vijana

  1. JamiiForums Tanzania SoC01 Njia 5 Bora za Kutatua Tatizo Kubwa la Ajira Kwa Vijana Nchini Tanzania

    Karibu katika andiko hili muhimu juu ya utatuzi wa tatizo kubwa la ukosefu wa ajira kwa vijana nchini Tanzania. Andiko hili pia limejumuhisha takwimu muhimu za ajira nchini, sababu za ukosefu wa ajira kwa vijana, athari za ukosefu wa ajira kwa vijana na njia muhimu za kutatua tatizo la ajira...
  2. T

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa wito wa waajiri ambao wanatuma matangazo ya ajira ili hali tayari wana mtu wa kujaza nafasi hiyo

    Mimi ni kijana mtanzania ambaye nimemaliza elimu ya chuo kikuu kada ya ualimu wa sayansi na nimehudhuria usaili mara kadhaa na leo nataka nizungumzie swala la matangazo ya ajira kwa taasisi zinazotoa ajira. Ajira ni changamoto ambayo inatukabili vijana wengi sana na inapotokea tangazo la ajira...
  3. JamiiForums Tanzania Kimeumana Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi

    Nasikia harufu ya mfumuko, Uchumi umekua mgumu bongo vijana someni kwa bidii uchumi. Tukae darasani tusome uchumi tuuelewe😂😂😂😂😂🏃🏃🏃🏃🏃🏃
  4. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Changamoto za Vijana katika Jamii kuelekea kwenye maendeleo

    Vijana ndio nguvu kazi ya jamii na taifa kwa ujumla, kundi hili la vijana ndilo linategemewa katika uzalishaji mali na nguvu kazi katika jamii. Ni kwanini tunasema vijana ndio nguvu kazi namba moja katika jamii ?' - Ni kundi lenye watu wengi zaidi ukilinganisha na makundi mengine ambayo ni...
  5. JamiiForums Tanzania Mungu alishamaliza kazi yake

    Sina maana yoyote juu ya kupotosha imani ya mtu. Umegundua mwisho wa kutafakari bila majibu ni Mungu anafuata? Tumwachie Mungu Mungu atatenda Nk.. Ulistukaga anatajwa wakati unakwepa jukumu lako!? Mfano: Huna kazi. Wanatuambia tumwombe atupatie ajira. Lakini ukweli ni mmoja tu. “MUNGU...
  6. JamiiForums Tanzania SoC01 Kwanini masomo yasipunguzwe mapema ili kuwaondolea Watoto mzigo?

    “Tunasema vijana wajiajiri wakati sisi wenyewe wametuajiri wao, kwanini sisi tusujiajiri kwanza alafu tuone kama kujiajiri ni rahisi ndio tuwaambie nao wajiajiri?”,maneno haya yalisemwa na mbunge mmoja akiwa bungeni wakati wa kuchangia hoja iliyohusu Ukosefu wa ajira. Ni ukweli usiopingika...
  7. T

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mwanafunzi Bora Chuo Kikuu Mzumbe aliyejiajiri kwa kukusanya na kubeba taka na kufanikiwa

    Naitwa Teju ni kijana wa kitanzania nilisoma shule ya sekondari Ivumwe Secondary school nilipata ufaulu wa Diraja II (Division Two) na ALevel Mbalizi Secondary school nilipata ufaulu wa Daraja I (Division One) na baadaye nilijiunga chuo kikuu cha Mzumbe Course ya Usimamizi wa Biashara katika...
  8. S

    JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshwaji wa vijana na wanawake kupitia kilimo mtandao (E- agriculture)

    Nitaanza na maana ya kilimo mtandao. KILIMO MTANDAO, hii ni huduma ya kilimo ambayo inatoa taarifa na kupokea taarifa kuhusu hali ya klimo, masoko ya mazao, hali ya hewa na mabadiliko ya nchi pamoja na matumizi mengine ya kiteknolojia kupitia mtandao. Hii inasaidia kurahisisha mawasiliano...
  9. JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz tunakushukuru, Umeamsha vijana wengi walioridhika na mafanikio

    Kijana Diamond Platnumz ni msanii ambae ni fundisho sahihi la namna halisi la jinsI ya kuwa na maendeleo one step at a time, kutumia connections za watu (networking) na kuji brand, pengine niseme wasanii wengi wapo kwenye kiwanda cha muziki ila huyu jamaa yupo kwenye kajiongeza mpaka kwenye...
  10. G

    JamiiForums Tanzania SoC01 Sera na Sheria za Tanzania inavyowanyima Vijana Michongo

    Mifano ya sera na sheria za tanzania zinavyowanyima vijana wengi michongo. # Mashariti ya kumiliki na kusajili maudhui ya mtandaoni( Youtube channels, Blog, website, etc) Chanzo: https://www.tcra.go.tz/uploads/documents/sw-1619110553-The Regulator Special Edition.pdf Ni vijana au...
  11. JamiiForums Tanzania SoC01 Uwezeshaji Sera za kilimo kwa vijana

