vifaa

  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kuna jambo lina nipa mashaka ila kama litakuwa siri ila siku litakuwa wazi tu nchi hii.

    Serikali ikishaelekea kufeli ufanya njia yoyote kubaki madarakani. Na njia yoyote inaweza kuwa mbaya kwa nchi ila ikawa faida yao kwa mambo yao. Kukosekana kwa ajira nchini ,serikali inaweza kutumia mwanywa kuonesha inawapa watu ajira kumbe wanaenda kutumikia ajira za magendo. Kwa sasa nchi...
  2. mtoto wa kibopa

    JamiiForums Tanzania nahitaji vifaa vya simu aina ya huawei mate 20 pro viwe used au vipya

    nahitaji vifaa vya huwei used hata kama ni vipya itakuwa sawa tu...vifaa ninavyovi hitaji ni mfuniko wa batri uwe na muonekano kidogo mzuri kama ni used,camera ya mbele na nyuma...au hata ikipatikana hii simu iliyokufa display nitanunua.
  3. Tronics guru

    JamiiForums Tanzania Generator na vifaa vyote vya workshop kwa bei nafuu

    Uzi wa Generators na vifaa vyote vya mafundi mbalimbali kwa bei nafuu. Tupo kariakoo ndanda na muhonda Whatsapp/kawaida 0614228735
  4. Fbn

    JamiiForums Tanzania Ili jengo kampuni nyingi za mawasiliano ziliomba kuweka vifaa vyao cha kushangaza waligomewa.

    Pale mawasiliano tower sio wageni ila hii sehemu ndio unaambiwa kama vitafungwa vifaa vya mawasiliano juu kama huduma za internet za majumbani au vifaa vyengine. Hapa mpaka aliye morogoro,kibaha,znz na bagamoyo anaweza kupata signal safi. ila kwa nini wamekataa kampuni nyingi
  5. Fbn

    JamiiForums Tanzania Rwanda ndio nchi mojawapo Aafrika kwa sasa inatengeza silaha na vifaa vya ulinzi bila kutegemea mataifa mengine kuangiza

    Rwanda ni moja ya nchi chache barani Afrika ambazo zimeanza uzalishaji wa silaha za ndani, ikiwemo magari ya kijeshi, silaha, munisyoni, na drones. Hii ni hatua kubwa katika kuimarisha sekta ya ulinzi ya nchi hiyo na inaweza kuwa mfano kwa mataifa mengine ya Afrika katika kupunguza utegemezi wa...
  6. Genius Man

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya kubeba kwenye maandamano #D9

    Habari wakuu, katika maandamano usisahau kubeba vitu hivi 1, maji na vyakula kama mikate kama ukiweza beba maji mengi kwenye hivi vimfuko vya kandoro ukawagawaia wenzako kwenye maandamano, ukifika tu usilaze damu zisambaze kwa wenzako ili kujipunguzia mizigo. 2, Dawa na kama vidonge na vifaa...
  7. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania

    Ijue Biashara ya Vifaa vya Ujenzi Tanzania Unajua? Biashara ya vifaa vya ujenzi ni fursa kubwa hapa Tanzania 🏗️ Lakini kufanikiwa kunahitaji mikakati sahihi. Hebu tuangalie mambo ya msingi: 🔹 1. Litambue soko lako Usiingie gizani! Jua wateja wako ni nani, bei za washindani wako zikoje, na...
  8. youngkato

    JamiiForums Tanzania Ijue Biashara Ya Vifaa Vya Ujenzi

    Biashara ya vifaa vya ujenzi Tanzania ni fursa kubwa yenye faida endapo utaingia ukiwa na mikakati. 1. Litambue Soko Lako Kabla ya kuanzisha duka la vifaa vya ujenzi, hakikisha unatambua soko lako. Jua ni wateja gani unaowalenga wawe mafundi, wamiliki wa nyumba, au makandarasi wakubwa. Fanya...
  9. Trainee

    JamiiForums Tanzania KERO TANESCO wapo rafu sana! Nyaya na vifaa wanavitelekeza tu bila kujali

    Yaani kama ni mradi basi watu wa TANESCO wanajua kutia hasara. Nitagusia mambo matatu Kwanza kabisa hawa jamaa wakibakiza vifaa kwenye kazi zao sioni wakivifuata wala kuvitunza. Nyaya kila sehemu wameacha, machuma chuma kibao wanayatelekeza ovyo Pili hawa vijana wa TANESCO wa siku hizi naona...
  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania Mabilioni yanayotumika kugawa magari na vifaa kwa Polisi wakati huu, je, Serikali inaboresha na maslahi yao pia?

    Siyo siri moja kati ya majeshi ambayo naweza kukiri imani yake kwa Wananchi wengi ni kama imepungua kwa kiasi kikubwa kutokana na matukio mbalimbali yanayowahusu nchini basi ni Jeshi la Polisi. Polisi wanahusiana na Wananchi moja kwa moja tofauti na majedhi mengine, inawezekana hiyo ikawa...
  11. ivanmark714

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa mtaji wa million 10 nifanye biashara ipi vifaa vya pikipiki au duka electonics?

