viongozi wa dini

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wangu wa Dini, Tanzania

    Kumekuwa na msuguano mkali sana kati serikali iliyopo madarakani na Vyama vya Upinzani. Vyama vya Upinzani vimekuwa vikilalamika kuwa vimehujumiwa sana hasa kwenye chaguzi za mwaka 2019, 2020 na 2024. Kutokana na upande wa serikali kutotaka kukaa pamoja na Vyama vya Upinzani na kuzimaliza...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia: Hatutamvumilia kiongozi wa dini anayechochea chuki na uhasama dhidi ya Serikali, mkawadhibiti!

    Akizungumza kwenye Baraza la Eid El-Fitri kumbi wa JNICC Dar es salaam, leo tarehe 31 Machi, 2025, Rais Samia amesema nchi yetu (Tanzania) imeendelea kuwa na Umoja na Mshikamano kwasababu viongozi wa dini wamejiepusha na mahubiri yenye uchochezi na kuleta mafarakano. Aidha ameongeza kuwa...
  3. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini vs Viongozi wa Dili

    Hapa Tanzania tuna makundi mawili ya viongozi wanaopatikana Makanisani na Misikitini. Kuna viongozi wa DINI na viongozi wa DILI. Viongozi wa DINI ni wale ambao wanapokuta dhuluma katika Nchi zinazidi sana hususani wakati wa uchaguzi hupaza sauti zao waziwazi ili kukemea udhalimu huo lakini...
  4. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mara ateta na viongozi wa dini akifuturisha

    Mkuu wa Mkoa wa Mara Kanali Evans Mtambi amewataka Viongozi wa Dini kusaidia Serikali katika mapambano ya dhidi ya Vitendo vya Ukatili na Mmomonyoko wa maadili,Ulinzi na amani kuelekea Uchaguzi Mkuu. Mtambi ametoa kauli hiyo Wakati alipowaalika Viongozi wa Dini katika Futari Ikulu ndogo ya...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini Shinyanga Wakemea Ukatili dhidi ya Watu wenye Ualbino Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025

    Kuelekea katika Uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 viongozi wa Dini mkoani Shinyanga wamekemea vitendo vya ukatili wanavyofanyiwa watu wenye Ualibino ikiwemo mauaji ambayo hushamiri wakati wa uchaguzi yahusishwa na imani za ushirikiana kwa dhana potofu ya kupata uongozi. Tamko hilo limetolewa na...
  6. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini watoa elimu ya Uraia kuhamasisha ushiriki wa Uchaguzi 2025

    Viongozi wa dini Tanzania wamefanya semina elekezi kwa viongozi wa dini mbalimbali pamoja na wananchi kuhusu Elimu ya Uraia nchini Tanzania. Akizungumza na vyombo vya habari Padri Charles Kitima ambaye ni Katibu Mkuu TEC amesema lengo kuu la semina hiyo ni kuwapa elimu wananchi hasa kipindi...
  7. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa dini Arusha wamuombea Dua, Mrisho Gambo na Rais Samia

    Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo amefuturisha viongozi wa Dini ya Kiislam, Yatima na Wajane zaidi ya 1,000 siku ya Jumamosi ya Tarehe 22 March 2025 Jijini Arusha. Kwenye hafla hiyo viongozi wa Dini wamemuombea DUA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr. Samia Suluhu...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Askofu wa Anglikana aomba viongozi wa dini kuwa na mwakilishi bungeni

    Wakuu, Askofu wa Pili wa Kanisa la Anglikana, Jimbo la Tarime mkoani Mara, John Nyaitara, ameiomba serikali kuwapa viongozi wa dini nafasi ya uwakilishi bungeni ili waweze kushughulikia changamoto zinazozikumba taasisi za dini. Askofu Nyaitara alitoa ombi hilo juzi mbele ya Mkuu wa Mkoa wa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Viongozi wa Dini waomba kwa Rais Samia kuwa na uwakilishi Bungeni kulingana na Madhehebu Yao. Mimi napinga Wazo hilo

    Ndugu zangu Watanzania, Viongozi wa Dini Wameomba na kumsihi Rais Samia awapatie nafasi ya kuwa na uwakilishi Bungeni ili waweze kushiriki vyema katika kutoa michango na mawazo katika utungaji wa sheria zinazogusa masuala ya Imani . Mimi Lucas Hebel Mwashambwa napinga wazo hilo kukubaliwa na...
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Rais Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akijumuika na viongozi mbalimbali kwenye Iftar aliyowaandalia viongozi wa dini, wazee wa Mkoa wa Dodoma pamoja na makundi maalum katika viwanja vya Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 15 Machi, 2025.
  11. JamiiForums Tanzania PreGE2025 RC Mtwara atoa wito kwa viongozi wa dini kuwaelimisha waumini kuchagua viongozi bora 2025

