vijiwe

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Genius Man

    Tetesi: Kuna magari yanakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya bodaboda kinyume cha sheria

    Tetesi kuna cruser zinakamata vijana ovyo kwenye magereji na vijiwe vya boda boda kinyume cha sheria. Nitoe wito kwa wananchi mnaweza kumalizana nao hawa ndio wauaji na watekaji tunaowatafuta. Ukiona kuna cruiser mtaani kwako haieleweki eleweki jua ndio watekaji wananchi wanapaswa kuwadhibiti...
  2. funaku

    Uliza vijiwe vyote vya boda hawakuhusika na maandamano ya wahuni

    Ukiwaulizia wanabodaboda wengi wa vijiwe vyetu maarufu hawakushiriki maandamano na waliendelea kutoa huduma ya usafiri. hii ni ishara ya mamluki kutoka nje ya Tanzania kuletwa kushiriki uvunjifu wa amani.
  3. M

    Uchaguzi wa mwaka huu ni wa aina yake, si vijiweni, magari ya abiria wala vikundi vinajadili isipokuwa ni watu kupotea na kutekwa ndizo habari

    Huwenda uchaguzi wa mwaka huu ukawa wa aina yake na kuwa na hisyoria ya kipekee Nchi iko kimyaa utadhani tupo kwenye msiba wa kitaufa, mijadala mingi inayotawala mikusanyiko ni, makanisa kuzingirwa na polisi, utekaji, watu kupotea na matukio mengine mengine tu na siyo uchaguzi na kampeni...
  4. R

    viingilio vya vijiwe vya bodaboda hufika mpaka laki 8, hii ni sawa ?

    watu wengi hudhani wamemaliza wakishanunua pikipiki na kuisajili, wasilolijua kuna gharama ya ziada ya kuingia kwenye kijiwe cha boda boda. mfano kwenye vijiwe vya stendi na sokoni ada zipo juu mno zinafikia mpaka laki 8, na hapo ubahatike kuwe na nafasi ya wazi maana kuna limit ya idadi ya...
  5. Rorscharch

    Vijiwe vya mafundi bodaboda vimejaa watoto ambao unaona kabisa ni umri wa kuwa shule; inakuwaje jiji letu linaridhika na mambo ya ajabu kama haya?

    Nimekodi bodaboda kutoka maeneo fulani ya jiji hili, lakini tulipokuwa safarini dereva wangu alitambua kuwa tairi moja la bodaboda limepungua upepo. Kwa hiyo, tulilazimika kujongea hadi kwa fundi ili kulitatua tatizo hilo. Tulipofika, kilichonivutia zaidi si fundi mwenyewe bali kijana mdogo...
  6. I

    Usaili kwa walimu uliokuwa ufanyike Oktoba mpaka Novemba wasitishwa mpaka hapo watakapotangaziwa tena

    Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa. Afya mpaka leo hakuna Pdf. Je, kipi kiko nyuma ya haya? 1. Serikali haina Hela. 2. Utumishi wamelemewa. . .
  7. BLACK MOVEMENT

    Nchi inapigwa, kutwa nzima ni Mada za Yanga na Simba

    Tanzania ni nchi ya Kipuuzi sana fikiria kutwa nzima,vituo vya Radio na Television maada ni Mpira yaani hata Brazili sio hivyo, Brazili wanao penda mpira bado hatujawafikia. Hakuna Maada nyingine utaisikia kwenye hivi vituo zaidi ya Yanga na Simba kutwa nzima, wanaanza kujadili mpira kuanzia...
  8. Brain Kingdom

    Mikasa ya minyanduano tunapoishi na vijiwe nongwa vya majirani

    Jamani kuna mijitu hapa Tanzania wanawake na wanaume ni mashetani hatari, kuna wasichana na wakaka , wadada , wamama, wababe kabla hawajalala husikilizia milango kupata picha maghetto yetu Yana me na ke ndani ili wasubirie chabo za kuona au kusikilizia miguno ya minyanduano. Mashetani haya...
  9. Kijana LOGICS

    Vijiwe vimekua dawa ya stress kwa majobless Tanzania

    Vishukuriwe vijiwe Tanzania wanaume tunainjoi maisha Japo account zinasima zero. Majobless huo tunakutana vijiwen tunapiga story na kupeana michongo ya kazi mbalimbali za kutumia nguvu nyingi n'a malipo kidogo Ila kimtindo life linasonga.
  10. rajiih

    Kijana usidharau vijiwe vya kahawa kuna madini mengi sana pale

    Wana Jf kwa mara nyingine tena mwezi huu wa Pili nmeamua kuanzisha Threads hii ya kuhusu vijiwe vya KAHAWA kwa sababu ambazo zina faida nyingi kuliko hasara. Kwa muda sasa nilijiapiza kuzoea katika ya vijiwe vya kahawa ambavyo vitakua Jirani yangu au hata nikiwa katika safari ya ugeni ambao...
  11. R

    Madereva bajaji wapanga kupandisha nauli katika mikoa mbalimbali nchini. Viongozi wa vijiwe vya bajaji wahusika

