vijana

  1. Vijana wataoaje Wanawake wasio na Bikra?

    Mughonile! Habari za siku nyingi Wakubwa Kwa wadogo. Mzee Bikra nimerejea.... nitaanza na hawa viumbe wakataa Ndoa. Ninyi mnaokataa ndoa, Oeni Wanawake Bikra. Kama kuna Mwanamke Bikra na anataka kuolewa, muoe. MTU akikuuliza Kwa nini hauoi mwambie bado haujapata Mwanamke Bikra. Mwanamke...
  2. Vijana oeni, acheni janja janja

    Kwa siku kadhaa hapa JF pametokea na wimbi la vijana wakija na mtazamo wa kwamba ndoa si muhimu na haina umuhimu hivyo hawaoni haja ya kuoa. Nimekuja hapa kuwaambia neno moja tu kwamba wasijifiche kwenye shamba la karanga wakifikiri hatuwaoni. Tunajua wankwepa majukumu ili waendelee kulelewa na...
  3. Vijana Wenzangu, Connection za Maisha zipo Bar na Kwenye Viwanja!

    Usikae tu home na vijiwe viisvyo maana. Hata kama sio Mlevi, Toka nenda Kiwanja ambacho unajua wastaarabu wanakaa. Huko ukutane na RC, DC, RAS, DAS, DED na Ma CEO mbalimbali. Hawa watu typically ni Walevi, ni wanywaji Pombe haswaa, nahuko Niko wanakutana kupeana michongo. Sio lazima unywe...
  4. JKT yafafanua kuhusu vijana 147 waliokutwa na VVU

    Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) limesikitishwa na taarifa iliyosambaa mitandaoni kwamba vijana wake 147 wana maambukizi ya Virusi vya Ukimwi (VVU) na kuambatanishwa na picha za vijana wengine wanaohudhuria mafunzo ya JKT makambini. Taarifa ya Kamati ya Bunge ya Masuala ya Ukimwi kwa kipindi cha...
  5. M

    Chongolo tambua kubeti kupo halali kisheria

    Kuwa mkweli ndugu katibu. Betting ipo halali kisheria. CcM ilipitisha sheria inayoruhusu michezo ya kamari ya kubahatisha. CcM haina sera nzuri za kulinda na kutengeneza ajira mahususi kwa vijana. Hata kama wakimaliza Veta. Sasa unategemea nini? Biashara zinakufa tu. Acha vijana wabeti
  6. Vijana wasasa, bikra tunazichukulia tofauti sana kulinganisha na enzi za wazee wetu

    Inapotokea kwenye mahusiano kuna sintofahamu ya aina yoyote, hapo ndio strength ya bond huwa inapimwa. Mengi hutokea, usaliti, dharau, uongo n.k ambavyo vinaweza pelekea uhusiano kuvunjika. Na panapotokea mgogoro mzito sana, yule aliyekosewa huwa na option mbili, asamehe au achukue hamsini...
  7. Vijana 147 waliojiunga na JKT wabainika kuwa na VVU

    Ilibainisha hayo jana bungeni ilipowasilisha taarifa ya utekelezaji wa shughuli zake, taarifa hiyo ilisomwa na mjumbe Yahaya Masare kwa niaba ya mwenyekiti wa kamati. Masare, Mbunge wa Manyoni Magharibi, alisema JKT hupokea vijana ambao wamehitimu kidato cha sita ambao huripoti kambini kwa...
  8. Vijana wa namna hii wanapatikana DSM pekee

    Wasaalam ndugu zanguni, Katika tafiti zangu ambazo nimekuwa nikizitafiti takribani miaka isiyopungua kumi(10). Nimekuja kugundua kwamba hawa vijana wa hapa DSM ni mzigo usio wa kawaida. Ukipita mitaa ya Mwananyamala, kigamboni, kimara, makumbusho , kinondoni yaani hawa vijana sijui wapo...
  9. Kabla haujaoa jaribu kutembelea Unguja, Zanzibar

    Makamanda nipo unguja muda huu,,, Ushauri kwa vijana. Kabla haujaoa jaribu kuzunguka kipande hiki utanishukuru though maflat screen ila wapenda sura nzuri kama mimi panatufaa
  10. Suala la wateuliwa CWT: Jenista Mhagama, Waziri wa Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu kashindwa kazi

    Suala la wateuliwa kutoka CWT kukataa uteuzi kwa baadhi yao kwa kweli ni fedheha kwa serikali ya rais Samia. Waziri husika hakufanya kazi yake. Tunavyofahamu uteuzi wowote serikalini, hasa kwa ngazi ya juu ni lazima utanguliwe na vetting. Vetting hii inafanywa na vyombo tofauti ikiwemo TISS...
  11. Kwa vijana tu: Saikolojia kwa uchache karne ya 21