    Habari? Niende moja kwa moja kwenye point... Nimejichanga nimepata mtaji wa kiasi cha millioni 10 nataka nifanye biashara moja kati ya hizi ambazo ni duka la vifaa ya pikipiki au duka la electronics hapa ni vile home applience yani TV ,FRIDGE, REDIO, FAN nk... Kwa upande wa location nipo...
  12. Fascinating

    JamiiForums Tanzania Apple event Septemba 9, Imewekaa Viwango vipya katika vifaa vyake

    Apple event ya Septemba 9 imetoa muelekeo mpya wa kimkakati wa kampuni hiyo katika kuimarisha utawala wake wa soko la vifaa vya elektroniki. Badala ya tu kutangaza bidhaa mpya, Apple imeonyesha jinsi inavyoendelea kuunganisha bidhaa zake na kuwa mfumo mmoja wa kipekee, huku ikiboresha utendaji...
  13. Fbn

    JamiiForums Tanzania Kauli ya diamond na ommy kama mashaikh,basata,TCRA,JESHI LA POLISI, wasipojitokeza kumuonya basi ndo haya haya wanayoendeleza kubariki huu utawala

    Ni kwamba sasa washatuzarau kuonesha wanakula keki ya taifa na watala wa CCM mpaka kufikia steji ya kututukana. Hivi kwa nini wananchi na mashabiki kuweka ajenda kuunfollow na kutosupport kazi zake.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Yas yatoa msaada vifaa tiba Hospitali ya wilaya Chalinze

    KAMPUNI ya mawasiliano hapa nchini, Yas imeonesha dhamira yake ya dhati katika kuboresha ustawi wa jamii kwa kutoa msaada wa vifaa tiba muhimu katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze, mkoani Pwani. Mpango huo, uliongozwa na Mkurugenzi wa Kanda ya Pwani Kusini, Fadhila Saidi ambaye alimkabidhi...
  15. dark web

    JamiiForums Tanzania Fundi Umeme na vifaa vya kielectroniki, anapatikana, uzoefu wa kazi, ubora na uaminifu!

    Habari wanajukwaa, Naitwa fundi mwenye uzoefu mzuri katika fani ya umeme na vifaa vya kielektroniki, napatikana Dar es Salaam. Nimekuwa nikihudumu kwa ufanisi katika kazi mbalimbali zinazohusiana na matengenezo, usimikaji, na ushauri wa kitaalamu kwenye vifaa vya kila aina. Huduma ninazotoa ni...
  16. Denis Dion

    JamiiForums Tanzania Tunauza copper coils na copper pipes na vifaa vingine vingi vya majumbani

    Tunauza copper coil size zote zente urefu wa mita 15 kwa roll kama ifuatavyo 1/4 copper coil ~ 75,000/= 3/8 copper pcoil ~ 115,000/= 1/2 copper coil ~ 155,000/= 5/8 copper coil ~ 210,000/= 3/4 copper coil ~ 270,000/= 7/8 copper pipes ~ 170,000/= 1 1/8 copper pipe ~ 250,000/= 1 3/8 copper...
  17. F

    JamiiForums Tanzania NAKODISHA ENEO LA BIASHARA YA HARDWARE NA VIFAA VYAKE .ie Godown, machine za blocks, office, sehemu ya mbao.

  18. tajiri wa fikra

    JamiiForums Tanzania Mr Electronics: Jipatie vifaa vya kielectronic kama Computer ,Sound Sustems, phone accessories pamoja na vingine vingi kwa bei ya Store

    Tunauza: 💻 Kompyuta (Desktop & Laptop – mpya & used) 🖥️ Vifaa vya kompyuta (keyboard, mouse, monitor, printer n.k) 🎧 Sound systems (speakers, home theaters, Bluetooth systems) 🔌 Accessories mbalimbali (USB cables, screen protectors, covers,adapter,Air pods,headphones n.k) ⚡ Vifaa vya umeme vya...
  19. Fbn

    JamiiForums Tanzania Jirani yangu anabiashara za kuuza majeneza pamoja na vifaa vya kuhudumia na yeye analalamika biashara ngumu ni meshindwa cha kumjibu.

    Hivi wote tunapitia kipindi kigumu kuelekea oktoba sijui ndo no reform no election.Yani na jirani yangu ana biashara vifaa vya msibani na anauza majeneza na ndio biashara yake iliyompa paka nyumba ila na yeye ana lalamika .
  20. Mi mi

    JamiiForums Tanzania Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa.

    Gwaride la kijeshi la China la Septemba 3 litaonyesha silaha na vifaa vilivyoboreshwa. Xinhua|June 24,2025 The weapons and equipment to be displayed in China's Sept. 3 military parade embody the Chinese military's system-based combat capabilities, new-domain and new-quality combat strength and...
Back
Top Bottom