vingine

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania CCM ijitahidi kutenda mambo mazuri ili kutoviharibu vyama vingine vinavyoiga yanayofanywa na CCM

    CCM ni baba wa vyama vyote vya siasa Tanzania. Vyama vyote vinaitazama CCM kama kioo chao. Iwe kwenye jema au baya. Mara nyingi huko CHADEMA kukitokea mambo ya kipuuzi hukimbilia kujitetea kuwa CCM wanafanya mabaya zaidi. Kwa mfano ukiuliza kuhusu michango na ruzuku utajibiwa kwa kuambiwa...
  2. JamiiForums Tanzania Majaliwa Stadium uwe reference kwa viwanja vingine Ligi Kuu

    Ukiacha viwanja vikubwa vinavyojulikana kama Mkapa Stadium na Azam Complex, Kwakweli huu uwanja wa Majaliwa licha ya kuwa mkoani lakini una muonekano mzuri sana na standard hususan kwa vilabu vidogo vya mikoani zinazoshiriki ligi kuu.Ni aibu kwa baadhi ya timu tena kongwe kama JKT kutumia uwanja...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vya upinzani vinavyoijua nguvu ya CCM kwenye Urais vimekubali kumuunga mkono Rais Samia na vinahangaikia ubunge. Ila vingine...

    Wahenga walisema Kwa 'shujaa uenda kilio ila Kwa mwoga huenda kicheko' ,huu msemo unaweza kutumika kuelezea Kwa kirefu maisha ya vyama vya siasa vya upinzani Tanzania. Kwa mtazamo wangu kulingana na siasa zetu, Kuna makundi matatu ya vyama vya upinzani. Kundi la kwanza, vyama majasiri Kundi...
  4. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  5. JamiiForums Tanzania Wanaccm tukumbuke kulipia kadi zetu za uanachama, tuonyeshe vitendo na mifano kwa vyama vingine!

    LIPA ADA YAKO YA UWANACHAMA KUPITIA MITANDAO YA SIMU: Fahamu namna ya kulipa Ada ya Uanachama wa CCM na jumuiya zake kupitia mitandao ya simu. Ili kutimiza wajibu wa kikatiba wa kulipa Ada, ewe mwanachama zingatia namna zifuatazo katika vipeperushi(bango) jinsi ya kulipa Ada kupitia mitandao...
  6. JamiiForums Tanzania Je, kama vyama vingine vya siasa Tanzania vina nia nyingine, kwanini haviondolewi kwenye usajili?

    Kwa mujibu wa sayansi ya siasa, chama cha siasa kina nia moja tu, kukamata dola na kuwahudumia wananchi wote. Mhe. Rais amesema kuna vyama vina nia tofauti. Je, ni tofauti na hiyo nadhalia ya sayansi ya siasa? Au tofauti na nia ya CCM? Je, nia ya CCM inarandana na nia iliyopo kwenye sayansi ya...
  7. JamiiForums Tanzania Kipi kinafanya Rasimu ya katiba ya warioba ikose uhalali kwa Serikali na CHADEMA na Vyama vingine vya upinzani kuipigia kelele kuhalalishwa?

    Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo? Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
  8. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kitu gani cha Ajabu wanachofanya CCM Madarakani ambacho vyama Vingine haviwezi kufanya?

    Kila siku tunaambiwa ikitoka CCM Madarakani hakuna chama kingine cha siasa chenye uwezo wa kuchukua nafasi yake. Hivi CCM inafanya kitu gani chanya kwa Tanzania ambacho vyama vingine vya Siasa havitaweza kufanya CCM ikitolewa madarakani?
  9. JamiiForums Tanzania Sebuleni kunakaa TV na makochi pekee hivyo vingine vyote ni uchafu

    Habazi za jumapili ndugu zangu, twende moja kwa moja kwenye mada, sijaandika mada hii kumkejeli mtu. Sebuleni panapaswa kuwa kama hiyo picha hapo chini, sebule haipaswi kuwa na friji, jiko la gesi, ndoo, kabati la vyombo na vingine kubao hivyo vyote ni uchafu vikikaa hapo sebuleni. Note: Hiyo...
  10. JamiiForums Tanzania Serikali yasema inajenga vituo vingine vitatu vya Nishati ya gesi ya magari

    Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti imefanya ziara ya ukaguzi wa miundombinu ya Mradi wa Umeme wa Kinyerezi One ambao pia itatumika katika Mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kueleza kufurahishwa na maendeleo ya mradi huo, leo Jumatano Desemba 13, 2023. Akizungumza mara baada ya ukaguzi wa Kamati...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ni mtaji na location vingine mbwembwe tu

    Ukiwa n'a uwezo WA kufata bidhaa zinapotengenzwa 90%umewin kwenye biashara Tayar Mfano kama Una uwezo WA kuchukua mzigo WA nguo kutoka china ,uturuki , Thailand n.k biashara yako itasimama Sababu. mzigo ukishafika Tanzania unakua n'a wateja WA uhakika ,hakuna kubagein, unauza mzigo mkubwa...
  12. JamiiForums Tanzania Kwanini kucha, nywele huendelea kukua hadi uzeeni na sio meno na viungo vingine?

