Habari wakuu,
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Nilipata shida miezi miwili iliyopita nilikuwa nasikia maumivu kwenye tumbo upande wa kulia kwa chini. Baada ya kwenda kupima niligundulika nina kidonda kwenye utumbo mkubwa Doctor alisema ugonjwa nilio nao unaitwa chlons disease. Nilipewa dawa...
Wakuu poleni na Majukumu na tuendelee kupambana, nimekuja kwenu kijana wenu nipate msaada wa changamoto inayonisibu kwa sasa.
Nmeugua vidonda vya tumbo tangu mwaka jana nligundulika baada ya kupata maumivu makali sana sehemu ya kifuani upande wa kushoto (sehemu ya moyo) nilipata vipimo na...
Mimi ni mgojwa wa vidonda vya tumbo. Kuna dawa asili natumia sasa hivi tumbo naweza kulialia halisumbui ila tatizo lililobaki kiungulia hasa nikitembea au nikilala kinakamata ila nikikaaa kinaachia na mgongo kuuma mwili hauna nguvu.
Je, nitumie nini niweze kurudisha energy maana Kuna muda...
Poleni na majukumu mbalimbali ndugu zangu,
Bila kuwapotezea muda,napenda kutoa ushuhuda juu ya umuhimu wa maji ya kunywa kama tiba katika kutibu tatizo la Vidonda vya tumbo na Bawasiri.
Tatizo la vidonda vya tumbo,kwangu lilikuwa ni la zaidi ya miaka mitano ,licha ya kujitahidi kutumia dawa...
Wanajamvi Jana nilileta mada hapa kwamba nasumbuliwa na vidonda vya tumbo mwezi Sasa yapata licha ya kumeza dawa za hospital.
Kuna mdau amenishauri kwamba maji ya moto ni dawa ambayo watu wengi hatuijui.
Naomba niwaulize wanajamvi hivi nikweli unywaji wa maji ya moto yanasaidia kuponyesha...
Wanajamvi vidonda vya tumbo vinatesa sana aisee yaani mpaka mbavu na kifua vinabana naombeni anejua sawa anisaidie nikipona nampatia zawadi kubwa sana wadau nateseka sana yaani Sina aman Sasa hivi ni mweai mzima tangia vianze kunisumbua.
Leo nimesoma mtandaoni kuwa Vidonda vya tumbo(Ulcers) huweza kuambukizwa kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mwingine.
Naomba kujua kama ni kweli maana siku zote mie najua vidonda vya tumbo huvipata mtu kutokana na mtindo wake wa maisha(kutokula) au kwa kutumia baadhi ya dawa ambazo zinaweza...
Habari za asubuhi wana JF,
Leo nimependelea kushare nanyi baadhi ya tiba za nyumbani za matatizo ya mfumo wa umeng'enyaji chakula ambazo zinaweza kutumika kama huduma ya kwanza au tiba ya kuponya kabisa katika mazingira yetu ya nyumbani.
Sitojikita kuelezea magonjwa kwa ajili ya kutorefusha...
Kama unasumbuliwa na vidonda vya tumbo kwa muda mrefu bila nafuu, Nina tiba ya asili itakuponesha ndani ya mwezi mmoja tu, kama ulikuwa Hulu baadhi ya vyakula utakula Kila kitu na mabadiliko utaanza kuyaona ndani ya wiki moja tu baada ya kutumia hii dawa Mimi nilikuwa muhanga wa hii changamoto...
Aisee hivi vidude vinanitesa nimekunywa kila aina ya matakataka ya dawa za hospitalini na tiba mbadala lakini bado vinanisumbua, angalau kidogo dawa zinaitwa legal kit zinisaidia lakini zingine ni kama natupa hela na kutesa tumbo kwa madawa.
Na ni bora vingekuwa vinasumbua tumboni lakini mimi...
Kwanza Niseme kabisa Mimi sio Daktari, lakini nimeongea na madaktari. Lengo la Uzi huu ni kujaribu kuzungumzia juu ya ugonjwa wa vidonda vya tumbo ambao Kwa kizungu unaitwa ulcers, nimeamua hasa kujikita kwenye mada hiyo.
Kuna uzushi mkubwa Tanzania kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na...
Nianze na kuwasalimu wakuu, pia niende moja kwa moja kuwasilisha jambo, wakuu vidonda vya tumbo vinanisumbua mno aliyepona ametumia dawa gani ,,, msaada wenu wakubwa
Vidonda vya tumbo ni tatizo linalosumbua watu wengi. Husababisha maumivu makali sana, kiasi cha kufanya liwe tatizo lisilovumilika kirahisi.
Katika kutafuta tiba, baadhi ya watu hutumia dawa za hospitalini, huku baadhi wakitumia dawa za asili.
Pia, maziwa ni miongoni mwa dawa zinazo...
Zamani iliaminika kuwa vidonda vya tumbo vinasababishwa na mawazo. Baadaye zikaja stori za Helicobacter pyrori kidudu ambacho kipo kwa karibia 80% ya watu.
Ipo hivi; Kidonda chochote ukiumia inatakiwa upone.
Kiasili kiumbe huwa anapona pale anapokuwa mazingira ya kupumzika. Resting.
Je ndugu...
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
Nitangulize salam kwanza kwa ndugu wote wana jamii forum, kama kichwa cha Habari hapo juu kinavoeleza, ninasumbuliwa na vidonda vya tumbo huu mwaka wa 6 naomba kwa yoyote anayefaham dawa au ameshatumia dawa amepona anifahamishe na mimi niondokane na hiii karaha, , nipo mwanza, natanguliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.