Unapokutana na viongozi mbalimbali ambao hukutarajia kuwajua

babukijana

JF-Expert Member
Jul 21, 2009
13,113
16,024
Wakuu kuna mambo yanachekesha sana.
Kusema ukweli sikuwahi kuwaza kukutana na hawa wakubwa hata siku moja, nimejikuta nimekutana nao sana tu kila mahali.

Nimekumbuka hili nilipomuona Mh. Makongoro Nyerere nikacheka sana.
Huyu jamaa zamani sana MK huko yani nafikiri ilikuwa ni kicheko tu.
Story, pombe story, ataimba weeh mpaka basi, mi mpambe nimo tu napiga makofi.

Haya Mkuu wa Msoga pia katika mazingira tatanishi huyu hapa.
Zamani hizo huyu jamaa kipenzi cha Ikulu.
Nnavyokumbuka wamama mawaziri walimpenda sana na aliwapa wanachohitaji. Upendo

Haya tena tukakutana na mzee kipipa.
Kuuza ndege anunue fimbo kwake sio shida wananchi tule majani.
Hakuna mtu anamwelewa BM,
Mambo yote huyu mkulu alikua hana habari na mtu.
Mind his own bussines,

Mama ndio kila kitu na wadogo zake mle ndani bata bata tu.
Badae mzee wa Msoga kawa Rais, Magu sikuwahi kumuona kipindi hicho
Lowassa, Chenge, Rostam na vidingi vya idara tulikua tunachangia mbususu tu.
Eeh unakaa jirani na maua ili unukie.

Sijui yote yaliishia wapi wakubwa hawa wengi wamekufa wengine wapo wanakula mema ya nchi.
 
Kama uliweza kuchangia mbususu na Rostam, Chenge na Lowasa, basi wewe ni mtu mzito mkuu!
 
Hao ni bin adam mkuu,majukumu yao kila siku hawana muda kukaa nyumbani na vimada wao.wife nae huko ana mambo kibao.
Ndio unakuta wanaangukia kwa hawa wahudumu mahotelini.
 
Wakuu kuna mambo yanachekesha sana.
Kusema ukweli sikuwahi kuwaza kukutana na hawa wakubwa hata siku moja, nimejikuta nimekutana nao sana tu kila mahali.

Nimekumbuka hili nilipomuona Mh. Makongoro Nyerere nikacheka sana.
Huyu jamaa zamani sana MK huko yani nafikiri ilikuwa ni kicheko tu.
Story, pombe story, ataimba weeh mpaka basi, mi mpambe nimo tu napiga makofi.

Haya Mkuu wa Msoga pia katika mazingira tatanishi huyu hapa.
Zamani hizo huyu jamaa kipenzi cha Ikulu.
Nnavyokumbuka wamama mawaziri walimpenda sana na aliwapa wanachohitaji. Upendo

Haya tena tukakutana na mzee kipipa.
Kuuza ndege anunue fimbo kwake sio shida wananchi tule majani.
Hakuna mtu anamwelewa BM,
Mambo yote huyu mkulu alikua hana habari na mtu.
Mind his own bussines,

Mama ndio kila kitu na wadogo zake mle ndani bata bata tu.
Badae mzee wa Msoga kawa Rais, Magu sikuwahi kumuona kipindi hicho
Lowassa, Chenge, Rostam na vidingi vya idara tulikua tunachangia mbususu tu.
Eeh unakaa jirani na maua ili unukie.

Sijui yote yaliishia wapi wakubwa hawa wengi wamekufa wengine wapo wanakula mema ya nchi.
So.....?
 
Back
Top Bottom