vidole

Vidolè is an arrondissement in the Zou department of Benin. It is an administrative division under the jurisdiction of the commune of Abomey. According to the population census conducted by the Institut National de la Statistique Benin on February 15, 2002, the arrondissement had a total population of 23,387.

View More On Wikipedia.org
  1. R

    Steve Nyerere: Poleni watanzania sisi ni ndugu, Tusali huu sio wakati wa kunyoosheana vidole

    Msanii wa Maigizo 'Bongo Movie' Steve Nyerere kupitia ukurasa wake wa Mtandao wa Instagram ameandika haya: "Mstafuuu,....watanzania wenzangu,..kwanza kabisa tutambue sisi wote ni ndugu tumezaliwa katika tumbo 1 tu linaloitwa Tanzania Kama Mtanzania nichukue nafasi hii kuwapa pole ndugu, jamaa...
  2. britanicca

    Nchi inaliwa sana, wanakula hela yako wanakunja vidole vyote wanaacha cha katikati kimesimama kuwatukana wananchi

    Watoto wa Mkuu wa Usalama wa Taifa wakiwa wana enjoy matunda ya watanzania wasio na uchumi sahihi, Wanaonesha madolali na kutambia watanzania Wengine Nimekumbuka ilikuwa asubuhi tarehe 17/02/2025 nikakutana na mtoto wa mstaafu fulan ambaye aliwahi zushiwa kuwekwa kuzuizini Aliniambia hivi...
  3. Brain Kingdom

    Fahamu Uwiano wa Vidole vya Mkononi na Sehemu za Siri Kwa Jinsia Zote

    Kama ilivyo ada mapenzi ndio Dunia na Dunia haina maana bila mapenzi, narejeq kwa vifijo na ndelemo nyingi katika uga wa mahaba nihabue mapenzi nipenzue. Huuuui huuui ndivyo waweza kupiga yowe katika anga za 6*6. Nasema hivi ukiona mwanamke anavidole vya mkononi virefu kuliko mwanaume wake...
  4. AskariKanzu

    Uzuri wa nabii yusuf (as) ndio wanawake wajikate vidole

    Nadhani hadithi za mitume na manabii zimeongezwa chumvi lengo kuvutia wasomaji tu lakini hakuna uhalisia. Yani kwamba umuone mwanamke mzuri au mwanaume handsome mbaka ujikate vidole kwa mshangao hizo ni fix
  5. ELI COHEN

    Kuna namna fulani hivi nyakati hizi za kisasa u-kidume umekuwa bedazzled hata dogo uliemuona leo mtaani kesho unamuona ananyanyua vidole mitandaoni.

    Acha kuvaa vipensi vifupi vinavyobana mapaja na makalio. Acha kuwa motivated sana mambo ya kwenye tv. Hakikisha kufuatilia majarida na story books anazosoma mtoto wako mdogo. Mwanaume akimbilii kukaa na wadada kwenye hadhara. Mwanaume hapendi vya bure bure na offer za kila mara
  6. W

    Sina imani kabisa na huduma zinazohitaji tupige picha alama zetu za vidole, hatujui picha hizo zinatunzwaje, tuendelee kugandamiza vidole

    Siku hizi kwenye mabenki, mashirika, apps, kusajili line, n.k. wanahitaji kupiga picha ya vidole kwa kamera badala ya kugandamiza kidole kwenye kifaa cha biometric. Hili linaibua wasiwasi mkubwa kuhusu usalama wa taarifa binafsi, kwa sababu alama za vidole haziwezi kubadilishwa kama password au...
  7. Ojuolegbha

    PreGE2025 Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki kwenye Mkutano wa Mnyika

    Wamenyoosha Vidole #OktobaTunatiki Kaimu katibu Mkuu wa CHADEMA John Mnyika akumbana na upinzani mkali Kondoa wananchi waipinga vikali kampeni ya "No Reforms no Election" wasema Oktoba wanatiki hawataki kuzuia uchaguzi wanataka kupiga kura.
  8. Genius Man

    Polisi hawawezi kusema wanachunguza kitu ambacho wananyooshewa vidole na zaidi ya nchi nzima kama wahusika lazima wananchi mbeya wajilinde

    Hatuwezi kusema na haiwezekani tuchunguze kitu ambacho watu zaidi ya maelfu wana tunyooshea videlo kama wahusika na utekaji wa mdude, alafu tuje na majibu mepesi kwamba tunachunguza hamuwezi kujichunguza. Wananchi wa mbeya wanayo haki ya kuchunguza tukio hilo na kujilinda dhidi ya wahalifu...
  9. mcTobby

