Kwa kweli nimijikuta nikiona aibu kubwa, wala sio Hasira kwa namna upeo wa viongozi wetu ambao ni Wabunge.
Wanavyojibu hoja za Mbunge wa KAWE, ni aibu kwa kweli sio kutia Hasira tu.
Mzee TARIMBA ni aibu kwa kweli. Mi nadhani wapo wenye upeo mdogo lakini kwa kufunga vinywa vyao wameonekana wana...
Juzi aliyekuwa Naibu Rais wa Kenya, Rigathi Gachagua, alinukuliwa akisema: “Mtu aliacha shule darasa la pili anataka kuwa mbunge? Mtu asiyejua hata neno moja la Kiingereza awe mwakilishi wa wananchi?”
Hii kauli imeibua mjadala mpana kuhusu sifa za msingi zinazopaswa kumfanya mtu astahili kuwa...
Taweke unafiki pembeni. Watanzania wengi tumejengewa nidhamu ya uoga, na huu uoga ni kama sumu taratibu inayotumaliza roho na akili kila siku. Ni uoga ambao unatuvua utu wetu, unatufanya tusione hatari hata pale ambapo tunaumizwa hadharani. Ni uoga ambao unawapa nguvu watawala na watesi wetu...
Huyu jamaa anapenda sana uchambuzi lakini ukimfuatilia utagundua hakujaaliwa kwa kazi hiyo ndio maana chambuzi zake zote ni ASSUMPTIONS and WISHFUL THINKING.
Unapopenda fani fulani ni vema kujitathimini kama unaendana na hiyo fani au laa. Ni kama jinsi Harmonize anavyopambana kucheza...
Haijalishi ni used au bikra
Kwa hali ya sasa ukichagua mwanamke kwa kigezo cha bikra pekee safari badi ni ndefu.
Maamuzi sahihi ni kuangalia yupi mwenye akili timamu na anaefaa kuwa mke haijalishi ni used wala bikra
Ni kweli kabisa kama Yesu alivyoahidi katika Yn 14:13-14 tukimuomba Mungu jambo lolote tutapewa au tutafanyiwa. Nimethibitisha hilo mimi mwenyewe. Niliomba pesa ya kujenga nyumba na kununua gari nikapata - nilikuwa na kazi ya mshahara mdogo nikapata kazi yenye mshahara karibu mara kumi ya huo wa...
Tuwapende wafanyabiashara wa kigeni pale tu wanapo kuwa wamefwata sheria za uwekezaji.
Kama hawakidhi vigezo vya uwekezaji tuwafukuze bila huruma.
Mipaka ya nchi inatakiwa kuheshimiwa na kila raia wa kigeni.
Naomba nitoe mfano mdogo:
Leo hii tuna raia wa kigeni wa bara la Asia ambao sio...
Mbunge wa Jimbo la Butiama na Naibu Waziri wa Katiba na Sheria, Jumanne Sagini ameagiza watumishi wa Shirika la Umeme (TANESCO) na Wakala wa Nishati Vijijini (REA) Wilaya ya Butiama kutoa elimu kwa wananchi wa Sirorisimba juu ya vigezo vilivyotumika mpaka kufikia kutoa huduma kwa shilingi...
Gari za Masoud Kipanya zimeishia wapi? Mbona hatuzioni barabarani? Je bado hajakidhi vigezo au kuna ya mvunguni tusiyoyajua?
Miaka kadhaa iliyopita Masoud Kipanya alizindua gari na habari zikasambaa kila kona ya nchi lakini jambo la kushangaza mpaka sasa ukimya umetawala wala hatujui...
Ikiwa nchi Ina uchumi mzuri kidunia je inakuaje watu wake wanakuwa wanahangaika na maisha ?
Mfano angalia raia wa kichina wanavyoangika na Maisha kufika hatua ya kufanya Kazi ambazo wanafaa wafanye waswahili.
Je kuna siri gani hapa ?
Maana hauwezi kuwakuta raia wa marekani wanaishi Kama hivi...
Habari!
Kuna Youtube Chaneli inauzwa. Inasubscribe 14700, ipo kwenye malipo na imetoa pesa mara 3 hadi sasa.
Bei yake ni 3,300,000.
Kama unahitaji basi Unaweza nicheki PM kwa mawasiliano zaidi!
Asanteni!
Yaani Kuna makosa ya kibinadamu ambayo binadamu huwa ni kawaida kukosea lakini kwa hapa nimeona huyu mwandishi hajaona kama amekosea kuandika ila ndivyo alivyoona ni sahihi hii sentensi ipangiliwe hivyo. Eti "sijui kama Kuna joto dar". Vijana tuache uvivu , hili ni kosa dogo lakini linaharibu...
Asanteni kwa majibu ya uzi wa jana, nimeona nakidhi vigezo vyote vilivyotajwa na napokea jina la “mshangazi”.
Haya niambieni hawa vijana wa 2000 nao wana sifa zipi. Ambao mmeshapata uzoefu nao, nini nijiandae nacho na kuwa makini?
REJEA 👇
Leo nimeitwa lishangazi, sijui nifurahie au nisikitike
Katika historia ya kifalme ya Japan, hatua ya Princess Mako wa Akishino kuolewa na mwanaume wa kawaida, Kiyotaka Kaya, imekuwa tukio la kipekee na la ajabu sana.
Kama hiyo haitoshi Princess Mako, ambaye ni mtoto wa kifalme wa Japan, alijitokeza mbele ya ulimwengu akijivunia uamuzi wake wa...
Nahitaji kufahamu vigezo vya kupata mkopo wa kiasi cha 150 million
Maisha ya siku hizi njia za kupata mikopo zipo nyingi na tofauti
Wapo watu wanaokopeshana wenyewe pasipo kuhusisha taasisi za mikopo huku wengine wakitumia taasisi za mikopo
Nahitaji kufahamu vigezo hii itasaidia endapo nataka...
JF kwa kweli hongereni sana timu nzima ya wakandarasi wa mtandao huu pendwa.
Licha ya kwamba JF imekuwa jukwaa huru, lakini hawa platinum members kwa kweli wamekuwa ni watu wa maana kabisa.
Ukiona mtu kama Kiranga au Mshana Jr ana comment kwenye mada yako basi ujue kwamba hiyo mada ni ya...
Leo nimemkumbuka John Pombe Joseph Magufuli. Jamaa alijua kututenda kama watu na taifa. Huwa siachi kujiuliza ni vigezo gani alitumia kuwapa mamlaka watu wanafiki na wa hovyo waliokuwa wkimsifia na kumchekea wakati nyuma ya pazia walikuwa wakimchukia, kumponda na kutamani afe kama iivyotokea...
Nini nifanye niwe mfanya biashara mkubwa kama moo dewji, Bakhressa n.k, niwe na kiwanda kinachozalisha products zangu zenye brand yangu barani Afrika ambazo zitafanya vizuri sokoni, at the end niwe tajiri kupitia biashara?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.