video

  1. JamiiForums Tanzania Rais wa miaka 10 wa watu milioni 60, siku yake kubwa kuliko zote maishani ilikuwa kukutana na Michael Jackson na Rihanna!

    Mzee, hujatutendea haki, hujarudisha heshima tuliyokupa. The biggest day of your life haiwezi kuwa siku uliyokutana na Rihanna na Michael Jackson... Jamani! Kwa miaka kumi ukiingia bafuni Mikocheni sisi tunaanza kusimamishwa Kiwalani kujiandaa kukupisha unaenda Airport, ukija msibani na...
  2. JamiiForums Tanzania Baada ya video ya "Nikupe nini" ni muda sasa wa kutoa video ya "Ingekuwa vipi"

    Nmefurahi sana baada ya Mandojo na Domokaya kuamua kufanya video ya wimbo wao wa nikupe nini. Wimbo unazaidi ya miaka 19 ila bado unaishi, Kwa kuutengenezea video leo itasaidia kuwaingizia kipato. Maana muziki wa sasa pesa, siyo mpaka kufanya tamasha tu. Pia itawajengea kufahamika na kizazi...
  3. JamiiForums Tanzania Video: Wanafunzi wasichana wavua hijab na kumzomea mkuu wa kikosi kinacholinda Wanawake Iran

    Kajaribu kuwahutubia ila wameshachoka na dhuluma za kidini... Wakuu wa nchi mayatollah yanalaumu Marekani na Israel..... A girls' school in Iran brought a member of the IRGC-run Basij paramilitary to speak to students. The girls welcomed the speaker by taking off their headscarves & chanting...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Ndugu washiriki maziko ya daktari kwa njia ya video

    Dar es Salaam. Safari ya mwisho ya maisha ya daktari Mtanzania, Mohammed Ali Hafidh (37) aliyefariki dunia nchini Uganda kwa ugonjwa Ebola ilihitimishwa juzi, baada ya kufanyika maziko ambayo yalihudhuriwa na familia yake kwa njia ya mtandao. Balozi wa Tanzania nchini Uganda, Dk Aziz Milima...
  5. N

    JamiiForums Tanzania Video ya Kusikitisha: Kiwanja cha wazi cha michezo chauzwa, raia wamlilia Hayati Magufuli

    Naam ama kwa hakika watu wanalamba asali aisee, wanakula kwa urefu wa kamba zao...ukiwaskia wahusika sasa kwenye majukwaa. "VIJANA CHEZENI MICHEZO ILI KUJENGA AFYA BORA...BADALA YA KUJIUNGA NA VIKUNDI VYA UHALIFU TUMIENI MUDA HUO KUCHEZA MICHEZO, WAZAZI WARUHUSUNI WATOTO WENU WACHEZE MICHEZO...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Jay Melody ni kwamba hana hela ya video? Wimbo ndiyo unaishia hivyo

    Huyu bwana mdogo anafeli sana, ametoa hit lakini hataki kutoa video. Sasa wimbo wake kidogo kidogo unapotea masikioni japo ni mkali sana. Nashindwa kuelewa ni umasikini, kama ni hivo watu wenye fedha zetu hatuwezi kushindwa kumpa milioni 30 atoe video. Sasa wimbo mkali anachelewa kutoa video...
  7. JamiiForums Tanzania Twitter inafanya majaribio kuwa na sehemu ya video inayofanana na Tiktok

    Inaonekana ni ngumu sana kwa hii mitandao kuwa na idea za utofauti ambazo hazifanani na platform nyingine; sijui ni uzembe wa kubuni idea mpya au idea mpya zimeisha. Twitter imetangaza mabadiliko mawili ambayo yanafanana kabisa na TikTok na Instagram Reels. 1️⃣ Twitter inaweka sehemu ya “Video...
  8. N

    JamiiForums Tanzania Kimenuka: Video hii ya Ally Kamwe yawaudhi wana Yanga

    Kila siku mkiambiwa kwamba Hersi ana maamuzi ya ki pwagu mnakasirika, hivi unadhani wana yanga ni wajingawajinga? Jenerali Bugatti alikuwa sahihi sana kukataa kumpa mkono huyu kijana mnafiki kule zanzibar aliona mbali sana Bugatti anaposema kwamba huyu ni mnafiki anaichukia yanga apingwe wewe...
  9. JamiiForums Tanzania Sababu za kuacha kutazama video za utupu

    Katika kipindi hiki; kipindi cha mtandao wa intaneti mambo yamebadilika sana kiasi kwamba mtu akiwa na simu au kompyuta yake anaweza kuingia mtandaoni kwenye kila tovuti na kurasa kupitia simu yake au kompyuta yake. Hali ambayo sasa hivi upatikanaji wa taarifa umerahisishwa sana. Mtu anaweza...
  10. JamiiForums Tanzania Video : Tayari goma la TRAB na TRAT limeingia mjini..!!