    Anaandika, Robert Heriel Mastermind. Ufikapo mwisho wa andiko hili utakuwa Umepata haya: 1. Utakuwa umejifunza akili, hulka na silika ya mwanadamu. 2. Utakuwa na uwezo wa kujitambua na kujifahamu. 3. Utakuwa na uwezo wa kuchangamana na watu na jamii Kwa ujumla (kusosholoizi) 4. Itakusaidia...
  12. Vijana kuweni makini na UTI Sugu

    Nipo hapa hosptali ya Taifa muhimbili tunasubiri kusafirisha Mwili Kumbe Ukimwi ikasome Mbele ya UTI Sugu hakika vijana acheni kupiga dry mtaisha huyu ni mtu wa nne kama masihara anachapa kavu dry na inamtoa Duniani UTI Sugu hawa wanawake sahivi wanaumwa Sana Location huku Tabata Kuna hatari...
  13. Tunahitaji vijana 2 wa kupeleka bidhaa kwa wateja wetu (delivery)

    Kampuni ya usambazaji bidhaa asilia za ngozi na nywele iliyopo Kibaha, maili , tunahitaji vijana kusambaza bidhaa kwa wateja wetu maalum (Delivery) : Jinsia: Yoyote Umri: Miaka 18 -25 Makazi : Kibaha hadi Kibamba Sifa: Awe anajituma Mshahara : Maelewano Piga : 0713-039 875 kwa...
  14. Kupotea kwa M/K Umoja wa vijana NCCR na ukimya wetu!

    Habar za Asubuh waungwana! Jana nilikuwa Club House usiku mpaka saa 00:58 huko! Nilikutana na taarifa ya Mwenyekiti wa umoja wa vijana NCCR Mageuzi kupetea katika mazingira yakutatanisha huko kwake Buguruni tangia tarehe January 24, 2023 usiku. Kijana huyu ni mmoja wa wafuasi wa karibu wa Mh...
  15. TBT: Unadhani vijana wa zamani walikua pamba kali kuliko sasa?

    Hivi ni kwa nini baadhi ya vijana hupenda kuvaa mlegezo?
  16. Kilimanjaro vijana wameharibika sana. Kina mama wanalia

    Ilianza Pemba, Mombasa, Lamu,Tanga,Dar na Zanzibar kwa Ujumla.. Sasa imehamia Kilimanjaro.... Vijana wengi sasa wamekuwa mabwabwa.... Yaani inasikitisha sana miaka ya hivi karibuni nguvu kazi ya vijana imeharibiwa sana. Yaani kwa sasa kumkuta shayo,shirima, urio, massawe Bwabwa kawaida sana...
  17. Vijana, tusikate tamaa ya maisha: BABUTALE, mwanasiasa nguli, atunukiwa udaktari wa heshima

    Maisha mwendo mdundo.Bila shaka taifa litaanza kupata madini kupitia udaktari wa heshima, udaktari huu pia anao mbunge Musukuma. Bado nafuatilia chuo kilichompa udaktari huo Hureee vijana
  18. Pamoja na kuitafuta miaka yangu hii ya 60 bado nikipanda Dala Dala nawapisha Wazee, ila Vijana 'mnauchuna' tu Vitini

    Ndiyo maana mnaishia tu Kuvuta Bangi, Kupewa hovyo Mimba, mnafeli hovyo Mashuleni, Akili hamna huku wengine mkipenda kuwa kama Dada zenu wakati ni Watoto wa Kiume. Nidhamu ni Ufunguo wa kila Jambo na chanzo cha Baraka Maishani hasa ikionyeshwa na Mtoto / Kijana mbele ya Wakubwa zake hata kama...
  19. Joto la kisiasa lililopo litawahamasisha vijana wengi kutaka mabadiliko. Pongezi kwa Rais Samia

    Mabadiliko ya kweli kwenye nchi huletwa pale tu vijana wanapohamasika kujihusisha na siasa. Vijana wanaweza kubomoa au kujenga nchi. Kiongozi dhalimu Charles Taylor aliwatumia vijana kujiwezesha kurudi madarakani huku akiwa kamwaga damu za watu wengi wasio na hatia wakiwemo wazazi wa hao vijana...
  20. Vijana bado nawasisitiza acheni kutumika kama vibaraka

    Hello, Mimi kazi yangu kuwakumbusha vijana kuacha kutumika na wanasiasa hasa upinzani itakuja kuwagharimu baadae. Juzi niliketa uzi kama uhu akatokea kijana mmoja akaja nishuhudia kuwa, “unacho ongea ni kweli kwasababu mimi ni mmoja wa athirika na hilo janga, nimekuwa mwanachama wa chama...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…