    Viongozi wa dini mkoani Mtwara wametakiwa kuendelea kuwaambia waumini wao juu ya kuchagua viongozi bora watakaoleta maendeleo ndani ya mkoa na taifa kwa ujumka utakapofika uchaguzi mkuu mwaka huu 2025. Hayo yameelezwa na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala wakati wa ghafla fupi ya...
  12. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sheikh Ponda: Viongozi wa dini waache tabia ya UCHAWA

    Katibu Mkuu wa Shura ya Maimamu Tanzania, Sheikh Ponda Issa Ponda amesema anakereka na tabia za baadhi ya watu wakiwemo viongozi wa kidini kuwa na tabia za kusifia sana viongozi kupindukia(chawa) tabia ambayo pia imeingia hata kwa viongozi wa kidini. Sheikh Ponda amesema hayo alipokuwa akifanya...
  13. JamiiForums Tanzania Ni kwanini mafundisho ya viongozi wa dini yamejikita zaidi kwenye ngono?

    Takwimu zinathibitisha na ukweli unajidhihirisha wazi na kila mahali. Sina shaka hata wewe mwanaJF unayesoma munakasha huu umewahi kusililiza clips za viongozi wa dini ambazo nyingi zinahusu masuala ya ngono na kujamiiana. Hebu pia msikilize na huyu kiongozi wa dini jinsi mafundisho yake...
  14. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Picha: Viongozi wa Dini wakiwa viwanja vya Leaders, Kuliombea Taifa Amani na Rais Samia Suluhu Hassan

    Viongozi mbalimbali wa Dini wakiwa katika Viwanja vya Leaders tayari kwa ajili ya maombi ya Kitaifa ya kuliombea Taifa Amani pamoja na kumuombea Rais wa Jamhuri ya Muungano Tanzania Samia Suluhu Hassan. Soma Pia: Dar: Viongozi wa Dini kufanya maombi kwaajili ya Rais Samia kuelekea Uchaguzi 2025
  15. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Wananchi wasusia intro ya maombi ya viongozi wa dini kuomuombea Rais Samia, wajitokeza wao na bodyguards wao!

    Wakuu, Kunazidi kuchangamka huko, maombi ya kina kuhani Mussa na chawa wengine kwenye dini yana dalili kubwa ya kubuma kesho, leo wamejitokeza wao na bodyguards wao kupiga maombi kwaajili ya Rasi Samia. Wananchi wanazidi kuamka... mpaka mama anamuita waziri Mh. Rais mchezo!
  16. JamiiForums Tanzania PreGE2025 John Heche: Tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki. Tutawashirikisha Viongozi wa dini, mashirika ya kimataifa, balozi na NGO's

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, John Heche akizungumza kupitia East Africa Radio leo Feb 27, amesema; "Katika mazingira yaliyopo hatutashiriki na uchaguzi hautafanyika, tumeamua kuhakikisha kwamba uchaguzi haufanyiki" Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu: Viongozi wa dini msiwaombee wezi wa uchaguzi

    Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa Tundu Lissu amesema kuwa katika kutimiza ajenda ya "No Reform No Election' chama hicho kimelenga kuwajumuisha viongozi wa dini ili nao wawe sehemu ya mabadiliko ya kisiasa nchini ikiwamo mfumo wa uchaguzi. Kupata matukio na taarifa...
  18. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu

    Baadhi ya viongozi wa dini wa Wilaya ya Ikungi, mkoani Singida, wamewasihi wanasiasa kuwa na hofu ya Mungu, hususan katika kipindi hiki cha kuelekea Uchaguzi Mkuu, ili kudumisha amani ya taifa. Aidha, wameeleza kuwa hawaungi mkono wanasiasa wenye kauli za vitisho na zinazoweza kusababisha...
  19. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu awashangaa wanaohoji ushiriki wa viongozi wa dini kwenye siasa, ameeleza kuwa sekta ya dini ina mchango mkubwa kwenye siasa

    "Utawakumbuka kina mch. Peter Msigwa, mch. Getrude Rwakatare, Askofu Josephat Gwajima, Mch. Israel Nakse mbunge wa karatu baada ya Dkt. Slaa wote hawa ni viongozi wa kidini ambao wametoa mchango mkubwa katika maendeleo ya kisiasa ya nchi hii. Kwa hiyo hii fikra kwamba viongozi wa kidini...
  20. JamiiForums Tanzania Tukiweka pembeni ufia Dini kwanini makanisani kuna walinzi na viongozi wa dini wana walinzi lakini sisi waumini tunaambiwa malaika watatulinda?

    Makanisani yote makubwa ya mjini yana walinzi na mageti ukienda kwa watumishi (manabii,Mitume) wana bodyguard zaidi ya 4 na wanawalipa kabisa.Imefikia wakati hata akiwa anahubiri huko madhabahuni ana walinzi.Angalia ibada za Geodav na kiboko ya wachawi. Zaidi ya yote ukifika kwenye familia zao...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…