viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA

    Tetesi: No travel list kwa viongozi wa usalama, polisi wakuu wa mikoa na familia zao inaandaliwa na EU & USA Hii ni kama ile ya Makonda
  2. VIongozi wa Ulaya waenda Kyiv kwa gari moshi kuiomba Urusi isitishe Vita na Ukraine

    Vita vya miaka mitatu vimetoa funzo kubwa kwa mataifa makubwa duniani pamoja na Ulaya. Wakiwakilisha wenzao,viongozi watano wa mataifa ya Ulaya walifika mjini Kyiv hapo juzi na kukushanyika kwa pamoja na raisi Zelenky kwa madhumuni ya kuitaka Urusi iongeze muda wa usitishwaji vita kutoka siku 3...
  3. Raia wapite kati; waepuke kukebehi viongozi na waache uchawa

    Hivyo ndivyo tutakuwa na amani. Tunasikitika kuhusu mateso wanayopata raia wengi wanapogombana na Serikali. Machawa wanataka tuisifu Serikali kama wao ambao wamepewa zawadi nyingi. Lakini hiyo isiwe kisingizio cha kuleta kebehi.
  4. M

    Imarisheni ulinzi wa viongozi wetu kama wao wanavyoimarisha ulinzi wa mtu wao

    Nimesikia kwamba kwa sasa wameanza kuvaa mask ili wasitambulike na wanafuatilia mikutano ya John Heche. Napendekeza hivi:- 1. Kila mkutano unapofanyika hakikisheni kuna kikosi maalumu cha kuwalinda viongozi. 2. Ikiwa kutakuwa na mtu/watu mnaowashtukia, hakikisheni kila walinzi wenu watano...
  5. PreGE2025 G55 Moshi na Temeke waondoka CHADEMA

    Wakuu, Mpango wa kupiga kelele kwenye media ili wasisahaulike unaendelea :KEKLaugh: hivi hawaoni walivyokuwa majinga? Ukiamua kumla chura hakikisha unachagua aliyenona, sasa unakula chura afu unachagua chenye kimedhoofu na utapia mlo, unamla, anakuua, inakuwa ni...
  6. S

    CCM waliwanunua wabunge na viongozi wa juu wa chadema na wakaunga juhudi. Vipi washindwe kwa hawa wenyeviti/makatibu wa chadema wa mikoa na wilaya?

    Ukweli mchungu ni kwamba viongozi na wanachama wote wa chadema ni maskini (mafukara). Wenye fedha zao huwa wanaficha mbawa zao ccm ili biashara na ukwasi wao visibughudhiwe. Ndiyo maana hata Mbowe alikuwa anaitumia chadema kama jumba la sanaa kwa kujifanya mpinzani. Na ndiyo maana hata baadhi...
  7. Tanzania haiko huru, ni koloni tupu la viongozi bure

    Bruh, let me tell y’all something real. Hii nchi haipo kwenye uhuru – tuko kwenye lockdown ya kiakili, kiuchumi na hata kielimu! Unadhani tumetoka kwenye koloni? Hell no! We’re still slaves, tumeachwa na mabeberu lakini sasa tunaongozwa na black colonialists – viongozi wa hovyo, wanaodhani...
  8. Rekodi ya kuhama chama ya Lowassa haitakaa ikaribiwe, alisepa na kijiji, hawa G55 wanaigiza sana, hata familia zao haziwafuati huko

    Lowasa wakati anatoka CCM alisepa yeye na kijiji plus familia yake yote plus ndugu na jamaa na marafiki zake karibia wote. Sasa hawa G55 sijuia kama wanajishutukia kwamba wanaondoka wenyewe hata familia zao haziwafuati huko, hakuna anaye waunga mkono huko, hakuna anaye wasapoti. Hata Dr Slaa...
  9. Orodha ya viongozi Matajiri Duniani

    💵 Top 15 Richest World Leaders currently in office 🌍 1 🇷🇺 Vladimir Putin - $200B 2 🇰🇵 Kim Jong Un - $5B 3 🇺🇸 Donald Trump - $4.9B 4 🇨🇳 Xi Jinping - $1.5B 5 🇬🇶 Teodoro Mbasogo - $600M 6 🇦🇿 Ilham Aliyev - $500M 7 🇹🇷 Recep Erdogan - $500M 8 🇷🇼 Paul Kagame - $500M 9 🇿🇦 Cyril Ramaphosa - $450M 10 🇰🇪...
  10. Kuna mambo ya ajabu yanafanywa na viongozi wa Chadema chakavu

    Kiongozi wa Chadema chakavu, japo upo nje ya nchi unatoa dondoo, za fulani bin fulani wako mbioni kumshambulia, na genge fulani, katika maswala ya kikachero mambo ya aina hii, yanapobashiriwa, nathubutu kusema kuna mambo huyo mwota njozi anakuwa anayafahamu aidha yanakuwa yapo ndani ya genge...
  11. Z

    Kama viongozi waandamizi wa Chadema wamebaini kuwa Lissu na Henche hawafai kuwa viongozi wa Chama, wewe unasubiri nini?