  11. JamiiForums Tanzania Je, una mtu mwenye ujuzi wa 'Graphics & Video Editor' ?

    Graphics & Video Editing Your profile: Strong communication skills with the ability to discuss any issues with a wide variety of individuals and groups Capability to produce content on time, with attention to detail, and an emphasis on identifying and pitching to a target audience A...
  12. JamiiForums Tanzania Instagram kuruhusu video za dakika 1 kwenye Insta Stories

    Instagram inaongeza kikomo cha urefu wa video zinazoshirikiwa kwenye kipengele chake cha Hadithi kutoka sekunde 15 hadi dakika 1. Hapo awali, video za dakika moja zilizoshirikiwa kwenye Hadithi za Instagram zingegawanywa katika klipu za sekunde 15 lakini jukwaa linalomilikiwa na Meta linasema...
  13. JamiiForums Tanzania Mbeya: Viongozi wa dini waongoza maombi ili kuzuia ajali Inyala

    Hi gentlemen and ladies! Hapo chini kuna video ya viongozi wa dini waliokusanywa na viongozi wa serikali kwenda kukemea ajali huko Inyala Mbeya. Hapo serikali ambayo inakusanya kodi ilipaswa kupanua barabara, kuondoa vichocheo vya ajali na kuweka alama muhimu za barabarani. Ina maana wataalamu...
  14. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Video: Wabunge Tanzania wajitutumua kwenye kingereza

    Hongereni...
  15. JamiiForums Tanzania Nani kamuelewa Mwigulu baada ya kuhojiwa na spika Tulia kupitia jibu hili?

  16. JamiiForums Tanzania Iran: Wanawake wavua hijab kulalamika mauaji ya mwenzao kisa sheria ya dini

    Wanawake wanaendelea kujitoa mhanga kama wafe basi wafe wote, mwenzao aliuawa kisa hakua amesitiri kichwa kama inavyotakiwa kwa dini ya waislamu, wameamua kuvua hijab na kuacha vichwa wazi liwalo na liwe. ============ A massive anti-hijab revolution has broken out in Iran after women came out...
  17. JamiiForums Tanzania Video: Mamluki wa Putin apokea kichapo na wanajeshi wa Urusi hotelini

    Mwanachama wa kikosi cha mamluki wanaoitwa Wagner, ambao Putin anawatumia kupigana huko Ukraine, anaonekana hapa kwenye video akigombana na wanajeshi wa Urusi, kisha ghafla akapokea kichapo cha mbwa, watu wana hasira... Videos posted to Telegram on Friday apparently show a Russian mercenary...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Polisi watoa tamko baada ya kuzuiwa kupita kwenye barabara ya mwendokasi

    Kwa hiyo hata jengo la MWENDOKASI Likiwa linaungua hakuna kupitisha zimamoto humo wawahi kuzima? Hawa ni walinda usalama wetu wanalinda mabenki, wanalinda wakuu wetu wa nchi, wanalinda hata ambavyo sisi kwa uelewa wetu hatuwezi ona! chukulia mfano kukawa na tukio hata la ujambazi ndani ya...
  19. JamiiForums Tanzania Video: huyu kiumbe amenifikirisha sana

    Je kuna kitu tume fichwa? Kiumbe huyu amenifanya nifikiri kwamba maandiko yanayo sema binadamu ali umbwa kwa sura na mfano wa Mungu yali potoshwa kwa sababu maalumu naukweli ni kwamba " binadamu ali " undwa" sio " umbwa " kwa taswira na mfano wa sokwe mtu" USHAHIDI WA HOJA HII: Ukiweka...
  20. JamiiForums Tanzania VIDEO: Sabaya hatakiwi na hastahili kuonewa huruma hata kidogo

    Wakina mama wanamlilia Sabayahuko mahakamani kesi yake unavyozidi pigwa kalenda. Nasema hivi.. huyu Sabaya hastahili kuonewa huruma na mtu yeyote kwani alikuwa amejaa dharau kali, jeuri kiburi ma majivuno. Kama aliweza muonesha hadharani mkuu wake wa mkoa Anne Mngwira (RIP) dharau ya wazi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…