    Kama mtakuwa mnafuatilia ndugu zetu wamiliki wa bajaji na madereva wameanza kujipanga kupandisha nauli mara dufu katika maeneo mbalimbali wanayofanya vizuri ikiwemo Mwanza. Aidha, inadaiwa tozo ya trafiki kwa siku imepanda kutoka elfu moja hadi elfu mbili kwa bajaji moja hivyo kuchochea gharama...
  12. matunduizi

    Vijana majobless muanzishe vijiwe vya kubadilishana mawazo kama wazee walivyoanzisha vijiwe vya kahawa kupigana fiksi

    Vuguvugu la maendeleo ulaya (the age of enlignment) lilianzia vijiweni na kwenye saloon ambapo watu walikutana kujadili ideas. Kwenye vijiwe vya kimasonic (Masonic Clubs ) pia ilikuwa ninsehemu walipokutana kupeana updates. Muachane na vijiwe vya betting. Vijiwe wa unywaji bia, na ulaji wa...
  13. Jaji Mfawidhi

    WAFU WAZIKANE: Serikali inachukua lawama moja kwa moja janga la asili lililotokea Hanang mkoani Manyara

    Serikali na watendaji wake wanachukua lawama ya moja kwa moja kwenye Janga la asili lililotokea Hanang. Mlima Hanang, upo uchi, ni rahisi kwa mafuriko na maporomoko.Mji wa Katesh upo chini ya mlima na inajulikana kw azaidi ya miaka 500 hilo ni eneo la maporomoko ya mawe na mgogo ikinyesha mvua...
  14. Tlaatlaah

    Kwenye vijiwe vya kahawa, kashata kachori na pweza hivi sasa stori kubwa ni Rais Samia

    nikiwa kiraia zaidi, nimejumuika na wananzengo vijiwe vya kahawa, kashata, kachori na pweza. Stori na hadithi nyingi zimetekwa na jina la Rais, Dr Samia Suluhu Hassan. Kwamba huyu mama ni hodari, anajali sana, ana bidii mno ya kazi, anaskiza sana maoni ya wananchi, ni mahiri na makini sana...
  15. Artifact Collector

    Watanzania tumepewa uhuru kutokea vijiwe vya kahawa, hatuwezi kuwa sawa na walioupigania kutoka msituni

    Ukiangalia historia ya uhuru wa tanzania utaona imechangia kwa kiasi kikubwa kushape fikra za watanzania wa leo, yaani ukisoma huon struggle kabisa zaid ya watu waliokua wanakutania kwenye bao na vijiwe vya kahawa eti ndo wapigania uhuru hao Wako wanaosema historia ya Tanzania imechakachuliwa...
  16. Roving Journalist

    Kamishna Jenerali Aretas James Lyimo atangaza vita mpya dhidi ya dawa za kulevya nchini. Kuanza na vijiwe vyote

    KAMISHINA Jenerali wa Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA),Aretas James Lyimo ametaja malengo yake ambayo ameingia nayo ili kuhakikisha mamlaka hiyo inadhibiti kabisa biashara na matumizi ya dawa za kulevya nchini. Ameyasema hayo leo Aprili Mosi, 2023 mkoani Mtwara wakati...
  17. Yoda

    Stori na gumzo kutoka vijiwe vya kahawa

    Vijiwe vya kahawa nchi hii ni sehemu mojwapo maarufu ambayo mengi huzungumzwa na kujadiliwa yanayohusu siasa za ndani na nje ya nchi,historia mahusiano,dini, biashara, uchumi n.k. Mambo yanayojadiliwa mara nyingi huegemea katika nadharia za kinjama(consipiracies theories)...
  18. Crocodiletooth

    Kila vuguvugu la kimkakati lilianzia katika vijiwe vya Kahawa, Zanzibar na Bara

    Hapo kitambo, vijiwe hivi tuvionavyo ndivyo vilivyokuwa vyanzo vya kila kila vuguvugu la kiharakati, mwl, JK harakati zake nyingi zilianzia katika vijiwe hivi hata karume wa Zanzibar vijiwe vya Kahawa ndivyo vilivyokuwa vikitoa dira na mpango mzima wa nini kifanyike nani aende wapi, yupi...
  19. Mwachiluwi

    Kwenye vijiwe vya boda boda kuna mambo ya ovyo sana

    Habari za jion Sorry mimi sio mtaalamu sana wa kuandika kiswahili naomba tuvumiliane Naenda direct leo nilikuwa nimeenda sehemu fulani uko wakati na naludi usafiri ulikuwa unasumbua ikabidi nisubilie kwenye kijiwe cha boda boda ndipo nikaaza kuona vimbwanga Boda boda mmoja akawa...
  20. GENTAMYCINE

    IGP Poti Wambura nimeshatoa ONYO kwa Vijiwe vya Wahalifu kuwa wakiingia 18 zangu Majina yao yataanza kuitwa Marehemu

    Poti wangu IGP Wambura Mimi GENTAMYCINE nimeamua leo Kukuambia hili mapema baada ya Kugundua kuwa 95% ya hawa Vijana Wahalifu waliobatizwa Jina la Panya Road wanajulikana na Mapolisi wako na hata Vituoni ila Wanalindwa na hata baadhi ya Askari wako Wanafaidika nao. Haiingii Akilini Polisi wa...
Back
Top Bottom