vijana

  1. Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao?

    Hivi ni kweli vijana wengi wa sasa hawako matured enough? ndio maana wengi wanaumizwa kwenye mahusiano yao? Naombeni majibu hapa... na kama ni kweli, tufanyeje? na kama si kweli, shida hasa ni nini hadi vijana wengi wateswe na mapenzi kizazi hiki ilihali wako matured? 🥱
  2. Kwa jinsi Taifa hili lilivyojaa vilaza bila amsha amsha za vijana wa Kenya wale wanaharakati wageni wangepotezwa mazima kama Mdude .

    Naijua Tanzania vizuri, nawajua Watanzania vizuri, nawajua viongozi vizuri na ninawajua vijana wanyoa punk vizuri. Uwezo wao wa kufikiri hawa vijana wanyoa punk ni mdogo sana hasa wakiwa kwenye land cruiser. Wanaona washamaliza. Hawaoni mbele. Wangewapoteza milele wanaharakati wageni...
  3. S

    Naomba kujua sababu za msingi za vijana wa Kenya wanaosema "Ruto must Go"

    Uzi tayari. Natanguliza shukrani
  4. Tanga Yazindua Miradi 4 Mikubwa ya Vijana Kupitia Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili

    Mnamo tarehe 16 Mei 2025, Jiji la Tanga limeandika historia kwa kuzindua miradi minne mikubwa ya maendeleo ya vijana chini ya Programu ya TangaYetu Awamu ya Pili. Uzinduzi huu umefanyika katika Hoteli ya Regal Naviera na kuhudhuriwa na zaidi ya washiriki 180 wakiwemo viongozi wa serikali...
  5. Vijana wa Kenya sio kwamba wanajielewa isipokuwa ni vijana wasio na Adabu; waliokata tamaa

    Hamjambo Wote! Baadhi ya watanzania wamekuwa wakitoa maoni yao wakiwasifu vijana Wakenya kwa kile wanachokiita Kujielewa na Kujitambua. Huku wakiwatupia lawama vijana wa kitanzania kuwa ni vijana Maamuma, waoga, wasiojielewa, wapowapo tuu. Lakini Tathmini yangu ipo Kinyume kabisa na maoni yao...
  6. Vijana GenZ wa Kenya, hapa mavuka mpaka kwa maana zote mbili!

    Kumbe ilikuwa uvamizi uliopangwa. Kuja kwa wanaharakati toka Kenya Uganda na kwingineko kulikuwa kumepangwa na taasisi ya bilionea Soros toka Marekani. Taasisi hiyo ni Open Society Foundation. Sikiliza clip na tujifunze kitu hapa. Cha ajabu ni kwa yule mwanaharakati Mwangi aliye lala Serena...
  7. Kimedani: Vijana wasomi badilisheni Mbinu za kivita. Upepo wa mashambulizi umebadilika

    KIMEDANI; VIJANA WASOMI BADILISHENI MBINU ZA KIVITA. UPEPO WA MASHAMBULIZI UMEBADILIKA Anaandika, Robert Heriel. Mtibeli. Upo kwenye Vita. Vita vinahitaji mambo makuu yafuatayo ili ushinde; 1. Nguvu kazi(jeshi) Jeshi ni wewe Mwenyewe! 2. Elimu, ujuzi, maarifa na mafunzo ya kivita. Hapa...
  8. Kwa vijana wenzangu wa kiume!!

    .
  9. Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  10. Mfumo hauhitaji akili za maskini, unahitaji tu nguvu zake. Anapofikiri anakuwa tishio, lakini anaponyamaza anatumika, anakuwa rasilimali

    Wanasema mwanadamu ametokana na udongo lakini udongo wa maskini huonekana kuwa wa thamani pungufu. Ni kana kwamba aliumbwa si kuishi, bali kubeba, kutumikia, na kuteseka. Misuli yake ni injini ya viwanda, damu yake ni mafuta ya mashine ya mfumo, lakini jina lake halionekani kwenye faida...
  11. Nchi iliyooza hufundisha vijana wake utii na si maadili

    Tangu utoto wetu, tumekuwa tukielezwa kuwa elimu ni njia ya mafanikio. Tumefundishwa kuheshimu walimu, kufuata ratiba, kuvaa sare, na kusoma ili tufanye mitihani na kufaulu. Lakini swali moja haliepukiki kwa yeyote mwenye akili huru: Je, mfumo wetu wa elimu unatuandaa kuwa watu wa maadili, au...
  12. “Je, AI ni tishio au fursa kwa ajira za vijana barani Afrika?”

