vikwazo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Tanzania na Kenya zimetia saini makubaliano ya kuondoa vikwazo vya kibiashara

    Waziri wa Viwanda na Biashara wa Tanzania, Profesa Kitila Mkumbo alisema kuwa utiaji wa makubaliano hayo ni mojawapo ya jitihada za kuwezesha mahusiano ya biashara na nchi jirani kufuatia ziara iliyofanywa nchini Kenya Alisema jumla ya vikwazo 37 vilijadiliwa katika mkutano wa pande zote hapo...
  2. beth

    JamiiForums Tanzania ECOWAS yatishia kuirejeshea Mali vikwazo. Mapinduzi ya pili ndani ya miezi 9 kujadiliwa

    Jumuiya ya Kiuchumi ya Nchi za Afrika Magharibi (ECOWAS) imeonya kuwa inaweza kurejesha Vikwazo Nchini Mali kufuatia Kanali Assimi Goita kuchukua madaraka. Kanali Goita ameitwa kwenye Mkutano wa Dharura wa Viongozi wa Afrika Magharibi Nchini Ghana ambapo mapinduzi ya pili ya Mali katika miezi 9...
  3. beth

    JamiiForums Tanzania Belarus yawekewa vikwazo baada ya kulazimisha ndege itue na kumkamata Mwandishi wa Habari

    Viongozi wa Umoja wa Ulaya (EU) wamekubaliana kuwekwa vikwazo dhidi ya Belarus kufuatia tukio la Ndege kulazimishwa kutua ili kumkamata Mwandishi wa Habari mwenye aliye na mrengo wa Upinzani. Roman Protasevich alikuwa kwenye ndege kutokea Ugiriki kwenda Lithuania ambayo ililazimika kutua Mji...
  4. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Mtu anaweza kununua views, comments, likes na subscribers. Zijue sababu na vikwazo

    Nimekuwa nikishangaa sana kiasi kufikia mpaka kuona aibu kwamba naishi na jamii ambayo ipo nyuma sana kwenye maswala ya teknolojia. Haya mambo ya kununua youtube views katika ulmwengu huu yapo tangu zaidi ya miaka 10 lakini inatia aibu kwamba hata baadhi ya wasomi wameuwa wabishi, Watu kununu...
  5. Behaviourist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan: Kwenye nchi zetu mbili moja ina 'uhuru' wa kufanya biashara na nyingine ina 'suluhu' ya kuondoa vikwazo vya kufanya biashara

    Haya ni maneno ya Rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwa katika ziara yake huko Kenya.Haya maneno yamenishtua sana na kunifanya nijiulize maswali lukuki. Ni nani huyo mtu ambae aliweka vikwazo vya Kufanya biashara Tanzania hadi ihitajike 'Suluhu'? Wananchi wa Tanzania walimchukulia hatua...
  6. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Marekani yaiwekea Uganda vikwazo vya kusafiri, yasema uchaguzi ulichakachuliwa

    Marekani imesema inawawekea vikwazo vya viza watu wanaoaminika kuhusika au kushirikia katika kudhoofisha mchakato wa demokrasia nchini Uganda, ikiwemo wakati wa uchaguzi wa Januari na kipindi cha kampeni. Waziri wa mambo ya nje Antony Blinken amesema katika taarifa kuwa vitendo vya serikali ya...
  7. beth

    JamiiForums Tanzania Marekani mbioni kuweka vikwazo vipya dhidi ya Urusi

    Imeripotiwa kuwa Serikali ya Marekani inatarajia kuweka vikwazo dhidi ya Urusi, hatua ambayo imetajwa kuwa majibu dhidi ya mashambulio ya kimtandao yaliyolenga Marekani ikiwemo madai ya kuingilia Uchaguzi wa Urais 2020. Vikwazo hivyo vinavyotarajiwa kutangazwa hivi karibuni vinalenga zaidi ya...
  8. lee Vladimir cleef

    JamiiForums Tanzania Vikwazo vyaiumiza Urusi, havijaweza kuipinda, yapata funzo

    Nchi jirani ya Ukraine imesababisha Russia kuingia katika mgogoro mkubwa na West ambao haujawahi tokea tangu kuvunjika kwa USSR. Russia ni taifa kubwa kieneo,kisayansi,kiteknolojia na hata kiuchumi. Ina rasilimali nyingi kuliko nchi nyingi duniani ikiwa na mafuta,gesi na madini ya aina nyingi...
Back
Top Bottom