    Pengine elimu ya viumbe ilinipita kando au mwalimu wangu hakugusia hilo katika ufundishaji wake au mimi sikukumbuka kuulizia hilo enzi ninasoma. Sasa Nakuja kwenu nikiamini mnaweza kunipa jibu litakalo nisaidia kuelewa ni kwanini baadhi ya viungo vya mwili kama kucha na nywele huendelea kukua...
  13. JamiiForums Tanzania CHADEMA inazuia Watanzania kuanzisha vyama vingine vya Siasa?

    Imekuwa kama ni gubu dhidi ya CHADEMA . Ni kama vile CHADEMA inashutumiwa kila wakati jambo fulani linapokwenda mrama nchini Tanzania. Lakini shutuma kubwa kwa CHADEMA ni kuwa ama kitasemwa na CCM kama ni chama hatari Kwa maslahi ya taifa au na vyama vingine kuwa CHADEMA ni dhaifu dhidi ya CCM...
  14. D

    JamiiForums Tanzania MEXICO UFO HEARING ( uwepo wa viumbe vingine duniani )

    they have been discussion of aliens in Mexico congress under oath and here are the details and the Anatomy of the aliens as well as the dna analysis . They are over 1000 years old Here is dr salce in Swahili sehemu yake ya anatomia ilizungumzwa kibinafsi na Dk. Jose Salce Benitez ambaye...
  15. JamiiForums Tanzania Mbona CHADEMA wanafanya Siasa peke yao. Wengine wapo wapi?

    Tanzania Kuna vyama zaidi ya 19 vya Siasa. CCM ndicho kinaongoza Serikali Kwa Sasa. Vyama vingine nje ya CHADEMA na CCM mbona havifanyi siasa? Wale ambao huwa wanaishutumu CHADEMA kuwa Iko mitandaoni tu mbona wao hawafanyi Siasa?
  16. JamiiForums Tanzania Mbowe: CCM hawana ugomvi na vyama vingine vya siasa, wana ugomvi na CHADEMA

    Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kuwa CCM haina ugomvi na vyama vingine vya siasa zaidi ya CHADEMA kwasababu wanajua CHADEMA ni chama cha watu, na mimi nilimwambia Hayati Magufuli kuwa ukimuua Mbowe unaweza lakini huwezi kuiua CHADEMA, kwasababu CHADEMA ni imani ya watu. Pia amewataka wanaMagu...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi mtu kuwa charismatic ni kipaji au?

    Aina hii ya watu ni kama wana sumaku ya mvuto, mtu yupo simple tu anavaa kawaida, sura ya kawaida, uchumi wa kawaida lakini watu wanampenda sana uwepo wake, kuongea nae, kuchati nae, kwenda kumsalimia, n.k. Ni mtu ambae hata akiwa mgeni sehemu flani basi kesho yake kashazoeleka, akikaa sehemu...
  18. JamiiForums Tanzania Waziri Masauni ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamadi Masauni, ameonya watu au vikundi vya watu ambavyo vinatumia uhuru wa kutoa maoni kutoa kauli za uchochezi na zenye mrengo wa kutaka kuligawa taifa, ambapo amesema serikali haitavumilia vitendo hivyo. == Waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi, Mhandisi...
  19. M

    JamiiForums Tanzania Urusi ilivyosema sitishiwi na vifaru vya Ujerumani leopords-2, vitaunguzwa kama vilivyounguzwa vifaru vingine. Kweli imevitia kiberiti

    Rais Zelensky wa Ukraine alipigia debe sana kupewa vifaru vya ujerumani vinavyoaminika sana ulaya. Ujerumani ilikuwa haitaki kutoa vifaru vyake. Lakini mwisho wa siku ujerumani ikakubali kuipa ukraine vifaru vyake na kuruhusu nchi zingine kuipa ukraine vifaru vya Leopords-2. Vyombo vya...
  20. JamiiForums Tanzania Tujuane ambao tukivurugwa na mapenzi bajeti ya pesa inavurugika , matumizi yanazidi na tabia zngine ikiwepo na kuvuta pisi mpya fasta.

    Helllo, Kuna watu sijui tupoje, mimi nainjoi mapenzi kiasi kwamba mpenzi au baby mapenzi akinivuruga ujue hapo kibajeti na kipesa ntavurugwa matumizi yanaongezeka ikiwemo kula sana bata, kukesha viwanja, natafuta demu kivyovyote vile na naonesha umwamba sana, nakula sana bia, nikitoka out...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…