    "AI (Artificial Intelligence) inachukua nafasi kubwa duniani – kutoka kwenye kazi za uandishi hadi huduma kwa wateja. Lakini je, kwa Afrika na hasa kwa vijana wetu, hii ni FURSA au TISHIO kwa AJIRA?" Kuna wanaosema AI inasaidia kurahisisha kazi, kuongeza tija na kuleta fursa mpya… Lakini wapo...
  13. Vijana wa CCM wanaushawishi kuliko G55. Hii ni kusema G55 ni Liability na sio tishio kwa chama chochote Kikubwa hapa nchini.

    Wanakwenda Kuumia! Hiya ndio salamu inayoendana na Uzi huu. Kwenye hii nchi hasa ukiwa mpinzani hakikisha chama tawala kitamani kuwa na mtu dizaini yako ndani ya CCM. Lakini kama wewe ni Mburuja, ambaye uwezo wako mdogo, elimu duni ta kuungaunga, huna kipaji wala karama yoyote. Vijana wengi...
  14. K

    Heche kwa sasa ni namba moja kwa vijana

    Heche kwa uwezo wake mkubwa wa kuelezea vitu kwa ufasaha na kwa ufupi. Pamoja na ujasiri wake amekuwa mashuhur kuliko vijana wenzake wote wanasiasa . Kwa sasa anamzidi Mwigulu, Biteko, Makamba, Lema, zitto kwasababu ya umahiri wake wa kueleweka na watu wa kawaida. Tumpe maua yake talent ni...
  15. Kwa vijana wa CHADEMA – Chama kinamjenga mtu, si mtu kukijenga chama

    Katika siku za hivi karibuni, kumekuwa na wimbi la baadhi ya vijana waliowahi kuwa wanachama wa CHADEMA kujiondoa au kuhama chama hicho kwa madai ya kubaguliwa, kupuuzwa au kutotendewa haki. Wengine wamelalamika kuwa juhudi zao hazitambuliwi, na hivyo kuamua kusaka hifadhi sehemu nyingine. Hata...
  16. Nahitaji vijana waliomaliza form6 au wanachuo Tufanye nao kazi

    Vijana 6 wakufanya nao kazi SMARTWORK Kazi yao itakua ni kuniletea wateja wa internet bundle Tutalipana hapo hapo. Malipo ya juu 30,000 kwa siku Maripo ya chini 10000 kwa siku Kama upo tayari niandikie mawasiliano yako hapo chini Mawasiliano yyte kama email Simu Acc ya social media Au yute...
  17. Vijana Ambao Mnataka Mafanikio Ya Haraka, Msikilize Huyu Jamaa.

    Kama Mwanaume Kitu unachotakiwa kukilinda kuliko vyote ni Uanaume Wako. Terrence Howard, Muigizaji huko America.
  18. Dkt. Mpango kustaafu Siasa, atangaza kupumzika na kukuza Kilimo cha Urithi wa Baba yake

    Makamu wa Rais wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, ametangaza nia yake ya kustaafu kutoka kwenye siasa baada ya kumaliza muhula wake wa sasa, akitaja sababu binafsi ikiwemo umri wake na kutaka kujali afya yake. Akiwa na umri wa miaka 68, Dkt. Mpango alisema anahitaji "kupumzika" na kutoa nafasi...
  19. CRDB Tanga..mafunzo ya michezo ya vijana tanga, timu ya taifa mazoezi Tanga..hivi Arusha hamuioni ama???

    Karia Kwanza nikupe pole BAADA ya makando kando ya UWANJA WA TAIFA sasa naona CAF wameona ULE UWANJA sio salama Tena kama mlivyosema sasa twende znz mkapate usalama zaidi MH Karia uliwahi kusema hii LIGI ya crdb mtajitahidi kuwapelekea wananchi hasa AMBAYO hawana timu ktk LIGI kuu waweze...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…