viongozi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Salehe Jembe: Viongozi Yanga wanaumia Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR

    Hii ni hoja, nayo tunapaswa kuijadili? Ndio swali nimekuwa nikijiuliza, lakini kutokana na MIOYO YA WIVU hasi, nimelazimika kuingia kuijadili, nasikitika. Hoja ya VAR, wako ambao hawataki kusikia haya… @ Simba ikitajwa kuwa ya kwanza kutumia VAR au VAR kutumika kwa mara ya kwanza na Simba @VAR...
  2. JamiiForums Tanzania Tabia ya kuwasema Watu Kwa ukanda haipendezi, kuna viongozi walikuwa wakiwasema Wachaga kila mara!

    Wakubwa kwema! Sitasema mengi! Kuna viongozi sijui ni wivu, sijui ni kutokujiamini, sijui ni Jambo gani, yaani kila mara wakisimama huropoka vitu ambavyo kimsingi havipendezi masikioni. Wachaga wezi! Wale ndugu zetu ni wezi! Mfano ikitokea wizi umetokea, kiongozi atasema wewe ni mtu wa wapi...
  3. JamiiForums Tanzania GE2020 Fr. Kitima: Uchaguzi wa 2020 ulikuwa na vifo vingi kuliko chaguzi nyingine zote

    Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki la Tanzania (TEC), Fr. Charles Kitima ambaye aliwahi kuwa Vice Chancellor wa SAUT amekosoa wizi wa kura na kusema ni dhambi kwa Mungu kwa sababu ni uongo lakini pia inapelekea kuwa na viongozi wabaya. Amesema kwa miaka sita iliyopita...
  4. JamiiForums Tanzania Uhaba wa madarasa, wanafunzi madarasa mawili tofauti ndani ya jengo moja, walimu wawili wafundisha muda mmoja

    Walimu wawili wakifundisha katika jengo moja lenye wanafunzi wa madarasa tofauti, la pili na la tatu katika Shule ya Msingi Ifua, Kitongoji cha Ifua wilayani Kilolo, mkoani Iringa Jengo lenyewe choka mbaya, limejengwa kwa matope, hamna Cha sakafu Wala Nini! Ni Kama karne ya 17 duuh!..
  5. JamiiForums Tanzania Kwa hili nawapongeza sana viongozi wa CHADEMA

    Ndugu zangu imezoeleka katika dunia ya leo kila mtu kutumia uongo na unafiki kufanya siasa nchini kwake. Njia hii ya uongo na unafiki imekuwa njia nzuri na yenye mafanikio ya haraka kwa wanasiasa hao. Mfano tumeona wanasiasa mbali mbali duniani wakitumia uongo na unafiki kuvuna wanachama...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Watanzania hatujui wajibu wa Viongozi wetu, au tumeweka vigezo vya chini kuwapima

    Mada hii aliwahi kuandika... Prof.Mkumbo (kabla hajakengeuka!) kuwa tumeweka viwango vya chini mno kuwapima viongozi wetu! Ukifuatilia mijadala inayoendelea hapa nchi kuhusu masuala nyeti kama umeme, maji, kilimo, nk utabaini jambo hili! Mfano mdogo tu, ni lawama zinazoelekezwa kwa Januari...
  7. JamiiForums Tanzania Viongozi NCCR Mageuzi wahudhuria mkutano wa TCD licha ya tamko la chama kutangaza kutoshiriki

    Viongozi wa kitaifa wa NCCR MAGEUZI wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti Zanzibar Ambar Haji Khamis wamehudhuria mkutano ulioandaliwa na TCD ambao mgeni rasmi ni Rais Samia Suluhu Hassan, leo Aprili 5, 2022 Mkutano huo unajadili maridhiano ya kitaifa katika Ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma. Viongozi...
  8. JamiiForums Tanzania Kuhusu Mfumuko wa Bei, Viongozi wachunge kauli

    "Hatuwezi kutatua matatizo kwa kuyafanya hayapo" hii ni nukuu màarufu na inayopendwa na wanaharakati wengi. Katika nukuu hii inaonyesha kuwa ili utatue tatizo ni lazima ukubali kuwa lipo kisha utafute suluhisho lake. Pia nukuu hii inaonyesha kuwa huwezi kutatua tatizo kwa kulificha...
  9. JamiiForums Tanzania Rais Samia: Tumewachagua viongozi hawa kulingana na mfumo wa kisiasa ulivyo nchini

    Unaweza kujiuliza maswali mengi kwa kauli ya mwenyekiti wa CCM ambaye ametoa kauli yenye kuleta maswali kuhusu mfumo wa kisiasa uliopo sasa hapa nchini. Hebu tuangalie kwanza. 1. Nani mshauri wa mwenyekiti wa CCM na rais wa nchi yetu? Ni mshauri pekee anayeweza kuona toafuti ya mifumo ya...
  10. JamiiForums Tanzania Njombe: Tumefanya kazi na kampuni ya Pamoja Estate Farm-PFP, hatujalipwa, tumedhulumiwa

    Kwako mheshimiwa, pole na majukumu ya kujenga taifa na pia hongera kwa kazi nzuri unazofanya. Mheshimiwa tunahitaji msaada wako wa kupata haki yetu (tumedhulumika). Tumefanya kazi, hatujalipwa fedha tulizofanyia kazi mpaka sasa. Tuliongea na Fanuel Sabini (Facebook anatumia jina la Seven Sabini...
  11. JamiiForums Tanzania Katika kukosoa na kushauri viongozi tuwe na dhamira njema, sio chuki, visa, ukanda au udini

