vifaa

  1. B

    JamiiForums Tanzania Israel yaifungia Aljazeera, yachukua vifaa vyao vya kazi

    1. Yale ya Makonda na ile TV pendwa ya pande za kwetu yametimba Al Jazeera Israel: 2. Kwamba pasipo na kusubiria kitu Al Jazeera wafunge virago? 3. Kwamba wale wachumba kumbe wamekuwa nao wakitamani malaika mfunga mitandao afanye yake? 4. Nani wa kuunga mkono ubazazi huu? 5. Hoja si...
  2. JamiiForums Tanzania Mbunge Dkt. Christina Mnzava Atoa Vifaa vya Michezo Lubaga Sekondari Manispaa ya Shinyanga

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Shinyanga Mhe. Dkt. Christina Mnzava ameadhimisha sikukuu ya Muungano kwa kutoa VIFAA vya michezo ambavyo ni mpira wa miguu na mpira wa netball pamoja na jezi nzuri za kisasa za netball na football. Dkt. Mnzava akizungumza na qanafunzi na walimu wa shule ya...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya umeme na electronic vya hospitali vinafanyiwa maintanance na repair wapi?

    Habari ndugu zangu kwa wale wanaofanya kazi kwenye vituo vya afya .je vifaa kama xray, ct scan ,ultrasound machine zinapoharibika huwa zinapelekwa wapi kufanyiwa matengenezo?
  4. JamiiForums Tanzania Viongozi wa UWT washuhudia athari za mafuriko Rufuji, watoa msaada wa chakula na mahitaji maalum

    VIONGOZI WA UWT WASHUHUDIA ATHARI ZA MAFURIKO RUFIJI, WATOA MSAADA WA CHAKULA NA MAHITAJI MAALUM Viongozi wa kitaifa wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) wametembelea eneo la Muhoro wilayani Rufiji lililoathiriwa na Mafuriko yaliyotokana na uwepo wa mvua kubwa zinazoendelea kunyesha...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini graphite inaweza kulinganishwa na dhahabu katika muktadha wa "vita vya teknolojia"?

    Graphite ni aina ya madini inayopatikana katika asili, ambayo ni fomu ya kaboni. Madini haya yamejulikana kwa muda mrefu na hutumiwa katika matumizi mbalimbali kutokana na sifa zake za pekee. Graphite mfumo wake: Hapa kuna baadhi ya mambo muhimu kuhusu madini ya graphite: Muundo wa...
  6. JamiiForums Tanzania Naomba kupata ufafanuzi kuhusu biashara ya vifaa vya electronics

    Habari ndugu zanguni, naomba kwa wenye experience juu ya biashara ya vifaa vya kielektronikI nisaidieni kujua kuhusu management yake na hata changamoto zake pia .
  7. B

    JamiiForums Tanzania Je, unatafuta Vifaa (Accessories) kwa ajili ya Laptop au Desktop yako?

    ๐—›๐—ฎ๐—ฏ๐—ฎ๐—ฟi ๐—ก๐—ฑ๐˜‚๐—ด๐˜‚, ๐—๐—˜ ๐—ช๐—”๐—๐—จ๐—”๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ‘‰๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ ๐—•๐—œ๐—š๐—œ๐—ง๐—˜๐—–๐—› ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—น๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ ๐˜‡๐—ฎ ๐—ฉ๐—ถ๐—ณ๐—ฎ๐—ฎ ๐˜ƒ๐˜†๐—ฎ ๐—ž๐—ผ๐—บ๐—ฝ๐˜†๐˜‚๐˜๐—ฎ ( ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ & ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ ) ๐—ฝ๐—ฎ๐—บ๐—ผ๐—ท๐—ฎ ๐—ป๐—ฎ ๐—ฆ๐—ถ๐—บ๐˜‚. ๐—ง๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐—”๐—ฑ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ฒ๐—ฟ, ๐—•๐—ฒ๐˜๐—ฟ๐—ถ, ๐—ฅ๐—ฎ๐—บ, ๐—˜๐˜…๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น & ๐—œ๐—ป๐˜๐—ฒ๐—ฟ๐—ป๐—ฎ๐—น ๐—›๐——๐—— ( ๐˜‚๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ผ๐—ณ๐—ฎ๐˜‚๐˜๐—ถ ), ๐— ๐—ผ๐˜‚๐˜€๐—ฒ, ๐—ž๐—ฒ๐˜†๐—ต๐—ผ๐—ฎ๐—ฟ๐—ฑ, ๐—ฉ๐—ถ๐—ผ๐—ผ, ๐—ฆ๐˜†๐˜€๐˜๐—ฒ๐—บ ๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ฟ๐—ด๐—ฒ, ๐—›๐—ฑ๐—บ๐—ถ, ๐—ฉ๐—š๐—”, ๐——๐—ฉ๐—œ ๐—ฐ๐—ฎ๐—ฏ๐—น๐—ฒ๐˜€, ๐—–๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐—ฟ๐—ฎ, ๐—Ÿ๐—ฎ๐—ฝ๐˜๐—ผ๐—ฝ ๐—ป๐—ฎ ๐——๐—ฒ๐˜€๐—ธ๐˜๐—ผ๐—ฝ. ๐—ฃ๐—ถ๐—ฎ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜๐—ผ๐—ฎ ๐—›๐˜‚๐—ฑ๐˜‚๐—บ๐—ฎ...
  8. JamiiForums Tanzania Tuonyeshe picha ya baadhi ya vifaa vyako vya kazi vinavokupa maisha

    Kama viko store kwenu au hapo kibaruani kwako tupigie picha ya baadhi ya tools zako unazoziaminia na kuzitunza daima kwani ndizo zinazokupa ugali.
  9. JamiiForums Tanzania Pata vifaa vya kisasa na kwa bei za jumla na rejareja yaani Kmpyuta.

