vifaa

  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania TANROADS: Taa za eneo la Tripple A haziwaki kutokana na hitilafu, Tunaomba radhi, tutafunga vifaa vya kisasa

    Jana Aprili 21, 2026, Mdau wa JamiiForums.com aliandika “Taa za Barabarani zilizopo Sakina Triple A / Arusha Technical College hazifanyi kazi kwa zaidi ya miezi minne hali inayoongeza hatari ya usalama wa watumiaji”. Hoja ya Mdau ipo hapa ~ Taa za Barabarani za Sakina Triple A ni zaidi ya miezi...
  2. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical & Tech Solutions ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA ZA JUMLA NA REJAREJA💫 Tupo Kwa Ajili Yako💡 ✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA, VIWANDA, UMEME WA NYUMBANI, VISIMA, MOTORS N.K JUMLA NA REJAREJA Tupo Dar es...
  3. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Chimbo la vifaa vya umeme Tanzania

    🎯CHIMBO LA VIFAA VYA UMEME KARIAKOO Rafiki Electrical Solutions 🤝 ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Kwa Mahitaji ya Vifaa Vya Umeme Bora na Vya Ukakika (Original) Rafiki Electrical & Tech Solutions Tupo Kwa Ajili Yako💡✅ TUNAUZA NA KUTENGENEZA VIFAA BORA NA IMARA VYA UMEME WA MINARA...
  4. Kicheche mkali

    JamiiForums Tanzania Fursa Kwa mafundi, clients na wauzaji wa vifaa vya Ujenzi......Kuna link kujiunga na sisi

    🏗️ FURSA YA UJENZI & CONNECTIONS TANZANIA NZIMA! 🇹🇿 Je, wewe ni Fundi stadi, Muuzaji wa vifaa, au Mwenye nyumba unayetafuta huduma bora? Huu ndio mchongo wako! Tumeanzisha Group la UJENZI & CONNECTIONS TZ kwa lengo la kuunganisha wataalamu na fursa nchi nzima. 🛠️ KWA MAFUNDI (Fani Zote)...
  5. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme, Kariakoo

    ⚡ VIFAA VYA UMEME ORIGINAL NA BEI POA! Unatafuta vifaa vya umeme vya uhakika kwa matumizi ya nyumbani au viwandani? Sisi tupo kwa ajili yako 💯 📍 Kariakoo 🚚 Delivery mikoa yote Tanzania Tunapatikana na brand kubwa kama: ✅ ABB ✅ SCHNEIDER ✅ SIEMENS ✅ LEGRAND ✅ CHINT ✅ TRONIC ✅ HAVELL Tunauza: 🔌...
  6. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme Kariakoo

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. Kutoka Kampuni zote mahiri kama vile; ABB, TRONIC...
  7. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme

    Tunauza na kutengeneza vifaa bora na imara vya umeme wa minara, viwanda, umeme wa nyumbani, visima, motors n.k jumla na rejareja Tunafanya delivery ndani na nje ya Tanzania Tupo Kariakoo 📍 Kwa huduma za kuridhisha, wasiliana nasi sasa Kwa whatsapp namba +255764379293
  8. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Hivi ni vifaa muhimu kuwa navyo nyumbani kwako

    Nyumbani kwako ni muhimu uwe na vifaa hivi, kwani vinahitajika sana. 1.Star screw drivers kubwa na ndigo 2.Flatted screw drivers ndogo na kubwa 3.Tester ya umeme 4.Plier au plaiz 5.Nyundo 6.msumeno wa mbao 7.msumeno wa chuma 8.tupa inanolea vifaa vya chuma. 9.Futi 10.Jembe 11.Panga 12.Koleo...
  9. Ubuju

    JamiiForums Tanzania KERO Changamoto ya vifaa vya kufundishia kwa course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inaferisha vijana kwenye soko la ajira

    Habari wakuu, Course ya Ordinary Diploma in Heavy Duty Equipment Engineering inayotolewa katika chuo cha ufundi arusha (ATC) ambayo ina miaka 5 toka iyanzishwe inapitia magumu sana kwa wanafunzi wanayosoma kwasababu hakuna mitambo ya kujifunzia uliopo ni fuvu tu haifanyika kama ilivyo hapo...
  10. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania Vifaa bora vya umeme vya kisasa, Kariakoo

    📍Rafiki Electrical & Tech Solutions ni solution kwa mahitaji yako ya vifaa bora na vya kisasa vyenye usalama Mkubwa. Tunauza, kusambaza na kutengeneza Vifaa bora vya umeme wa: 🎯Viwanda 🎯Majumbani 🎯Minara n.k Tunapatikana Kariakoo, Narung'ombe na Gogo. Tunatuma Tanzania na nje ya Tanzania...
  11. Rafiki Electrical

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Vifaa bora vya umeme wa majumbani, minara, viwanda, pump za visima, n.k

