vijana

  1. J

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Chadema mkoani Iringa kumchukulia fomu Mchungaji Msigwa ili amrithi mh Mbowe uenyekiti taifa

    Iringa kuchele. Vijana wasomi kutoka vyuo mbalimbali vya elimu ya juu mkoani Iringa ambao ni wanachama wa Chadema wanajipanga ili waweze kumchukulia fomu mchungaji Msigwa ambaye pia ni mbunge wao. Vijana hao wamesema kama mchungaji Msigwa atasitasita kugombea basi watamshawishi mbunge David...
  2. JamiiForums Tanzania Jinsi Utawala wa Rais Magufuli unavyoua ushawishi wa vijana ndani CCM

    Mwangalie Polepole wa utawala wa Kikwete na wa utawala huu, Mwangalie Nape alivyokuwa na ushawishi wakati akiwa Katibu Mwenezi na sasa, Mwangalie Mwigulu yule na huyu anayemshukuru Magufuli baada ya kupata ajali, Mwangalie January Makamba wa kipindi cha Kikwete na huyu anayeenda akiburuza miguu...
  3. T

    JamiiForums Tanzania Mfalme akasema atafutiwe vijana wenye akili na Maarifa

    Taifa la Israel tunalo liona leo sio taifa lililo zungukwa na vilaza. Nitaifa lenye majitu yenye akili nyingi tena sio watu wa mchezo mchezo. Nawao nitaifa kwanza sio mtu. Waziri Mkuu wa Sasa Benjamin Netanyahu ni mmoja wa viongoz wenye high IQ. Sio yeye tu ila na kizazi chao na wote ni zao la...
  4. JamiiForums Tanzania Hii inawahusu vijana wote wa kiswahili

    1. Usimpigie mtu simu kwa zaidi ya mara mbili mfululizo. Ukishaona simu yako haipokel'ewi basi elewa kuna sababu ya msingi acha subiri akupigie pindi atakapoona ulimtafuta. 2. Rejesha pesa ulizokopa bila kusubiri kukumbushwa na aliyekukopesha. Hiyo inaonesha uadilifu wako na tabia yako. Vivyo...
  5. JamiiForums Tanzania Tujiangalie sana na hizi Sunday school na Madrasa

    Nikiwa si muumini wa hivi vitu viitwavyo dini itaniwia vigumu kuelezea nini maana ya Sunday School ama Madrasa. Hii nawaachia wafia dini zilizoletwa na washenzi waliotulazimisha kufuata mila na desturi zao na kuambia za kwetu ni za kishenzi. Wakatuletea Novel zao wakatuambia vinaitwa vitabu...
  6. JamiiForums Tanzania Vijana wengi leo hatujui kujenga hoja na kwa mantiki hiyo hatuwezi kubomoa hoja hata kama hoja hizo ni dhaifu

    Leo tunakosa nguvu ya majadiliano ya kina yanayotawaliwa na nguvu ya hoja "critical thinking argumentation"mijadala yetu haikosi kushambuliana kwa maneno machafu na haitoi mahitimisho au mwanzo wa hoja nyingine kujijenga. "Full of personal attacks and assaults" tunasahau tulikotoka. Babu zetu...
  7. JamiiForums Tanzania Ushauri: JKT kwa Mujibu wa sheria ifutwe, badala yake vijana wapelekwe VETA miezi 3 au 6

    Habari zenu wanajukwaa? Ngoja nijikite kwenye lengo la uzi. Naishauri Serikali sasa wabadili mwelekeo katika kuelekea Serikali ya viwanda. Vijana wanaomaliza kidato cha sita wapelekwe VETA kwa miezi 3 ili wakapate mafunzo ya awali (basic) ya ufundi mbalimbali. Kwa kufanya hivi itasaidia...
  8. JamiiForums Tanzania Vijana! Epuka kuingia katika vifungo vya ndoa, na makundi haya 3 ya wanawake

    Pengine unamuona mdada, mrembo, saa nyingine mtafutaji, mwingine anatia tu huruma na wewe ukamuonea huruma, ukaamua kumuoa. My freind makundi haya matutu nitakayo kutajia hawana true love, upendo toka moyoni, mostly ni ma pretender tu. Kumdi la kwanza, MWANAMKE ALIYE FIWA NA MUME WAKE - ukiingia...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Rais Kenyatta amteua mzee wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa Vijana na michezo. Tanzania tuna cha kujifunza

    Rais Kenyatta amemteua raia mwenye umri wa miaka 91 kuwa mkurugenzi wa vijana na michezo. Uteuzi huo umepingwa mahakamani na mwanaharakati mmoja kijana lakini Rais Kenyatta amesema hataubadilisha kwa kuwa vijana ni wabadhirifu wa fedha za umma hivyo amemteua huyo mzee ili fedha isiibwe na...
  10. JamiiForums Tanzania Mitandao ya kijamii siku hizi imekuwa chanzo kikubwa cha stress na msongo wa mawazo kwa vijana

    Wakuu habari zenu, leo kidogo tuzungumzie kuhusu hili la mitandao ya kijamii. Siku hizi maisha yamegeuka sana, ni ngumu sana kudeal na stress na msongo wa mawazo hasa pale unapokuwa unapitia kipindi kigumu katika maisha. ~Umeachana na mpenzi wako uliyempenda sana, kesho unamuona facebook...
  11. JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana, UKIMWI unatafuna watu na sio wanyama

    Naona vijana hufungua majukwaa mbalimbali ya kutafuna papuchi, au utaalamu wa style mbambali za migegedo na ufundi mwingine mwingi wa kupinduka pinduka kama samaki baharini. Ujumbe ikiwa kama vijana, cheza vibaya unalo, HIV imekuwa kama moja ya qualification status, hatuogopi na kama...
  12. JamiiForums Tanzania Forex: Biashara Yenye Utajiri Mkubwa Zaidi Duniani Ambayo Hakuna Benki Itataka Uijue!

    Salute bosses Utangulizi Wengi mmesikia sikia sana kuhusu Forex trading, mmepata kujua taarifa kadhaa kuhusu hii biashara lakini mmeshindwa kufahamu nini kinaendelea. This is the perfect thread, tutaelewa kila kitu hapa na hakuna atakayebaki na swali kichwani - we have to leave this thing...
  13. JamiiForums Tanzania Wazungu wameshatuharibia vijana wetu

    naweka hii post hapa kama ahadi kwa mdau mmoja aliyefuatwa pm na picha za kutisha za mwanaume mwenzake aliye uchi huku kajibinua makalio akimuomba jamaa amshughulikie. Huyu ndugu siku yake iliharibika kabisa na akaona kama ni mkosi na nuksi kubwa kabisa kuombwa na mwanaume mwenzake amuingilie...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…