    Almanusura nipoteze vidole vyangu viwili vya mkono.(Angalizo! Nimeambatanisha na picha ya majeraha)

    Wadau kwema . Leo nimepata changamoto ambayo sikutegemea kama ingewahi nitokea. Kuna mshenzi mmoja amewasha mashine pasipo ruhusa wakati nikiset nyuzi za kufungia silage(chakula cha Ng'ombe) 😢😢 .almanusura vidole vyangu vitoweke. huyu mpuuzi alikuwa anigeuze kilema.🥶😱😰. Mashine yenyewe...
  10. ndege JOHN

    Kila mtu ana upekee kwenye alama zake za vidole

    Alama za vidole ni za kipekee sana kutokana na mchanganyiko wa sababu za kijenetiki na matukio ya nasibu wakati ukikua kama kijusi tumboni kwa mama yako na hivyo kusababisha kutofautiana kwa mifumo ya matuta na mistari kwenye ncha za vidole. Tofauti hizi, ikiwa ni pamoja na umbo, saizi...
  11. R

    Heri Mchina anaepunguza ukali wa maisha kuliko mzawa anaetupiga, usumbufu wenu unatufanya tuzidi kujaa kwao, Mchina haendi popote, HERE TO STAY !

    Acheni kujibanza kwenye kisingizio cha uzawa, wateja wanachotaka ni kupunguza ukali wa maisha. Tunachotaka kukiona ni ladha ya ushindani wa kibiashara, haiwezekani kitu ya tsh elf 5 unauziwa mpaka elf 30, mchina anakuja kuuza kwa bei rahisi mnaanza kulia Uzalendo, ni uzalendo gani huo wa...
  12. JOHNGERVAS

    Ugonjwa Kuwashwa katikati ya Vidole

    Habari wakuu, mada hapo juu inahusika. Nina mdogo wangu ana Miaka 23 wa Kiume amekutwa na Ugonjwa wa Ajabu wa kuwashwa mwili mzima. alienda Hopsitali wakamwambia ni Mzio yaan aleji ambayo ilisababishwa na Ile dawa ya Mbu ya Kupaka. Walimpa dawa za aleji akatumia amepona japo kwa sasa amekuwa...
  13. Mikhail Tal

    Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili. Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu. Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
  14. Davidmmarista

    Msaada wa dawa ya fungus kwenye vidole vya miguu

    Anayejua dawa ya fungus anisaidie tafadhali
  15. Mkenda01

    Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?

    Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...
  16. ndege JOHN

    Umejiuliza ingekuwaje kama vidole vingekuwa na urefu mmoja

    Ikiwa vidole vyote vitakuwa na urefu sawa, hutaweza kushikilia kitu chochote. Jinsi vidole vina urefu tofauti hupelekea kuwa ngumi wakati vidole vyote vimekunjwa. Hii ndiyo sababu kuu kwa nini vidole vyote vitano vina urefu tofauti. Ndiyo maana, “Vidole vyote havifanani
  17. Common Folk

    Challenge: Una vidole vizuri au vibaya? Hebu tuoneshe👀

  18. R

    Ngozi ya mtoto ya vidole kukakama

    Hello wataalamu ,ngozi ya mtoto ya vidole vya mikono vimekakama na kumenyeka ngozi nimpake dawa gani wataalamu
  19. Tankile

    Natafuta Daktari wa tatizo la Kucha kuingia kwenye vidole vya Miguu

    Ndugu zangu kwema? Nina changamoto kubwa, sasa ni mwaka wa tatu toka 2022 kucha zangu za vidole gumba vya miguu zinachimba ndani na kunifanya vidole vyangu kupata vidonda visivyopona hivyo naombeni sana mtu anayemfahamu mtaalamu au daktari bingwa ama hospitali inayotibu hii changamoto niweze...
  20. ndege JOHN

    Ni kwanini ukijichibua vidole vinagoma kuwa vyeupe?

    Nimekaa na dada mmoja mrembo safarini kwenye seat ya bus amejichubua, ila kama ilivyo ada vidole vya miguuni na mikononi bado vyeusi. Sasa shida huwa ni nini eneo hilo la ngozi kuendelea kuwa peusi?
Back
Top Bottom