea karatasi au "vi-memo". Mfano wa karibu ni Kiongozi wa Kisiwa cha Comoro ambaye hata salamu au pole za kawaida...
Ukiona namna wanasiasa wanavyoingia makanisani kuhubiri siasa na namna hao hao wanavyowazuia viongozi wa dini wawe wa kweli au feki kama Gwajima, unashangaa kama wanajua dhuluma wanayofanya. Je kuchanganya siasa na dini ni kwa viongozi wa dini tu au inawahusu wanasiasa wanaofanya hivyo tena bila...
Mtaendelea kudhalilika hadi lini?
Anathubutuje Kuwaiti watumishi wenzenu mashetani mbele ya madhabahu za Mungu?
Msijione mko salama "aliye zoea kula nyama ya mtu hawezi kuacha ataendelea kuila" ipo siku atawageukia na ninyi atawaita vibwengo mbele ya patakatifu na mtalazimika kupiga makofi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.