    Tumezidi kuaminika kila iitwapo leo. Wewe Mzazi au Mlezi amma Mwanafunzi usipate shida wewe tuambie upo wapi na Unataka Laptop au Desk top aina gani ?? Usiwaze kwamba tunafanya kazi kulingana na idadi. Sisi tunafanya kazi kwa wote. โ˜… โ˜…โ˜…โ˜… โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜…โ˜… OFA OFA OFA OFA...
  10. G

    JamiiForums Tanzania Nauza vifaa vya Stationery

    Nauza vifaa vyangu vyote vya stationery, kuna; Canon IR2520 Tsh 700,000 Xerox workcentre 7535 Tsh 1m Epson L850 Tsh 900,000 PVC ID card cutter Lamination machine Spiral binding machine Carbon paper 1pkt @ Tsh 3000 Counter book 2Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book 3Q 1ctn @ Tsh 70,000 Counter book...
  11. G

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza vifaa vya stationery tsh. 5M

    Nauza Printer ๐Ÿ–จ ya Epson L850 Ina kila kitu chake, ni mpya sijawahi itumia Tsh 900,000 All in one printer Print,copy,scan Six color eco-tank Colored printer Quality ๐Ÿ’ฏ Napatikana Dar, Mbweni WhatsApp/Call/SMS 0653 083 000
  12. JamiiForums Tanzania Jinsi ya kusakinisha FONTS maalum katika Samsung one UI 6 au 5.1 Vifaa (Fonti 600+)

    Najua wengi wenu mnapenda customization kwenye simu, sasa nimekutana na hii link ina font 600 amabzo unaweza kubadili kwenye simu yako kila siku tofauti na za kununua galaxy store kwanza hii hii link itakayokupelekea kudownload folder la font...
  13. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Maafisa Serikali wa juu huenda wakazuia kutumia TikTok kwenye vifaa vya Serikali

    Maafisa wa serikali wa ngazi ya juu huenda hivi karibuni wakazuiliwa ku-share taarifa fulani au kutumia programu ya TikTok kwenye vifaa vya serikali. Waziri wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki amesema suala hilo bado linajadiliwa kikamilifu katika Baraza la Usalama...
  14. J

    JamiiForums Tanzania Je, ni kweli NHIF wameondoa baadhi ya vifaa tiba (kama vile gloves) katika kitita kipya cha huduma?

    JE NI KWELI NHIF WAMEONDOA BAADHI YA VIFAA TIBA KAMA GLOVES KATIKA KITITA KIPYA CHA HUDUMA? Hivi karibuni kumekua na mjadala mkubwa wa kwamba kitita kipya cha NHIF kimeondoa baadhi ya vifaa tiba vinavyotumika katika huduma za kitabibu mathalani gloves, gauze na bandages. NHIF wanasema gharama...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Nina Vifaa vya Kufanyia Biashara ya Chips. Nahitaji Connection ya Location ya Uhakika Hapo Dar

    Habari za Jioni wana Jamio Forums. Kama mnavyojua sisi ni Wana familia. Licha ya kuwa tunasaidiana sana ktk mawazo, stori na Habari mbali mbali na wiwa pia kuomba msaada niweze kupata sehemu nzuri iliyochangamka niweke jiko langu la Kuuza Chips, Kuku, Mishkaki n.k. Pia kwa kufanya hivyo...
  16. JamiiForums Tanzania Mbunge Saashisha Mafuwe asema kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools kinatengeneza aina zote za vifaa vya chuma, hakuna sababu ya kwenda China

    "Kiwanda cha Kilimanjaro Machines Tools karibu miaka 30 ni kama kilikuwa kimekufa. Nilienda Bungeni nikapiga kelele Serikali ikatuletea fedha, Mashine imejengwa imekamilika na Operation zinaendelea. Wateja wanaleta vifaa vya Makanika (Mechanics) vimeanza kutengenezwa hapa ndani ya Wilaya ya Hai"...
  17. JamiiForums Tanzania 'Dawa 178 na Vifaa Tiba 15 vilivyoondolewa kwenye Kitita kipya cha NHIF'

    Pia soma: NHIF yarudisha dawa 178 zilizoondolewa
  18. JamiiForums Tanzania Vifaa vya muziki bei nafuu. Gitaa, Effect, Combo na Waya 1 million tu

    Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu. 1. Gitaa la Solo 2. Solo/Rythim gitaa Combo 3. Solo Gitaa Effect Pedal 4. Cable za Jack pins 3 original na jack pin ndogo 1 5. HDMI mpya. Kwa anaevihitaji tuwasiliane vipo Dar es Salaam Bunju na viko...
  19. K

    JamiiForums Tanzania Kwa Al Hussein Spare Parts, Tanga: Njoo ujipatie vipuri, betri na vifaa vingine vya magari

    Tunauza vipuri vya magari yote ya Japan, Uingereza, Singapore. Pia, magari madogo, makubwa kama fuso, canter, tata , n. k. Tupo barabara ya 20 Tanga. Piga simu namba 0713276892. Usisime spare, sema Kwa Hussein Pia tuna oil za aina zote, na tunafanya service na tuna fundi pia wa magari kwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa vya ufundi selemala vinauzwa

    Vifaa vya ufundi Vyote 100,000 1)Spray gun ya umeme 2)Jigsaw 3)Clamp mbili za ukubwa wa 50*200 Mahali Dar es salaam Mawasiliano:0658 106 630
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