    Je, Umekuwa ukijiuliza utapata wapi vifaa bora vya umeme kwa bei nafuu zaidi? Rafiki Electrical & Tech Solutions, Niwauzaji, wasambazaji na watengenezaji wa vifaa bora sana vya umeme wa Nyumbani, Minara, Viwanda n.k hapa Tanzania na Nje ya Tanzania. Tunapatikana Kariakoo, Mtaa wa Narung'ombe na...
  12. Kipenzi Changu

    JamiiForums Tanzania Mchengerwa anamjibu Mamba Dudubaya kuhusu mashine ya MRI

    https://www.youtube.com/live/46Sy9QdFj7Y?is=de5o1xbYrhPjwSgH Yupo Live TBC. Anawaambia wana habari wawe makini wanaporipoti hiyo taarifa ni kinyume na sheria za nchi Naona Dudubaya kachangiwa
  13. VN Warehouse Limited

    JamiiForums Tanzania Unatafuta Vifaa vya Ujenzi? Karibu VN Warehouse Limited – Tunauza Jumla na Rejareja

    Unatafuta vifaa bora vya ujenzi kwa bei nzuri? Karibu VN Warehouse Limited, kampuni iliyosajiliwa kisheria inayojihusisha na uuzaji wa vifaa mbalimbali vya ujenzi kwa jumla na rejareja. Tunatoa bidhaa zenye ubora wa uhakika kwa mafundi, wakandarasi, na wateja wa kawaida wanaojenga au kufanya...
  14. Rafiki Electrical Solutio

    JamiiForums Tanzania VIFAA VYA UMEME TANZANIA

    Je, Umekuwa ukijiuliza wapi utapata vifaa bora vya umeme kwaajili ya mahitaji yako? 💫SASA UMEPATA SULUHISHO KAMILI Rafiki Electrical & Tech Solutions 💡 ni watengenezaji, wauzaji na wasambazaji wa vifaa bora na salama vya umeme mkubwa na mdogo. KWA BEI YA JUMLA NA REJAREJA! Kutoka Kampuni zote...
  15. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Duka la vifaa vya keki kwa Dar au Mwanza

    Kwa anayejua,naomba contacts za duka linalouza vifaa vya keki kwa Mwanza au Dar es salaam.
  16. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu anusa wizi mwingine Muheza – Tanga, ni wa vifaa vya ujenzi jengo la Halmashauri ya Wilaya

    WAZIRI MKUU Dkt. Mwigulu Nchemba ameagiza wajumbe wa Kamati Mapokezi na Kamati za Ujenzi za mradi wa ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Muheza wakamatwe na kuhojiwa mara moja ili watoe taarifa juu ya upotevu wa vifaa vya mradi huo. “Kuna nondo 700, Marine boards 500 na matofali...
  17. H

    JamiiForums Tanzania Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba

    Ndani ya wiki mbili vifaa viwe vimefungwa - Waziri Mkuu Dkt. Mwigulu Nchemba ———————————- Amesema hayo leo Februari 13, 2026 alipokagua na kufungua jengo la wagonjwa mahututi (ICU) katika Hospitali ya Halmashauri ya Mji wa Handeni mkoani Tanga ambalo ujenzi wake umegharimu sh. milioni 426.
  18. hewizet

    JamiiForums Tanzania Vifaa vya bucha (butchery) vinauzwa

    1. Msumeno wa kukatia nyama wa umeme brand ya capital 800w (maelezo zaidi kwenye picha) uko na extra blade - 1.5m 2. Chest Freezer kubwa aina ya Snowsea ina glass za kusukuma kwa ndani na ina milango miwili- 950k 3. Chest freezer ndogo aina ya Snowsea 350k 4. Ac ya hisense 9000btu complete 500k...
  19. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Halmashauri ya Mji wa Bariadi imetelekeza vifaa vilivyonunuliwa kwa fedha za Kodi za Wananchi, hawajali, hakuna anayeumia

    Kuna vitu vinafanywa na serikali ukiviangalia vinaumiza, vinatia watu hasira, na hata hakuna anayejali, au kuumia kama ambavyo Wananchi tunaumia. Hapo juu kuna picha nne, ingawa nimeziunganisha ili zikae sehemu moja, ni picha ya gari la taka, nyingine la kukusanya uchafu na nyingine ni mashine...
  20. B

    JamiiForums Tanzania Wauza vifaa vya furniture anaefanya derivary nipo chalinze..

    Mimi ni fundi Kwa wauza vifaa vya furniture km Plywood 18mm... Mikono inch 6 ya makabati.... Mikono inch 8 ya kabati.... Bawaba za kichina.... Loki za kabat... Gundi bollbond... Disk ya mbao inch 7 Diski ya ukuta inch 4... Tina Njoo tufanye biashara boss site ipo chalinze 0692477610 watsapp
Back
Top Bottom