vifungashio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ghost MVP

    JamiiForums Tanzania Matumizi ya Mifuko ya Plastic yalikatwaza

    Matumizi ya Mifuko ya Plastic yalikatwaza lakini now days, wamekuja na hii mifuko ya ajabu migumu, kama bati 😅. Hii Mifuko hata miaka Buku haiozi, sedikali tunaomba mfatilie hili, na ubawa wa hizi Plasti ni ngumu snaa hata ukichoma zina moshi mzizo sanaa, na hazikunjiki sana, zikizagaa mitaani...
  2. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Je, taarifa binafsi (Mitihani na CV's) zinazotumiwa kama vifungashio na wafanyabiashara zinatoka wapi?

    Taarifa Binafsi ni maelezo fulani ambayo yanamtambulisha mtu, au kueleza jambo fulani kuhusu maisha yake. Taarifa Binafsi huweza kuwa majina ya mtu, namba ya simu, mwaka na tarehe ya kuzaliwa, dini, kabila, mahali anapoishi na mengineyo yanayombainisha mtu fulani. Aidha, vifungashio...
  3. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa bidhaa ninayoweza kufungasha kwa hivi vifungashio na nikauza nikapata pesa

    Habari wajasiriamali wenzangu,naomba msaada tafadhali kwa hivi vifungashio hapo chini kama nitaondoa hizo label na kuunda yangu na kubandika,ni bidhaa gani haswa naweza kufungasha na nikauza na kupata faida maeneo ya dar es salaam na morogoro mjini?! nawasilisha🙏
  4. nover

    JamiiForums Tanzania Machimbo ya mzigo biashara ya vifungashio

    Habari wana jamiiforums, nategemea kufungua ivi karibuni biashara ya vifungashio (jumla & rejareja) maeneo ya Mwanza mjini. Naomba kwa wazoefu wa biashara hii mnifahamishe ni wapi naweza kupata mzigo bei rahisi ndani ya nchi. Tayari nimepata baadhi ya machimbo ya mzigo maneo ya Kariakoo ila...
Back
Top Bottom