    Nimefuatilia kwa miaka mingi sana, kuna ukanda unahisi unatengwa, hawajatoa rais, na wana kiu sana ya kupata rais wa kutoka ukanda wao. wamesahau wamewahi toa mawaziri wakuu wawili. Ukanda mwingine, wao wamepata bahati ya kupata mtu wa ukanda wa kwao aliyekuwa anawapendelea kwa kupeleka miradi...
  12. L

    JamiiForums Tanzania Viongozi wa China waendelea kuonyesha mfano katika juhudi za kuhifadhi mazingira nchini China

    Fadhili Mpunji Wiki hii Rais Xi Jinping wa China aliendelea na desturi yake ya miaka 10 ya kushiriki kwenye harakati ya kupanda miti inayofanyika kila majira ya spring yanapoanza mjini Beijing. Rais Xi Jinping aliambatana na viongozi wengine waandamizi wa China katika shughuli hiyo, na...
  13. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kabla ya kuongea na jamii kuweni na maamuzi ya pamoja ili kuepusha kupingana wenyewe

    Viongozi wetu mnafanya kazi kubwa sana katika kuhakikisha Jamii inafika au inapata kile ambacho inakusudia kupata kutoka kwa viongozi waliowachagua au kuwaweka madarakani. Katika kuhakikisha hili kumekuwa na mambo mbalimbali ambayo viongozi huja kwa raia na kuyatolea matamko au maagizo pamoja na...
  14. JamiiForums Tanzania Wanahabari kujikita kusifia viongozi zaidi ni kukosa weledi?

    Salaam Wanajukwaa, Hapo zamani ilikuwa ni nadra sana kusikia chombo cha habari kutwa nzima kinasifia kiongozi fulani lakini kadri siku zinavyozidi kwenda imekuwa kawaida na tabia hii inazidi kuota mizizi sana. Unaweza kuta kila kipindi ndani ya dk kadhaa unasikia zinamwagwa sifa za viongozi...
  15. JamiiForums Tanzania Somo kutoka Urusi: Ili Taifa lipate mafanikio lazima kuwe na "consistency" kwa viongozi wa wandamizi na nguli

    Hili ni somo ambalo Urusi wamelitumia na likawapa mafanikio makubwa sana hasa ndani ya hii miongo miwili ya Rais Putin. Ni somo ambalo China sasa wamelichukua na naona linaendelea kuwalipa. Hata jirani zetu Rwanda linawalipa. Ni somo la kuwapa viongozi Nguli na waandamizi muda wa kutosha...
  16. T

    JamiiForums Tanzania CCM ni chama kikubwa lakini kimekosa viongozi wenye ushawishi

    Waswahili wanasema wasiwasi ndio akili. Leo nami nina wasiwasi mkubwa juu ya Chama changu. Naamini CCM ni chama kikubwa sana naweza kukifananisha na mbuyu, unaweza usikatwe na shoka lakini ikipatikana zana nzuri unakatwa. Nyakati za sasa wanaCCM wanaamini katika ukubwa wa chama kuliko uwezo wa...
  17. JamiiForums Tanzania Unapokutana na viongozi mbalimbali ambao hukutarajia kuwajua

    Wakuu kuna mambo yanachekesha sana. Kusema ukweli sikuwahi kuwaza kukutana na hawa wakubwa hata siku moja, nimejikuta nimekutana nao sana tu kila mahali. Nimekumbuka hili nilipomuona Mh. Makongoro Nyerere nikacheka sana. Huyu jamaa zamani sana MK huko yani nafikiri ilikuwa ni kicheko tu. Story...
  18. B

    JamiiForums Tanzania Viongozi sikilizeni matakwa ya Wananchi, zama hizi Tofauti

    Kumekuwa na kusigishana baina ya viongozi na wananchi kwa sababu ya tofauti za kimitizamo. Hii imeshuhudia kwenye maeneo mengi. Tokea mto Mara, Katiba Mpya, wamasai Ngorongoro, dhuluma za polisi, nk. Tofauti ni jambo la kheri ila ikumbukwe mwananchi ndiye anapaswa kutamalaki. Viongozi...
  19. P

    JamiiForums Tanzania Viongozi Wakuu wa Chadema wanakifanya chama chao kuwa irrelevant kila siku

    Ndo ukweli wa wazi pamoja na Chadema kuwa na wafuasi wengi mashinani lakini wanaangushwa sana na viongozi wa juu wa Chama hicho. Mbowe ana maono makubwa na Chama ila kufungwa kwake kumesababisha amekuta ungozi wa juu wa Chama umetekwa na wanaharakati wasiokuwa na ajenda. Ajenda za Chama...
  20. JamiiForums Tanzania Viongozi, Kukosolewa si kukosewa heshima

    Pamoja na mambo mazuri ambayo viongozi wetu wamekuwa wakifanya wawapo katika madaraka yapo mengi mabaya pia wanafanya, ikiwa ni pamoja na vitendo au mipango mibaya ambayo haina tija kwa jamii au inayoumiza wananchi. Kiongozi anayefuata dhana ya utawala bora hataona kero au kakosewa heshima kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…