vijana wa tanzania

Vijana Jazz Orchestra (also known as Vijana Jazz Band or simply Vijana Jazz) is a Tanzanian muziki wa dansi band that reached its peak of popularity in the 1980s. As with many other dansi bands of the times, it was sponsored by a government institution, namely the Umoja wa Vijana, i.e., the youth wing of Tanzania's ruling party Tanganyika African National Union (TANU) (renamed Chama cha Mapinduzi in 1977).

View More On Wikipedia.org
  1. L

    JamiiForums Tanzania Je vijana wa tanzania wanapata fursa za kuonesha innovations zao?

    Vijana wa tanzania kwa miaka ya hivi karibuni wanaonesha muamko mkubwa katika kuumiza vichwa na kuja na innovations ambazo zinaweza kutafuta changamoto za Moja kwa Moja kwa jamii ya watanzania na pili kuleta fursa za kipato lakini swali linabaki Kuna majukwaa sahihi ya kufukisha bunifu zao na je...
  2. Emanuel Malembela

    JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa Kitaaluma: Kwa nini vijana wa Tanzania wanaonekana kutoishabikia Serikali mitandaoni na hadharani?

    Uchambuzi wa Kitaaluma: Kwa nini vijana wa Tanzania wanaonekana kutoishabikia Serikali mitandaoni na hadharani? Na Mch.Malembela Emanuel(Mchambuzi wa Mambo ya kijamii na Diplomasia Ya Kiimani) Wanajamvi,wakuu,salaam!! Katika miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na mjadala unaokua kuhusu ukosefu wa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Steve Nyerere: Vijana wa Tanzania wamenituma niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani

    Msanii wa filamu nchini, Steven Mengele, maarufu Steve Nyerere, amesema ametumwa na vijana nchini kwamba; "niwaambie hawataki vurugu, wanataka Amani" akisisitiza kuwa vijana kwa sasa wameamua kuacha kukaa vijiweni na badala yake wanapambana mchana na usiku kujitafutia kipato halali. “Vijana wa...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mbunge Muhsin Haji: Niwaambie vijana wa Tanzania mtakuja kumkumbuka Rais kwa makubwa aliyofanya kwa nchi hii

    Mbunge wa Jimbo la Malindi, Muhsin Haji Ussi akichangia hoja Bungeni Dodoma leo Mei 25, 2026 "Wanadamu wengi tuna tabia na mapungufu ya kutokujua thamani ya kitu ambacho tunacho. Thamani hii tunakuja kuijua baada ya kitu hiki kututoka. Niwaambie vijana wa Kitanzania, niwaambie umma wa...
  5. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Uwekezaji wa Dangote kujenga Kiwanda cha kusafisha mafuta Tanga ni swala la maslahi ya Taifa; Tusizubae!

    Kama kuna habari iliwaumiza wengi ni kauli ya tajiri Dangote kuhamisha uwekezaji wa kiwanda cha mafuta kutoka Tanga kwenda Mombasa. Ni imani yangu kuwa mkutano wa Rais Samia leo na Tajiri Dangote, pamoja na mambo mengine umejaribu kuhuisha matumaini ya mradi huu kubaki Tanga. Ni lazima kama...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania kamwe hatafikiria kama Samia na Machawa wake

    https://youtu.be/sZv8yMHKNII?si=MjFJqevJHzHcN9bi warioba kasema yote
  7. L

    JamiiForums Tanzania Karai na ndoto: Vijana wa Tanzania wakumbatia sanaa ya mapishi ya Kichina

    Katika jiko lenye shughuli nyingi katikati mwa jiji la Dar es Salaam, milio ya visu vigonga ubao wa kukatia ilijaa hewani. Katikati ya mvuke na sauti za makarai, Ruth Washima Seni, mwanafunzi kijana wa Tanzania anayesomea mambo ya huduma, anajaribu kukata viazi kwa usahihi, vipande vyembamba...
  8. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Mange Kimambi ameharibu akili za vijana wa Tanzania, Sasa kila linalosemwa na kiongozi wa serikali wanalipokea negative

    Fursa lukuki ambazo zipo ndani ya awamu hii ya Samia gen Z wala hawazihangahikii badala yake vijana wachache mostly ni UVCCM ndio huzipata yet gen Z wanaendelea kusema wanapeana. Hawa vijana walioharibiwa akili na MANGE Kimambi kazi yao kubwa ni kusubiri post yoyote mitandaoni iliyotolewa na...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Shukran vijana wa Tanzania aka Gen Z kwa kugomea maandamano ya 9/12

    Kuyawekea Mgomo maandamano haramu yaliyotangazwa na wakazi wa nje ya TZ 9/12/2025. Hongereni vijana, mnastahili kikombe cha ushindi. Ushindi si wa TZ tu bali Afrika nzima. sasa hakuna tena wa kuwachezea vijana wa TZ. Kongole, kongole, kongole!!!! IQ kubwa, akili zilizotulia na za kuambiwa...
  10. demigod

    JamiiForums Tanzania Hivi Kwanini Raia Namba Moja Anawachukia Sana Vijana wa Tanzania Bara?

