vijana wa tanzania

Vijana Jazz Orchestra (also known as Vijana Jazz Band or simply Vijana Jazz) is a Tanzanian muziki wa dansi band that reached its peak of popularity in the 1980s. As with many other dansi bands of the times, it was sponsored by a government institution, namely the Umoja wa Vijana, i.e., the youth wing of Tanzania's ruling party Tanganyika African National Union (TANU) (renamed Chama cha Mapinduzi in 1977).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  2. Samia atosha tukutane2030

    Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  3. M

    Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  4. demigod

    Hivi Kwanini Raia Namba Moja Anawachukia Sana Vijana wa Tanzania Bara?

    Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu kwenye ziwa victoria. Kiashiria kingine ni kwamba Tangu alivyotimiza lengo lake la kupunguza idadi ya...
  5. R

    PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  6. political monger senior

    PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

    Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii.. Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote.. Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
  7. CAPO DELGADO

    Ndugu zangu vijana wa Tanzania msidanganyike. Samia ni muongo sana

    Naomba vijana tuendelee pale pale tulipoishia. Huyu ni Muongo sana , muongo kupita kiasi. Mala waliofanya fujo ni wageni kutoka nje. Mala ni watanzania wameuwawa. Huyu mama ni Muongo. Fisadi Mroho wa Madaraka Na mabaya yake Mengi mno. MUONGO NI MUONGO TU.
  8. Carlos The Jackal

    Gen Z Waangusha Serikali za Nchi 3, Ndani ya Mwezi Mmoja, Wamekubali Kufa ila Wapate Ukombozi wa Nchi zao. Vijana wa Tanzania lazima tukubali

    Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi. Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha . Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et Ujiajiri yote ni sababu wameshindwa kutengeneza Ajira Gen Z , kutokua na Elimu bado halitoshi kutufanya...
  9. Damaso

    Volunteering Program AFCON 2025 Morocco, Fursa Adimu kwa Vijana wa Tanzania

    Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program. Takribani watu 4,000 wanahitajika kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mashindano haya...
  10. Ojuolegbha

    Waziri kombo awahamasisha vijana wa Tanzania kuchochea mabadiliko ya mifumo ya chakula duniani

    WAZIRI KOMBO AWAHAMASISHA VIJANA WA TANZANIA KUCHOCHEA MABADILIKO YA MIFUMO YA CHAKULA DUNIANI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na vijana viongozi kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mageuzi ya mifumo ya chakula kupitia...
  11. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  12. O

    Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE. Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika...
  13. Majitha

    Vijana wa Tanzania tuamke na Kujishughulisha Zaidi Kuliko Kusubiri Kuajiriwa na Serikali

    Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, changamoto ya ajira kwa vijana imekuwa ni tatizo sugu linalokabili nchi nyingi, ikiwemo Tanzania. Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu vyuo vikuu, vyuo vya kati, na shule za sekondari, huku nafasi za ajira serikalini zikiwa chache mno kulingana na...
  14. I

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
  15. tpaul

    Diamond awatukana vijana wa Tanzania; 'wana njaa'!

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida, msanii wa muziki na mmiliki wa biashara, ikiwemo WASAFIBET, ameamua kuwatukana vijana wa kitanzania kwa makusudi kwa kuchapisha tangazo lenye nia ovu ya kudhalilisha, kutweza na kubagaza utu wa vijana wa Tanzania. Ni dhahiri shahiri kuwa amewalenga vijana kwa...
  16. DolphinT

    WAJIBU WA VIJANA WA TANZANIA

    Kwanini vijana wa Tanzania hawajadili mambo muhimu? Ni swali linalopaswa kutafakariwa kwa kina hasa tunaposhuhudia kundi kubwa la vijana likitumia muda na rasilimali zao kuwasifia viongozi pasipo kutathmini kwa kina viashiria vya moja kwa moja vya utendaji wao wa kazi unaolenga kuboresha maisha...
  17. Mpwayungu Village

    Vijana wa kitanzania ni 'Keyboard Warriors'

    Serikali ya CCM itazidi kututesa kwasababu sisi ni waoga. Taifa linajengwa na vijana sio wazee, sasa sisi tunaishia kuandika mitandaoni tu kuandamana zero Kuandamana tunaogopa, tuna fikra potofu kwamba suala la kutetea hili taifa lipo mikononi mwa Mbowe na Tundu Lissu na sio watanzania wote...
  18. trojan92

    PreGE2025 Kwanini vijana wengi hawapendi kushiriki chaguzi hasa kupiga kura?

    Heloo wana JF Nimekuwa mfuatiliaji mzuri sana wa siasa za Tanzania na vioja vyake kwa muda mrefu. Ni kweli pasi na shaka kuwa vijana wengi hujitokeza kwenye kampeni lakini kwenye kupiga kura wengi hawaendi kabisa. Hii inathiri upatikanaji wa matokeo tarajiwa sababu wanatarajia mshindi ambae...
  19. African businesses

    Tuwaombee sana vijana wetu

    Kama Kuna vijana wanapitia hali ngumu ya kimaisha basi ni pamoja na vijana wa kitanzania. Just imagine kijana hanakwambia hana mpango wa kuoa kama ni upwiru atachukua buku Tano anakwenda kumalizia kwa dada poa na maisha yanaendelea. Vijana wengi wa kitanzania hawana vyanzo vya kimapato zaidi...
  20. mtwa mkulu

    Vijana wa Tanzania mnajiita Gen Z nyuma ya keyboard? Hawa ndio Gen Z

    Bangladesh
Back
Top Bottom