Viongozi wa dini wamempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kazi mbalimbali zinazotekelezwa na Serikali, wakisema mafanikio hayo yanaonekana na kugusa maisha ya wananchi.
“Kazi umeifanya, imeonekana,” viongozi hao wamesema, wakimpongeza Rais Samia kwa namna anavyoendelea kuiongoza nchi.
Soma...