vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. L

    JamiiForums Tanzania Wanawake wapiga hatua muhimu kubadilisha jamii licha ya vikwazo

    Na Serah Nyakaru Juhudi za wanawake kuleta mabadiliko duniani sasa zinaonekana katika kila pembe ya dunia. Nchi zilizostawi na zinazostawi kote duniani zina miradi ambayo inaendeshwa ama ilianzishwa na wanawake tofauti na ilivyokuwa hapo awali ambapo mfumo dume uliwatenga wanawake. Hivi sasa...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania Rais Zelensky ahimiza vikwazo zaidi dhidi ya Urusi

    Rais wa Ukraine, Volodymyr Zelensky ametoa wito kwa Mataifa ya Magharibi kuimarisha vikwazo dhidi ya Urusi, akikosoa Viongozi kwa kutojibu tangazo la awali la Wizara ya Ulinzi ya Urusi kuhusu kushambulia majengo ya Kijeshi na Viwanda ya Ukraine. Pia, ametoa wito wa kuwafikisha mahakamani...
  3. M

    JamiiForums Tanzania "Mpishi wa Putin" naye awekewa vikwazo vya uchumi na Serikali ya Marekani

    Mzuka wanajamvi! Sankshen zinabite kichiz kwa Putin. Biden sasa hivi ameamua kuendelea kupiga vikwazo vya kiuchumi kwenye inner circle ya Putin na familia zao. Kampiga vikwazo vya uchumi mpishi mkuu wa Putin Yevgeniy Prigozhin mwenye utajiri wa dola za kimarekani million 30. Hataweza tena...
  4. John Haramba

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vyaendelea, Ujerumani yazuia boti ya bilionea wa Urusi

    Mamlaka nchini Ujerumani zinashikilia boti ya kifahari ya bilionea wa Urusi, Alisher Usmanov yenye thamani ya Sh trilioni 1.4. Hatua hiyo imekuja siku mbili baada ya Umoja wa Ulaya (EU) kumuwekea vikwazo alivyodai vina lengo la kumchafua, na kwamba atapambana kulinda heshima yake. Vikwazo...
  5. S

    JamiiForums Tanzania China yapinga vikwazo vya US na EU dhidi ya Russia, yasema itaendelea kufanya biashara na Russia

    Wizara ya Mambo ya nje ya China imesema China yapinga vikwazo vilivyowekwa vya kujiamulia na Marekani na Jumuia ya nchi za Ulaya dhidi ya Russia. Msemaji wa Wizara hiyo amesema kuwa vikwazo hivyo havina msingi wowote ktk sheria za kimataifa. ======...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vya kiuchumi na 'double standards' za nchi za Magharibi

    Uvamizi wa nchi ya Ukraine uliofanywa na Urussi umeshuhudia vikwazo lukuki vikiwekwa na nchi za magharibi dhidi ya Urusi. Kwa wale tuliokuwa watu wazima miaka ya 70 na 80 (akiwemo bwashee) watakumbuka nchi hizo za magharibi zilikataa katakata kuweka vikwazo dhidi ya Afrika Kusini iliyokuwa...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Hii vita ni Makombora vs Vikwazo vya kiuchumi, mmoja anakaribia kuomba poo!

    Kama una kijana wako anasoma Russia basi ujue hali ya utumaji fedha nchini humo imeanza kutatizika mifumo ya benki kuu yake imeelemewa na mingine haina access na International systems. Wewe unapiga kwa makombora mwenzako anautandika uchumi wako ni lazima ama uombe poo au ukimbilie nyuklia kwa...
  8. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi

    Marekani na mataifa mengine ya magharibi yaiwekea vikwazo mbalimbali vikiwemo vya kiuchumi nchi ya Urusi. Nikianza na marekani: Whitehouse PRESIDENT BIDEN IMPOSES SEVERE COSTS ON RUSSIA FOR ITS INVASION OF UKRAINE FEBRUARY 22, 2022 Full blocking sanctions on two large Russian financial...
  9. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani yatangaza vikwazo vya viza dhidi ya Maofisa wa Somalia

    Marekani imetangaza vikwazo vya viza dhidi ya maafisa wa sasa au wa zamani wa Somalia wanaotuhumiwa kuhujumu michakato ya kidemokrasia. Hatua hiyo inakuja wakati ambapo Marekani inasukuma kufanyika kwa uchaguzi wa kuaminika nchini Somalia - ambao umechelewa kwa muda mrefu. Katika taarifa...
  10. sabuwanka

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati yao

    Tanzania, Kenya waondoa vikwazo 46 kati ya 64 Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan, akizungumza na mgeni wake Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta Rais Samia Suluhu Hassan amesema Tanzania na Kenya zimefanikiwa kuondoa vikwazo 46 vya biashara kati ya 64 vilivyokuwepo kati ya nchi hizo mbili ikiwa ni...
  11. HaMachiach

