Siku Tanzania ilipoamua kuwa yoyote anaweza kulelewa na baadae kupewa uongozi halafu akili atazipata huko huko katika uongozi, ndiyo siku tuliyoanguka kama taifa.
Mfumo wa nchi na wananchi kwa ujumla wanachanganya uzoefu na akili. Mtu yoyote ukimpa afanye jambo kwa muda wa kutosha, uzoefu...
Habari zenu ndugu zangu, Naomba mwenye connection au anayeweza kunisaidia kupata kazi ya ULINZI, Kampuni ya SGA au G4S anisaidie ndugu zangu.
Nina miaka 29
Nina mafunzo ya JKT - Miaka miwili (volunteer).
Uwezo wa kutumia silaha.
Elimu - Shahada ya kwanza
Nazungumza Kingereza fasaha.
Uzoefu wa...
Hivi Wastara yupo desperate kiasi hicho mpaka atembee na dudubaya ?
Kama ni kweli wastara amekubali kudate na dudubaya na ikiwezekana waitane mke na mume, basi naweza kusema couple yao ndio couple mbovu zaidi hapa nchini kuliko couple yoyote ile ya watu maarufu.
Sielewi huyu dada ametumia...
Tumechoshwa sana na mizigo mingi na mikubwa tuliyolimbikiziwa wananchi
1. Kodi ya aridhi
2. Kodi ya majengo
3. Lesen
4.kodi kwenye luku
5. Kodi ya miamala ya fedha
6.kodi ya mizani
7.kodi ya ya mafremu
8.kodi ya maegesho
10.kodi ya biashara
11.kodi kibali cha...
Tukivuka hapa vigezo vya urais na ubunge vikazwe sana viwe vigumu ili kutopitisha wajinga chanzo cha kuharibika kwa nchi mauwaji, rushwa na utekaji.
Hatua hii itajenga uongozi bora wa kisheria na kuwepo kwa uwajibikaji mzuri na kuhakikisha usalama wa rasilimali za nchi, vinginevyo mtaona mambo...
Wanafunzi wa Chuo cha Ukutubi, Uhifadhi wa Nyaraka na Tafiti (SLADS) kilichopo Bagamoyo chini ya Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (TLSB) tunapitia changamoto kadhaa:-
Nawasilisha kero hii kwa niaba ya wengine tumehitimu masomo ya Ukutubi na Uhifadhi Nyaraka (Library Records and Documentation...
Anonymous
Thread
ajira
chuo
hatuna
nyaraka
serikali
uhifadhi
vigezo
wahitimu
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) Leo Novemba 26 limeufungia Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutumika kwenye michezo ya Ligi kutokana na kukosa vigezo vya kikanuni na kisheria vinavyohitajika kwa matumizi ya viwanja vya mpira. Kwa mujibu wa TFF, miundombinu ya uwanja huo haikidhi...
1. Chagua mtu ambaye anakuheshimu wewe na watu wazima (wakubwa)
2. Chagua mtu unayemwamini
3.Chagua mtu ambaye unaweza kuongea naye,kujadiliana, na kuhojiana kwa uwazi bila kugombana
3.Chagua mtu mwenye umri kalibiana na wa kwako.
4. Chagua mtu mwenye afya nzuri.
5.Chagua mtu anaependelea vile...
Msanii Agness Suleiman maarufu kama Aggy Baby, ameibuka mshindi wa Tuzo ya Muigizaji Bora wa Kike wa Mwaka 2025 katika Achievers Awards International zilizofanyika nchini Nigeria, kutokana na mchango wake katika sanaa na huduma kwa jamii.
Tuzo hiyo imeelezwa kuwa ni alama muhimu ya ushirikiano...
Hizi heka heka za CCM kupambana kujaza watu kwenye mikutano yao, ni ishara kuwa siyo kweli CCM ina wanachama milioni 13.
Kila mkutano ungehudhuriwa na watu elfu kumi tu, nchi nzima CCM ingehitaji watu milioni Moja tu kwa mikoa yote ya Tanganyika.
Lakini hii ya kusomba watu kwa maroli ni...
Wasalaam ,
Ikumbukwe kwamba Mwaka 2022 TASAC iliachana na waliokuwa wafanyakazi wake wa vibarya (casual labor) kutokana na kubadilishwa majukumu yake kisheria na Mkurugenzi alitolea ufafanuzi suala hilo, vvyo hivyo, Mwaka 2023 iliamua kuachana na Wafanyakazi wake waliokuwa wameajiriwa na...
Anonymous
Thread
ajira
ajira mpya
bila
kutangaza
meli
mpya
nafasi
sawa
shirika
taasisi
taasisi ya umma
tasac
umma
uwakala
vigezo
waajiri
wafanyakazi
wake
waliokuwa
wenye
Mwenyekit wa kamati ya Tuzo ya Taifa ya Mwalimu Nyerere ya Uandishi Bunifu, Prof. Penina Mlama, ametangaza vigezo vya kushiriki katika duru ya nne ya tuzo hiyo ya ya mwaka 2025/2026 yenye lengo la kukuza lugha ya Kiswahili na kuthamini mchango wa Mwalimu Nyerere.
Ameeleza hayo kwenye kikao na...
Taharuki hii ilianza baada ya binti mzungu anayeitwa Sweeney kuwekwa kwenye tangazo la American Eagle. Tangazo hilo limefanya vizuri sana kibiashara, lakini kwa upande mwingine, lilizua kilio kikali.
Marekani imegawanyika pande mbili chama cha Republicans, ambacho kwa sasa kinaongozwa na Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.