    Kilimo ni taaluma inayojulikana na pia ni mwajiri mkubwa wa wananchi wengi katika taifa hususani kwenye nchi zinazoendelea mfano; Tanzania. Japokua watu wengi wanaojishughulisha na kilimo Kama njia moja wapo ya maisha Mara nyingi ni watu wa makamo(aged) pamoja na wale wasio na elimu, ingawa...
  12. R

    JamiiForums Tanzania SoC01 Kushuka kwa kiwango cha Elimu nchini na hatua za kuchukua

    Katika maendeleo ya jamii elimu ni nguzo muhimu sana, thamani ya elimu ni kubwa mno kiasi kwamba mtu hawezi akajua thamani ya elimu papo hapo. Waliofanikiwa na wakapata mafanikio kama ajira wanajivunia thamani ya elimu na wale baadhi ambao bado wanahangaika mitaani baadhi yao hao hawaoni...
  13. JamiiForums Tanzania SoC01 Vituo vya kilimo atamizi (incubation centres): Njia ya kuongeza uzalishaji pamoja na kuinua kipato kwa vijana Tanzania

    Andiko langu linaanza kwa kusema Tanzania inaweza kuwa nchi nambari moja duniani katika ujenzi wa ajira nyingi kwa vijana na kila mtu akabaki akijiuliza imekuweje kwa muda mfupi namna hii?. Nchi ya Tanzania sio nchi ya kulia njaa kila siku, sio nchi ya kutembeza bakuli na kuomba misaada...
  14. JamiiForums Tanzania SoC01 Vijana kutumia ardhi kubwa tuliyonayo kwa Kilimo

    Habari JF, Tanzania kama zilivyo nchi nyingine tatizo la ajira limekua sugu kwa vijana . Takwimu zinaonyesha kundi la vijana linaongezeka; kutakuwa na ongezeko la vijana kufikia million 15 kufikia mwaka 2030 tofauti na sasa ambapo idadi ni million 11. Hili ongezeko la vijana linaweza kuwa na...
  15. K

    JamiiForums Tanzania SoC01 Ujasiriamali na Changamoto kwa vijana wa Kitanzania

    UJASIRIAMALI ni mchakato endelevu unao ambatana na Imani juu ya kujikomoa kiuchumi kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ya juu zaidi. Nchi nyingi duniani hasa mataifa makubwa toka miaka ya 1960 zimepata kuendelea kutokana na sera tofauti tofauti zilizoanzishwa na serikali zao juu ya...
  16. JamiiForums Tanzania Dkt. Dorothy Gwajima: Serikali haitatumia nguvu, jilindeni na Covid-19

    PICHA: Dkt. Dorothy Gwajima Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Dk Dorothy Gwajima amesema serikali haitatumia nguvu katika kukabilia wimbi la tatu la virusi vya corona, na badala yake watajikita katika utoaji elimu zaidi. Akijibu maswali ya waandishi wa habari jana Dar es...
  17. O

    JamiiForums Tanzania SoC01 Platform ya Siasa Afrika sio chaguo sahihi la maendeleo kwa vijana

    Afrika tumekuwa tukitafsiri siasa tofauti , miaka ya nyuma kidogo hususani miaka ya 2000 vijana wengi tulijua siasa ni uongo mtupu , na jamii nyingi za vijana ziliamini kwamba hupaswi kumuamini kabisa mwanasiasa , lakini miaka ya 2015 na kuendelea, siasa ilianza kuonekana ni ajira nzuri na...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Vyama vinakosea kuwaruhusu vijana wa siku hizi kuwa wasemaji

    Vijana wa siku hizi wana uelewa mdogo, washabiki na wapenda sifa. Vijana naongelea hapa ni chini ya miaka 35 ambao wapo kwenye kundi hizi za umoja wa vijana. Je ni wangapi wamewahi kukupa ushauri wa maana!. Siwasemi kwani ni tatizo la kidunia kwa sasa. Inasikitisha kuona vijana wa miaka 20's na...
  19. JamiiForums Tanzania Ushauri kwa vijana waliomaliza form six wanaotarajia kujiunga chuo

    Wakulungwa habari za siku nyingi. Leo nimeonelea nitumie muda wangu kidogo kuandika kwa ajili ya kuwapa ushauri vijana wetu ambao ndio wamemaliza kidato cha sita, hasa wale ambao ndoto zao ni kuendelea na masomo ya chuo. Zifuatazo ni dondoo chache kutoka kwangu kaka yenu ambae nimebahatika...
  20. JamiiForums Tanzania Madirisha ya udahili TCU na mkopo HESLB yamefunguliwa: Je, JKT itawaruhusu vijana walio makambini kurudi kupeleka maombi?

    Kichwa cha uzi kinajieleza. Hadi leo sijaona dalili za vijana kupewa muda wa kurudi nyumbani ili wa process maombi yao kwa kushirikiana na familia zao. Miaka iliyopita nini kilifanyika?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…