    Chadema tayari imesha kufa KIFO CHA MENDE. Kama una macho, masikio na akili haina haja kuambiwa kila kitu. Kama Salum Mwalimu, Benson Kigaila, John Mrema, Catherine Ruge wameamua KUJITENGA NA LISSU NA HENCHE basi elewa kuwa huo ni USHAHIDI TOSHA kuwa LISSU na HENCHE HAWAFAI KABISA kuwa...
  12. R

    PreGE2025 Tanzania tumebarikiwa viongozi mahiri, kumbe Tundu Lissu ni maarufu kiasi hiki?

    Salaam! Kuna ule msemo usemao, nabii hakubaliki kwao, ni wa kweli kabisa, Tuna kiongozi maarufu ndani na nje ya mipaka ya nchi, Tena umaarufu wake ni Katika kupigania haki na kudai mifumo imara ya uchaguzi Katika kuchagua na kuchaguliwa viongozi. Imagine, bunge la ulaya kuweka muda special...
  13. Viongozi dhaifu

    Viongozi dhaifu ni wale wanaopenda kusikia kile wanapenda kusikia, wagumu kusikia ama kupokea mawazo mbadala yanyokinzana na mawazo Yao. Hukimbilia kushughulikia watu (attack personality) na si kushughulika na hoja (do not deal with issues). Kuna haja ya kufundisha (wanasiasa, wakuu wa taasisi...
  14. Viongozi wa dini na upinzani kuhamasisha haki sio uchochezi wala vurugu ni mwanzo wa ukombozi

    Kila mtu anajua kuwa viongozi wa dini ni watanzania na bado ni wapiga kura, kwahiyo ni haki yao kuhamasisha uchaguzi wa haki. Kila mmoja anajua upinzani ni chama halali cha siasa Tanzania kilichosajiliwa kihalali hivyo kuhamasisha haki na mabadiliko ya uchaguzi ni haki yao hiyo sio suala la...
  15. PreGE2025 CHADEMA Kanda ya Victoria: Viongozi na wanachama waliohama ni makapi tu

    Chama cha demokrasia na maendeleo CHADEMA Kanda ya Victoria kimesema kipo imara na hakiwezi kuyumba kwani viongozi na wanachama waliohama hivi karibuni kwao ni kama makapi tu Katibu wa CHADEMA kanda ya Victoria Zacharia Obadi amesema viongozi hao walikuwa na makosa ya usaliti na kwamba...
  16. PreGE2025 Wachungaji Wasabato Tanzania na Kenya: Viongozi wa Dini wasiwe Wanasiasa

    Nadhani waliosema dini isichanganywe na siasa hawakuwa wajinga. Sio busara Wala haileti Afya Kwa viongozi wa Dini Kugeuka Wanasiasa Kwa kutumia majukwaa ya dini na kukificha kwenye dini. Hawa viongozi wa Sasa wako wazi wazi wanaegemea Vyama na watu wao ,tukiendelea hivi ni hatari. Niite wito...
  17. Kati Ya Vyombo Vya Dola na Viongozi Wa Dini Nani Hapaswi Kujihusisha Na Siasa?

    Mimi nijuavyo vyombo vya dola kama polisi, jeshi, na idara za usalama vinapaswa kuwa huru na kutenda kazi kwa misingi ya sheria bila upendeleo. Kujihusisha na siasa kunaweza kusababisha ubaguzi na matumizi mabaya ya madaraka dhidi ya wapinzani wa kisiasa au raia wa kawaida. Taasisi za serikali...
  18. Viongozi wa dini tambueni mipaka yenu na watu wenu msituletee taharuki mtaani, kila mtu ana dini yake na asili yake

    Tanzania ni nchi pekee iliyojaaliwa dini nyiingi saana isije ikafika kiongoz wa dini fulani ajipe milki ya amani ya nchii,wasubirini watu wenu na ongeeni na watu kama waumini wenu msitafte huruma wengine hawaamini kwa kile mnachokiamin! Tafadhalini saana! Kama haki mtaipata mbinguni kwa baba...
  19. Viongozi wengine Allah anawaweka madarakani kama adhabu!

    Naam, habari wana JF, Naam ni mpango wa muumba kila kiongoz anayepatikana ktk sehem yeyote ilee huwa ni kusudio lake vyovyote awavyo. Lakini kwetu sie watakiwa inaweza kuwa adhabu au iwe huruma toka kwa muumba isipokuwa ukiona mtawala muovu tambua mmeyachuma kwa mikono yetu hivyo haina haja...
  20. N

    Ndege mwenye tabia ya viongozi wa Afrika

    Ebwana huyu ndege anatambulika kama hamerkop, ni ndege katika familia ya kunguru au korongo au wote au kwa kifupi ni wa kipekee. Ni ndege anayejenga kiota cha ukubwa wa Toyota Probox au Noah. Kisha huendelea kukusanya kila kitu na kukitia humo ilihali havimsaidii 😁 Yani unaweza kufumua kiota...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…