Kiwanda cha vifungashio na mashine ya packaging

Sam Jr official

Senior Member
Dec 21, 2017
108
100
Habari za humu wakuu.

Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza,Nimepata wazo la kuanza biashara ya kupack na kuuza chai.

Awali ya yote natakiwa nifuate procedure zote za kiserikali,kuanzia TFDA Mpaka TRA, kiukweli mm sijui mlolongo wa hizi taratibu, kwa mwanajamvi anayejua naomba shule kidogo.

Pia naomba mtu ambaye anajua kiwanda cha vifungashio ambacho nnaweza kwenda hadi na jina bidhaa yangu wakai-brand mm navyotaka.

Ningependa kujua machine ya kufungia Ile package yangu, zinapatikana wapi na kwa bei gani.

Ahsanteni sana wote mtakaonipokea Kwa mtazamo chanya.
 
Habari za humu wakuu.

Kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyojieleza,Nimepata wazo la kuanza biashara ya kupack na kuuza chai.

Awali ya yote natakiwa nifuate procedure zote za kiserikali,kuanzia TFDA Mpaka TRA,ki ukweli mm sijui mlolongo wa hizi taratibu,Kwa mwanajamvi anayejua naomba shule kidogo.

Pia naomba mtu ambaye anajua kiwanda cha vifungashio ambacho nnaweza kwenda hadi na jina bidhaa yangu wakaibrand mm navyotaka.

Ningependa kujua machine ya kufungia Ile package yangu, zinapatikana wapi na Kwa bei Gani.

Ahsanteni sana wote mtakaonipokea Kwa mtazamo chanya.
Kama ni chai kawaida utapata competition ya kupata wateja unless uongeze na viungo vya chai kama tangawizi, mchaichai, lemongrass nk.
 
Back
Top Bottom