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya kupata visa ya England bila vikwazo

    Habari za asubuhi wakuu naamini mmeamka salama kabisa. Ninaomba msaada namna nitakavyo weza kupata visa ya kwenda kwa Malkia ni process zipi nizifuate na pia gharama inaweza kuwa shilingi ngapi? Na nyaraka zipi niziandae kwajili ya hili zoezi na mda gani inaweza kukamilika.
  12. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu

    Marekani yaiwekea vikwazo kampuni ya programu ya Pegasu Serikali ya Marekani imeiweka kampuni ya Israel inayotengeneza programu ya udukuzi ya Pegasus kwenye orodha ya makampuni mabaya, ikiishtumu kwa kutengeneza na kusambaza programu ya ujasusi kwa serikali za kigeni, zilizoitumia vibaya...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Katika maisha yetu vikwazo vyetu ni watu wanaotujua

    Watu wanaotujua ni ndugu, jamaa, marafiki, tuliopo nao makazini, majumbani, mitaani na sehemu mbalimbali. Hii huwezi pinga kwa sababu changamoto za maisha na mafanikio ulizo. Asilimia kubwa vikwazo vyetu ni watu wanaotujua na si mtu asiye kujua. Watu wanaotujua ni ngumu sana kukubali kila...
  14. Tony254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya na Tanzania zinazidi kupunguza vikwazo vya biashara baina ya nchi hizi mbili

    Baada ya Rais Uhuru na Samia kutoa agizo kwamba mazungumzo yafanyike ili kuondoa vikwazo vya kibiashara, juzi wakuu wa serikali hizi mbili walifanya kikao cha siku tatu huko Mombasa na kukubaliana kuondoa vikwazo 12 zaidi. Sasa vikwazo 18 pekee ndio vimesalia na vitaondolewa kabla ya mwaka huu...
  15. U

    JamiiForums Tanzania Vikwazo na Mafanikio

    KIKWAZO KIKUU CHA KUTOFANIKIWA NI HIKI. Kwenye jamii yoyote ile, asilimia 10 ndiyo wenye mafanikio huku asilimia 90 wakiwa hawajafanikiwa. Na zaidi, asilimia 1 wana mafanikio makubwa kuliko asilimia 99 iliyobaki. JE, NINI KINATENGENEZA HALI HIYO? Kuna njama zinazofanywa ili kuwazuia wengi...
  16. beth

    JamiiForums Tanzania ECOWAS yatangaza vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Guinea

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeweka vikwazo dhidi ya Wanajeshi waliofanya Mapinduzi Nchini Guinea wakitaka Uchaguzi Mkuu kufanyika ndani ya miezi 6. Wameweka marufuku ya kusafiri kwa Wanajeshi hao pamoja na ndugu zao, wakisisitiza Rais Alpha Conde kuachiwa mara...
  17. MK254

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mpaka sasa Kenya na Tanzania zimeondoleana vikwazo 30, na kukamilisha vyote kufikia Desemba

    Mama Samia ameamua kunyoosha kwa kwenda mbele, hataki hayo maisha ya uwoga uwoga, kazi zifanyike....... Kenya and Tanzania have set December as the target time when the two neighbouring countries will have resolved most of the non-tariff barriers affecting cross-border trade. The decision came...
  18. Ritz

    JamiiForums Tanzania CHADEMA haya ndiyo mataifa mnaomba yaiwekee Tanzania vikwazo vya kiuchumi

    Wanakumbi. CHADEMA wakiongozwa na Tundu Lissu, mmeayaona mataifa ambayo mnataka Tanzania iwekewe vikwazo vya kiuchumi. Kesi ya Mbowe ipo Mahakamani, manachoweza kufanya kwa sasa ni kuitaka Judiciarytz kusimamia sheria na haki siyo Rais Samia, kusema aachiwe. Utawala wa Sheria hautaki hivyo...
  19. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Vikwazo kwa Wanasoka Vijana wa Tanzania katika kucheza soka la kulipwa nchi za nje

    Soka ( ama mpila wa miguu ) ni moja kati ya michezo inayopendwa na kufuatiliwa sana ulimwenguni kote, Mchezo huu una wafuasi wengi zaidi ya michezo mingine duniani, Vijana mbali mbali duniani wamekuwa wakifaidika, kuwa maarufu na kujipatia maendeleo kupitia soka, vivo hivyo , Ndizo ndoto za...
  20. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Uingereza yaondoa vikwazo vyote vya COVID-19

    Serikali ya Uingereza imetangaza kuanzia leo kuondoa masharti yote ya kuzuia kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona. Hata hivyo, hatua hiyo imepingwa na wanasayansi na vyama vya upinzani wakisema kuwa itaiweka nchi hatarini. Kuanzia saa sita ya usiku vilabu vya starehe vyote viliruhusiwa...
Back
Top Bottom