DUNIA NI YA NANI?
Dunia ni yenu (vijana), pia ni yetu (wazee), lakini katika uchambuzi wa mwisho, ni yenu. Nyinyi vijana, mkiwa mmejaa hamasa na nguvu, maisha yenu ndio kwanza yanachanua, ni kama jua la saa mbili au tatu ya ahsubuhi. Matumainio yetu (Wazee) yapo juu yenu. Dunia ni yenu...