video

  1. JamiiForums Tanzania Jaji Chande Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29 asema 'picha baadhi zilikuwa halisi nyingine zilitengenezwa kwa akili unde'

    Jaji Chande akiwasilisha ripoti ya Uchunguzi wa matukio ya Oktoba 29, anasema "Jumla ya picha mjongeo 450, picha mjongeo 880, zilikusanywa kwa njia mbalimbali na baadhi zilikuwa zimesambaa mitandaoni kwa zaidi ya mara moja. Picha hizi zilipatikana na ziliwasilishwa na mashuhuda wa matukio...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Ankole Residents Oppose Sovereignity Bill

    Concerned citizens in the Ankole sub-region have called on Members of Parliament to reject the proposed Protection of Sovereignty Bill, warning that it could have far reaching economic and social consequences. The call was made during a “Bin That Bill” protest where participants comprising...
  3. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Mbarara Resident Accuses Police Officer of Torture During Interrogation (VIDEO : viewers may find these images distressing. VIEWER DISCRETION ADVISED)

    A resident of Mbarara City has accused a police officer attached to Katete Police Post of subjecting him to torture during interrogation over a motor vehicle theft case. Junior Musa, a resident of Katete Central, claims he was physically assaulted by a junior officer who allegedly beat him for...
  4. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Lira City bans holiday lessons

    Authorities in Lira City have banned holiday lessons and ordered an adjustment of nursery school hours, citing growing concerns over the mental health and well-being of young learners. The directive was announced on Tuesday by the City Education Officer, Jane Obeny, following a stakeholders’...
  5. JamiiForums Tanzania Video : Baba Levo Alivyomtilia Shoti Waziri wa Tamisemi Kwenye Familia Yake

    Mtu kaumbuka huku Hadi akalazimika kujitetea hadharani Ili Mke wake asiliamshe timbwili 😂😂😂😂👇👇 https://www.threads.com/@radiomaarifatz/post/DXKlIPljjqq?xmt=AQF0S1U-gBF5xxJ8wC0Ju0Or1znu4YiRDB5E_9pbsApAIoQokX9KopbCuzwusbMZynTJaZxd&slof=1 My Take Mambo binafsi ya kifamilia hayapaswi kuongelewa...
  6. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Kifaa cha Artemiss II chasafirishwa kwa msafara

    Wakuu nimekutana na hii video inadaiwa kuwa ni kifaa cha Artemiss II kikisindikizwa na msafara baada ya kutua kutoka mwezini. Uhalisia wake ni upi? === Witnessing history Artemis II Orion capsule escorted in a powerful convoy—America’s journey back to the Moon
  7. J

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video watoto wakicheza kwenye kimbunga

  8. M

    JamiiForums Tanzania Video: meli ya kivita ya USA ikionywa Iran

    https://x.com/i/status/2043323988626006518
  9. M

    JamiiForums Tanzania Aibu ya Propaganda: Baada ya kushindwa kudanganya kifo cha Netanyahu, Iran wamekuja na nyingine ya Marekani kuwalipa Dola Bilioni 6.

    Taarifa zinazosambaa kwamba Marekani imekubali kuilipa Iran dola bilioni 6 ni propaganda za zinazorejelea tukio la zamani lililotokea Septemba 2023 kipindi Biden akiwa Rais wa Marekani. Dola Bilioni 6 zilikuwa sehemu ya makubaliano ya kubadilishana na wafungwa, ambapo Marekani ilitoa ruhusa...
  10. JamiiForums Tanzania Lissu alivyokamatwa Aprili 9, 2025 (Video)

    Umepita mwaka mmoja tangu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu alpoikamatwa na polisi Aprili 9, 2025 wilayani Mbinga Mkoa wa Ruvuma. Hivi ndivyo ilivyokuwa... https://www.youtube.com/live/U5Dn7KGBPkk
  11. JamiiForums Tanzania Video: Wanu Hafidh Ameir, Naibu Waziri Wa Elimu Akieleza Mikakati Ya Serikali Kuhusu Teknolojia Ya AI Katika Elimu

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Hafidh Ameir, amefafanua Mikakati mbalimbali ya Serikali kuhusu Matumizi ya Akili Unde (AI) kwenye elimu akibainisha kuwa kuna mikakati iliyopo na ambayo tayari imeanza kutekelezwa kwenye ngazi mbalimbali za elimu. Naibu Waziri ameeleza...
  12. JamiiForums Tanzania Kwa Mlioangalia na Kusikia: Hii Video ni ya Kweli au AI?

    Humo amesema Europe bei ya mafuta ni Euro elfu sita 6000 kwa lita ambayo kwa Tzs ni milioni 16+ Akaongeza kwa USA bei ya mafuta ni dola elfu 8000 ambayo ni sawa na Tshs 20mil.
  13. J

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Rubani wa Marekani aliyekamatwa Iran, akihojiwa

  14. JamiiForums Tanzania Kwanini music video za Watanzania(uneducated)hazina kiwango kikubwa, Kama za Watanzania (educated)?

    https://youtu.be/SkLvVyZveTI?si=zlCNhPi_1K0pnYpj
  15. JamiiForums Tanzania Jinsi ya Kutengeneza Video za AI Kwa Kutumia Grok AI (Super Grok)

    Teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) imebadilisha sana namna watu wanavyotengeneza maudhui ya video. Leo hii, mtu anaweza kutengeneza video za matangazo, musiki, elimu, au burudani bila kamera, bila studio, na hata bila timu kubwa ya production. Moja ya tools zinazotumiwa sana sasa ni...
  16. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda “There is No Reason to Increase Fuel Prices” – Minister Nankabirwa (VIDEO)

    Uganda’s Minister of Energy and Mineral Development, Ruth Nankabirwa, has issued an update on the country’s fuel prices and supply, discouraging oil marketing companies from making unjustified price increases. In a statement, Hon. Nankabirwa said Oil Marketing Companies (OMCs) have no reason to...
  17. JamiiForums Tanzania Hivi wakristo mnaamini vipi hiki kitu? Embu tazama hii video

    https://www.instagram.com/reel/DWNBYQVD6iK/?igsh=cTY2aWVyZjc1aGNx
  18. JamiiForums Tanzania Video: Raia wa Iran asababisha polisi watoke nduki baada ya kuchezesha sauti ya drone

    Wananchi wa Iran wanapata burudani kwa namna mapolisi yao yanababaika kila yakisikia sauti ya drone.... Imekua mazoea kuchezesha hizo sauti za drone karibu na mapolisi ya doria halafu wanachekelea namna inavyokua tafrani. https://www.facebook.com/reel/1451297260343677
  19. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa Akili Unde

  20. JamiiForums Tanzania Trend mpya Instagram: Wadada wengi wa mjini wamegeuka washauri wa maisha wakiwa ndani ya magari yao wakirekodi video

    Siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona trend fulani kwenye Instagram ambayo inanifanya nijiulize maswali mengi. Wadada wengi wa mjini, hasa wale wenye magari yao, wameanza kujirekodi video wakiwa ndani ya magari wakitoa ushauri wa maisha. Ukiangalia kwa makini, karibu kila siku utaona clip ya...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…