Vijana Jazz Orchestra (also known as Vijana Jazz Band or simply Vijana Jazz) is a Tanzanian muziki wa dansi band that reached its peak of popularity in the 1980s. As with many other dansi bands of the times, it was sponsored by a government institution, namely the Umoja wa Vijana, i.e., the youth wing of Tanzania's ruling party Tanganyika African National Union (TANU) (renamed Chama cha Mapinduzi in 1977).
Mimi ni mzee wa miaka 42 ila huwa kujichanganya, hapa nipo kijiwe hapa Dsm, aisee hatima ya vijana. Vijana wamechoka mbaya bora sisi wazee wa kati ( 40 - 55).
Kijana wa miaka 20 sura imepinda ni nini hiki? Taifa hili tusipokiwa makini nguvu kazi hii inakwenda kupotea.
Wadau wenzangu na nyie...
Uvumilivu hata katika kipindi kigumu
Diplomasia ya mazungumzo hata kama tumeumizwa
Njia sahihi za kutafuta suluhu hata kama tumekwazika.
Hii ndiyo misingi ya kujivunia kwa taifa letu. Wakati waziri mmoja anatuambia kuwa asiyetaka tozo ..... Burundi (tulitulia). Lkn pia wakati waziri mwingine...
Ni basi tu Wakenya wamepinda kama Wazulu wa South Affruca ila unapo kuja kuangalia kiwango cha Viongozi kuwasikiliza wananchi, basi Kenya kuna unafuu ukilinganisha na Tanzania, shida iko tu kwamba Tanzania ni mazeseta basi.
Viongozi wamejawa sana na Viburi na Dharau sana n kebehi, nakumbuka...
Je vijana wa kitanzania tunajifunza nini kwa kile kinachoendelea kwa majirani zetu Kenya.
Vijana wa Tanzania Tunapitia changamoto zisizotatuliwa kwa wakati.
~ AJIRA
~ MAZINGIRA MABAYA YA UWEKEZAJI KWENYE BIASHARA
~ MISHAHARA MIDOGO ISIYOKIDHI MAHITAJI KWA SEKTA BINAFSI NA ZA UMMA.
PIA SOMA...
Bila shaka watu wote tumeona namna vijana wa Kenya maarufu kama generation Z walivyoitisha mtiti mzito kwa kupiga maandamano mazito mitaani ya kupinga mswada wa bajeti uliolenga kuwakamua zaidi kupitia kodi na tozo mbalimbali. Vijana wale kupitia mitandao ya kijamii pasipo msukumo wa wanasiasa...
Mmomonyoko wa maadili miongoni mwa vijana ni tatizo linalozidi kuongezeka duniani kote, na Tanzania haijaachwa nyuma. Hali hii inaweza kudhoofisha maendeleo ya taifa kwa kuathiri tabia, maadili, na utulivu wa kijamii. Ili kuepuka athari hizi mbaya na kuhakikisha taifa bora kwa miaka ijayo...
Vijana wengi hawana reasoning kabisaa wao ni kulipuka tu kilichosemwa na wanayemuamini tu basi. Sijui ni stress za maisha au.
Angalia hili swala la mpina, ukimuuuliza kijana alitolee analysis na jinsi gani analishadadia wala hajui lolote ila analishadadia tu ili mradi wengine wanasema hivyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.