Kwa muda mfupi nilidhani Gwajima ni mtu mwenye busara na uwezo wa kutafakari mambo. Lakini kwa hii Press Conference yake nimemtoa tena kwenye watu wenye hekima.
Bila aibu kabisa anasema CCM iwape Chadema minimum reforms na kuwaruhusu waingie kwenye uchaguzi. Ni aibu sana mtu kama Gwajima...
Hamas inasema inashauriana na makundi mengine ya Wapalestina kabla ya kutoa jibu rasmi kwa pendekezo la hivi punde la usitishaji vita upya huko Gaza na kuachiliwa kwa mateka lililotolewa na Marekani.
Rais Donald Trump alisema Ijumaa asubuhi kwamba alitarajia kujua ndani ya saa 24 ikiwa Hamas...
Katika ulimwengu wa kiroho, watu wengi hujikuta wakivutiwa na matumizi ya mafusho (udi, ubani karafuu mdalasini na aina mbali mbali za mafusho kulingana na nyota yako), vito , na vitakasa mbalimbali vya kiroho kama maji ya kutakasa, chumvi, n.k.
Hivi vyote vina nafasi yake. Ni kama mafuta...
Kila nikiwa idle akili yangu huwa inanipeleka kufikiria vitu ambavyo hata mimi nashangazwa navyo lakini kwa hili,, nmeona bora nililete tufikirie wote🫠
Isaya anatuambia huko kwenye mbingu mpya/Yerusalemu mpya
Kutakuwa na maisha kama ya hapa duniani tu yaani anasema
watu watajenga nyumba
watalima
Wazee hawatakufa kabla ya wakati (hivyo kumbe kuna kufa tena kwenye mbingu hii)
Na watazaa watoto kama kawaida
haya yote yameandikwa na nabii isaya...
CHADEMA wamegoma kusaini kanuni za maadili toka Tume Huru ya Uchaguzi na hivyo hawatashiriki uchaguzi mkuu mwaka huu.
Mwanachama yeyote toka CHADEMA aliye na uchu wa madaraka sasa ni ruksa kuhamia Vyama vingine ili awe na uwezo kuwa Mhe. Mbunge au Diwani. Wakati ni sasa na usipoteze muda wako.
Je chadema watatumia mbinu hii ya kufanyia vyama vingine vurugu ili visipitishe wagombea, au kitawadhuru au hata kuwatishia maisha watu watakaotumia haki yao kugombea pamoja na familia zao?
Haya ndio mambo ya kujadili, nadhani wanapanga uhalifu mkubwa sana kuuwa watu wasio na hatia
Mimi ni muumini wa demokrasia na uchaguzi huru na haki, na ni mwana mageuzi kutokea NCCR sasa naomba nifahamishwe mikakati iliyopo ya kukabiliana na changamoto za sasa za uchaguzi iwapo watashiriki.
Mimi ninaamini iwapo kama hapatakuwa na mifumo na utashi wa kisiasa CCM lazima ichukue kata...
Salaam
Wakuu wa Mikoa na Wilaya ndio Wenyeviti wa Kamati za Ulinzi na Usalama.
Ila kila siku naona wanahudhuria Vikao na Mikutano ya Kisiasa ya Chama cha Mapinduzi lakini si vyama vya Upinzani.
Kwanini vyama vya Upinzani havishirikishwi kwenye vikao vya Ulinzi na Usalama wa Nchini?
Je...
Ushauri wa Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa umeanza kuchukuliwa na Vyama vingine. Mwenyekiti Lissu alishauri kuwa uongozi katika Vyama viwe na ukomo. Alitoa mfano wa Ubunge wa Viti maalum kuwa wabunge hawa wawe na ukomo ili na wengine waingie baada ya muda fulani.
Leo hii CCM katika kikao chao pia...
Ulishawahi kukutana na dawa ya ugonjwa lakini ukashindwa hata kuamini imewezekana vipi?
Miezi kadhaa hapa nyuma niliamka tu mguu unaumwa kama vile umetenguka. Wakati huo sijakutana na hali yoyote yenye uwezo wa kusababisha majeraha. Muda ulivyokuwa ukizidi kwenda hali ikazidi kuwa mbaya kiasi...
Waathirika wa madawa ya kulevya wengi ukiangalia sehemu kubwa ni mikoa yenye idadi kubwa waislamu.
Mfano tanga,dar es salaam na nchi ya zanzibar.
Kesi nyingi za ubakaji,ulawiti,ngono zembe,idadi kubwa ni upande huu.Ndio maana ikifika karibia na mfungo watu ufunga ndoa kwa madhumuni ya kujipatia...
Mbunge wa Jimbo la Makambako Mkoani Njombe Deo Sanga (Jah People) amesema kuwa wale wanaosema CCM kumpitisha Samia, waende Vyama vingine bado havijateua wagombea wakashauri huko
Amesisitiza CCM chama kimeamua kwa kauli moja kumuunga mkono Rais Samia.
Ni wazi matokeo yoyote ya ushindani, minyukano na uhasama wa kisiasa baina ya viongozi wanao gombea nafasi ya uenyekiti wa Chadema Taifa, kutaidhoofisha chadema yenyewe na kuimarisha vyama vingine vya siasa nchini, ikiwa ni pamoja na chama tawala.
Hakuna atakaeshinda uongozi wa chadema Taifa...
Wakuu,
Wale wana CHADEMA ambao mnahisi Mbowe hatoshi kuongoza chama chenu mna salamu zenu huku kutoka kwa Dr Aikande ambaye ni mwanachama maarufu.
Kwa logic hii maana yake pia CHADEMA mtafute nchi nyingine ya kuishi muache kuilalamikia CCM kwani kuna nyingine 194 duniani...
Wakaangaji na wachomaji kitimoto wa bongo ni kama hawajui viungo vingine vya kuweka katika nyama pendwa zaidi ya tangawizi tu. Nyama nyeupe kama za kitimoto, kuku na Samaki zinanoga zaidi mpishi akiwa na ubunifu mkubwa katika kuziwekea viunguo(spices) mchanganyiko.
Tanzania tuna vyama vya siasa takribani 18 kama sijakosea. Vyama ambavyo vimekua vikilalamika tangu wakati wa uandikishaji wapiga kura nawaona CHADEMA, CUF NA ACT.
Hii inadhihirisha kwamba wale wala ubwabwa na wenzake wamesimamisha wagombea na hawajakutana na changamoto yoyote. Na inasemekana...
Niaje waungwana
Japo mimi sio mchambuzi mzuri wa mambo ya siasa, lakini nina imani kuwa wengi mtakubaliana na mimi kwamba utawala wa awamu ya nne na ya sita vinafanana sana, sema tofauti ipo kwenye jinsia ambapo awamu ya sita wanawake wameongezeka zaidi katika uongozi kuliko ilivyokuwa awamu ya...
naona anakoenda siko kabisa nami kama mtu mzima niliyeweza kujionea uhalisia wa muziki ni wasanii wachache sana wanaoweza kupenya na wengi hawafiki kokote na hata kuharibu maisha ya baadhi ya vijana ninasikitika kwamba dogo anaweza kuingia huko.
Mara kadhaa anashea nami miziki yake kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.