    Maana katika Press yake aliongea kitu ya kwamba angelikuwa na uwezo angewakusanya Vijana wote wa Tanzania Bara na kwenda kuwatupa nje ya nchi kama vile Iddi amin Dada alivyokuwa akiwatupa watu kwenye ziwa victoria. Kiashiria kingine ni kwamba Tangu alivyotimiza lengo lake la kupunguza idadi ya...
  11. R

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Rais Samia: Vijana wa Tanzania hawana uzalendo, wanatumwa na kuyumbishwa mambo yasiyowahusu

    Rais Samia ameyaongea hayo leo Disemba 2, 2025 wakati akiongea na Wazee wa Dar es Salaam akiongelea yaliyotokea siku ya Uchaguzi na yanayoendelea mitandaoni na mitaani akisema matukio hayo yamewapa Serikali funzo kuwa vijana wa Tanzania hawana elimu ya uzalendo na ndiyo maana serikali imeamua...
  12. political monger senior

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Naomba niongee na vijana wa Tanzania, Gen-z

    Nichukue fursa na nafasi hii kuongea na vijana wa nchi hii.. Najua mioyo yenu inauma mmeumia kupoteza wapendwa wenu na wapendwa wetu pia lakini kuna jambo moja muhimu sana vijana wenzangu, amani na mshikamano ni kitu muhimu sana kwenye taifa lolote.. Yaliyotokea tarehe 29 yamewaumiza na...
  13. CAPO DELGADO

    JamiiForums Tanzania Ndugu zangu vijana wa Tanzania msidanganyike. Samia ni muongo sana

    Naomba vijana tuendelee pale pale tulipoishia. Huyu ni Muongo sana , muongo kupita kiasi. Mala waliofanya fujo ni wageni kutoka nje. Mala ni watanzania wameuwawa. Huyu mama ni Muongo. Fisadi Mroho wa Madaraka Na mabaya yake Mengi mno. MUONGO NI MUONGO TU.
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania Gen Z Waangusha Serikali za Nchi 3, Ndani ya Mwezi Mmoja, Wamekubali Kufa ila Wapate Ukombozi wa Nchi zao. Vijana wa Tanzania lazima tukubali

    Usipokufa Kwa Malaria, Utakufa Kwa Ajali, Utakufa Kwa Ukimwi. Ni kweli Dunia na Mambo yake yote ni tamu na yenye Raha . Fikiria wee Kijana Msomi wa Degree , huna Ajira, wanakufanganya Et Ujiajiri yote ni sababu wameshindwa kutengeneza Ajira Gen Z , kutokua na Elimu bado halitoshi kutufanya...
  15. Damaso

    JamiiForums Tanzania Volunteering Program AFCON 2025 Morocco, Fursa Adimu kwa Vijana wa Tanzania

    Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON) 2025 yanayotarajiwa kufanyika nchini Morocco kuanzia tarehe 21 Desemba 2025 hadi 18 Januari 2026, yamefungua rasmi milango ya volunteering program. Takribani watu 4,000 wanahitajika kushiriki katika maandalizi na uendeshaji wa mashindano haya...
  16. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Waziri kombo awahamasisha vijana wa Tanzania kuchochea mabadiliko ya mifumo ya chakula duniani

    WAZIRI KOMBO AWAHAMASISHA VIJANA WA TANZANIA KUCHOCHEA MABADILIKO YA MIFUMO YA CHAKULA DUNIANI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na vijana viongozi kutoka Tanzania wanaoshiriki katika mageuzi ya mifumo ya chakula kupitia...
  17. MABATI YA SUNBAK TANZANIA

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania wana Maisha magumu sana, serikali iwe makini

    Picha inaongea jinsi ambavyo vijana hawana Nuru wala uhakika wa kesho yao.
  18. O

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Kenya wapo Doha na Dubai; Vijana wa Tanzania wapo wapi?

    Nimesafiri mara kadhaa na kupita kwa muda katika viwanja vya ndege vya Hamad International Airport (HIA) jijini Doha - Qatar na Dubai Airport - DXB pale Al Garhoud, Dubai ; UAE. Licha ya ukubwa wa Viwanja hivi, jambo nililoona ni uwepo wa ndugu zetu Wakenya wakiwa kama wafanyakazi katika...
  19. Majitha

    JamiiForums Tanzania Vijana wa Tanzania tuamke na Kujishughulisha Zaidi Kuliko Kusubiri Kuajiriwa na Serikali

    Katika dunia ya leo inayobadilika kwa kasi, changamoto ya ajira kwa vijana imekuwa ni tatizo sugu linalokabili nchi nyingi, ikiwemo Tanzania. Kila mwaka, maelfu ya vijana wanahitimu vyuo vikuu, vyuo vya kati, na shule za sekondari, huku nafasi za ajira serikalini zikiwa chache mno kulingana na...
  20. I

    JamiiForums Tanzania Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania

    Je, Elimu ya Juu ni 'DEAD HORSE' kwa Vijana wa Tanzania Katika ulimwengu wa sasa, ambapo vijana wengi wa Kitanzania wanahangaika kupata ajira licha ya kuwa na shahada za vyuo vikuu, pendekezo la Waziri Mkuu Kassim Majaliwa la kuwahimiza wahitimu kujiunga na mafunzo ya ufundi stadi kupitia VETA...
Back
Top Bottom