video

  1. JamiiForums Tanzania Video: Wananchi wa Iran wakisherehekea kifo cha Khamenei

    Hapa ni Tehran, Iran . . Hapa ni London Kaskazini
  2. JamiiForums Tanzania KWELI Video hii ya Willy Ngoma akishambuliwa na drones, imetengezwa kwa kutumia Akili Unde

    Kuna video inayosambaa kwa kasi kwenye mtandao wa TikTok na majukwaa mengine, ikidai kuonesha dakika za mwisho za msemaji wa kundi la M23, Willy Ngoma, akishambuliwa na kuuawa na ndege zisizo na rubani (drones). Video hiyo inahusishwa na mashambulizi yanayodaiwa kufanywa na jeshi la serikali ya...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Je, Hayati Magufuli Alistukia Mchezo na Uchochoro wa Kusajili Meli Tanzania Ambazo Zinakamatwa na Matukio Tata?

    My Take Hakuna kumung'unya maneno Inawezekana kabisa kwamba magenge ya wahalifu wa Kimataifa wamepata Uchochoro wa Kusajili Meli zao hapa Bongo Kwa rushwa Ili zikatumike kwenye Uhuni. Mwaka 2018 hayati Magufuli aliliona hili na kuzuia usajili wa hizi meli lakini naona ule mchezo umejirudia...
  4. X

    JamiiForums Tanzania ByteDance wamekuja na A.I inayoitwa Seedance 2.0 inatengeneza video bora unaweza kusema ni video halisi. Soko la watengeneza filamu liko mashakani?

    Kwa sasa kwenye ulimwengu wa AI gumzo duniani ni Seedance 2.0 Hapa Wachina wa ByteDance ambao ndio wamiliki wa TikTok wamekuja kuweka rekodi ya dunia. Ukibahatika kuziona video za AI zilizotengenezwa na Seedance 2.0 utagundua ByteDance they are miles ahead. Miongoni mwa clips zilizotia fora...
  5. JamiiForums Tanzania TotalEnergies watoa ufafanuzi video inaonyesha watu wakitengeneza 'Oil fake' ya kampuni yao

    Ufafanuzi Kuhusu Video Inayosambaa: Operesheni ya FCC Dhidi ya Bidhaa Bandia Dar es Salaam, Februari 13, 2026 Total Energies Marketing Tanzania Limited inatoa ufafanuzi kuhusu muktadha wa video iliyosambaa mtandaoni ambayo inaonekana kuonyesha bidhaa bandia za vilainishi vya Total Energies...
  6. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii mtu kutembea juu ya maji ni halisi

    Wakuu hawa jamaa wanatupanga hapa au ni halisi?
  7. JamiiForums Tanzania Video: Wakamatwa wakitengeneza 'Oil fake' za TotalEnergies

    Kilas iku tutaendelea kuwasanua ndugu zetu kuwa hapa DAR kama unataka oil za kampuni ya TotalEnergies nenda kwenye petrol station zao. Oil za TotalEnergies asilimia 85% ni fake hasa zinazouzwa uswahilini....hivi viwanda bubu zipo pale Tabata dampo na serikali inajua kila kitu.
  8. S

    JamiiForums Tanzania KWELI Video hii imetengenezwa kwa teknolojia ya Akili Unde

    Wakuu Ni dosari gani zinazoonekana kwenye video hii? Mimi nimeona kadhaa mathalani watu wanavyojongea kama vile si halisi.
  9. JamiiForums Tanzania Ustadh: Makaburini maiti wanatembeleana

    Ni rahisi sana kucheza na akili ya mwafrika.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Hii ndiyo video ya siku ya leo

    Bunge mfu marehemu?
  11. JamiiForums Tanzania Video: Man Fongo akitetea ulaji wa kitimoto

    hamis77 secretarybird kuna ex-communicado mwenzenu hapa😁😁
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hii video ya jamaa anatishia polisi,ni mkakati mpya wa destabilization ya serikali ya awamu hii!!?

    Vuta picha maiti za polisi wameuawa barabarani au kambini mwao ziki trend Kwa mitandao zikifuatiwa na matamko kama hayo ya black mask huko mtandaoni! Hali itakuaje Kwa viongozi wetu ambao wamekua wakiwatumia polisi kama shielding ya matamko na power walizobeba kimamlaka dhidi ya wananchi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania POTOSHI Picha, Polisi Uganda wakikagua video ya mwisho aliyopost Bobi Wine kufahamu alipo

    Kama alivyotoa tamko Jenerali Muhoozi Kabobi atafutwe apatikane akiwa hai au amekufa Ila nimegundua ukishaitwa Polisi kidogo unakuwa hamnazo yaani zinafyatuka, hapo wakiulizwa mnamtafuta kwa kazi gani na wao watajibu ni order ya Jenerali
  14. JamiiForums Tanzania FALSE Antony Joshua decided to retire from the Boxing world

  15. JamiiForums Tanzania VIDEO: Maisha yanaenda kasi sana, leo hii mabinti wanafundishwa cat walk plus malingo na kijana wa kiume

  16. JamiiForums Tanzania VIDEO: Wamama wakikristu wakilia kwa uchungu baada ya ndugu na jamaa zao 177 kutekwa na kikundi cha itikadi kali huko kaskazini mwa nigeria

  17. JamiiForums Tanzania Mhanga wa Oktoba 2025: Nilitelekezwa kwenye chumba chenye maiti 20 huku nikishuhudia wengine wakipoteza maisha

    Simanzi imetawala wananchi walioathiriwa na vurugu zilizotokea wakati na baada ya Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, waliposimulia walichoshuhudia katika matukio hayo. Wakieleza walichoshuhudia baadhi ya waathirika wa matukio hayo wakiwemo waliopigwa risasi wao au waliofiwa na wapendwa wao na...
  18. JamiiForums Tanzania Responded ‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma yatoa ufafanuzi kuhusu video ya uchakavu wa vyoo Shule ya Msingi Muhamani

    ‎‎Halmashauri ya Wilaya ya Kigoma imetoa ufafanuzi rasmi kufuatia video inayosambazwa kwenye mtandao wa kijamii wa Jamii Forums ikionyesha madai ya uchakavu wa vyoo katika Shule ya Msingi Muhamani iliyopo Kata ya Simbo. ‎ ‎Akizungumza kuhusu suala hilo Kaimu Afisa Elimu Awali na Msingi...
  19. JamiiForums Tanzania VIDEO: Mwana mitandao Speed akirushiwa ndizi na kufanyiwa sauti za nyani na wananchi wa Morocco

  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Unapokuwa hauna pesa kila kitu kinacho kuzunguka kinakuwa hakikuheshimu

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…