video

  1. P

    JamiiForums Tanzania Video ya Masauni ikitoa onyo juu ya uhuru wa kutoa maoni yaondolewa mtandaoni

    Wananchi wa leo si kama wa wazamani, japokuwa kuna machawa wengi na wapumbavu wanotetea ujinga ili tu wapate V8 na kupanda ndege first class, wapo wanaojitambua, hata wale waliokuwa hawaelewi taratibu wanajielimisha na kusimamia haki zao. Baada ya onyo hili kali lililotolewa na Waziri wa Mambo...
  2. P

    JamiiForums Tanzania Baada ya video ya mhudumu wa afya kuosha vifaa tiba na maji baridi kusambaa, wamekurupuka na kutoa matamko mawili

    Baada ya video kusaambaa ikionesha mhudumu wa afya akiosha vifaa tiba kwa maji ya baridi na kunianika juani, serikali imekuja na majibu, ila kama kawaida inaonesha huwa hawawasiliani na hivyo kutoa matamko mawili mawili. Waziri Ummy katoa tamko kuwa ameona video hiyo na kwamba atafatilia kujua...
  3. JamiiForums Tanzania SINEMA: Hili tukio lilikuwa na maana gani, hapo kwa Nabii Geo Dave?

    📍Kisongo - Arusha. Jamaa ana kaulu yake flani hivi anakwambia faidi vinono vya duniani kwanza kabla hujaiona mbingu. Hapo kwenye kipande cha sinema kuna mabinti itakuwa warembo hao, wanapita mbele ya kadamnasi wakinesa kama kwenye majukwaa ya mamiss. Yule mwamba kakaa mbele mwenyewe anapita...
  4. F

    JamiiForums Tanzania Video: Mchungaji Anthony Lusekelo awaonya wakristo madhehebu mengine wasiende kwenye makanisa ya maombezi watatapeliwa!

    Ujumbe huu umenishtua kidogo lakini naamini ni ujumbe wa dhati, unabeba ukweli mkubwa sana kuhusu makanisa yanayoibuka hovyo kila siku. Mchungaji Lusekelo anasema ni afadhali wakristo wa madhehebu ya zamani wabaki kwenye makanisa yao kuliko kukimbilia miujiza kwenye makanisa ya maombezi kwani...
  5. JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Urusu waunguzwa kwa makombora kama mkaa

    Hivi Putin ipo siku ataweza kujibu nini kilipelekea asababishe maafa kwa vijana wa nchi ya Urusi???
  6. JamiiForums Tanzania Video: Aina ya mateso, shuruba na mahangaiko tuyapatayo yote ni kwa ajili ya kuwasomesha wanenu

    Ndugu zetu wana mama, tuhurumieni wanaume wenu japo mtubakizie hiyo bandari jamani! Aina ya mateso, shuruba na mahangaiko tuyapatayo yote ni kwa ajili ya kuwasomesha wanenu ili waje wapate ujuzi na mbinu za kuendesha na kusimamia RASILIMALI zetu. Ya nini mnataka kuzitapanya RASILIMALI zetu wa...
  7. JamiiForums Tanzania Video: Tuweni makini usiku jamani

    Ingekuwa wewe ungefanyeje?
  8. N

    JamiiForums Tanzania SoC03 Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu

    Waraka kwa mtoto wa kike mwenzangu, Tambua kuwa hapo Mwanzo Bwana Mungu hakuweka uadui kati ya mwanamume na nyoka yaani shetani, hivyo kinachoendelea kati yao Bwana ndiye anajua. Kwani wapo wanaume ambao ni marafiki wa Mungu lakini pia wapo wanaume ambao ni marafiki wa nyoka yaani shetani...
  9. JamiiForums Tanzania Video | Serikali ya Djibouti yavunja mkataba na DP World kuhusu uendeshaji wa bandari ya Doraleh

    Muhtsari Serikali ya Djibouti yavunja Mkataba wa Bandari ya Doraleh na DP World Sababu za kuvunja Mkataba ni kutokuwepo kwa maslahi kwa Taifa la Djibouti na rushwa iliyotolewa na mkuu wa bandari Serikali ya Djibouti yaishtaki DP World kwa madai ya ukiukwaji wa Mkataba Serikali ya Djibouti...
  10. JamiiForums Tanzania Video: Vijana waandalieni Maisha watoto wenu wasije wakaishi maisha haya huko Mbeleni

    Inasikitisha sana. Mtu kuchagua kuishi maisha haya. Ni ngumu sana kuupigania ubingwa. Ni ngumu lazima utapoteza matches na kuja poteza Ubingwa. Hivi nakwambia uwezekano wa kuvuliwa Ubingwa ni mkubwa sana. Mkubwa sana. Sasa msipoandaa mazingira mazuri kwa watoto wenu huko mbeleni mtakuja jikuta...
  11. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ruto akiongea kuhusu kuwa na taasisi ya kiafrika ya kifedha mbele ya Rais wa Ufaransa

    Rais wa Kenya ndugu Ruto akimpa makavu bwana Emmanuel rais wa Ufaransa.
  12. JamiiForums Tanzania Askari anayedaiwa kutembea na kete za bangi kubambikia watu

    Karibu kila Kijana Tanzania ana historia mbaya na chafu na askari wetu. Huyu alichukuliwa clip bila kujijua baada ya kumbambikia mtu kete za bange na kudai rushwa ya 2 mil na walipewa laki 6 wakamuachia mtuhumiwa. Mkasa kama unavyosimuliwa na mhanga Emmanuel Mwita Jana usiku maaskari wa...
  13. JamiiForums Tanzania Video: Wanajeshi wa Ukraine waliopo Frontline wakutana na mashambulizi mkali

  14. JamiiForums Tanzania Kama ni kweli hawa wasanii wanapelekwa Dubai kwa mission maalum Dubai Port, hakika inafikirisha!

    Watanzania wenzangu hatima ya ustawi wa Taifa letu upo mikononi mwetu. Ni wajibu wetu kama Watanzania tujizuie kwa namna yeyote ima kununuliwa ama kushawishiwa kwa namna yeyote ile ilmradi tuligawe Taifa na rasilimali zetu. Safari za namna hiyo za watu maarufu na wasanii wetu kwenda huko Dubai...
  15. JamiiForums Tanzania Makubwa(Kijana anayetrend Mitandaoni kwa kuuza Condom Mtaa kwa mtaa

    Hii Nchi ngumu sana ... nauliza hivi kondom zinarusiwa kuuzwa hadharani? Kama anavyofanya kijana huyu. Doooh
  16. JamiiForums Tanzania Furahia maisha na Marafiki (video)

    Watanzania hufurahi pamoja katika nyakati zote
  17. S

    JamiiForums Tanzania Video iliyochukuliwa na Camera ya Bradley fighting vehicle la Ukraine yaonesha namna msafara wa vifaru vya Leopard ulishambuliwa na Urusi

    Video iliyorikodiwa na camera ya mojawapo ya magarivita ya Marekani (Bradley fighting vehicles, yaliyoshambuliwa na Urusi) imeonesha namna msafara wa vifaru vya Ujerumani (Leopard tanks) na magarivitaya hayo ya Marekani (Bradley fighting vehicles) vilivyopigwa 'mtungo' na majeshi ya Urusi kisha...
  18. JamiiForums Tanzania Je, Mama anaupiga mwingi? Jionee mwenyewe kwenye hii Video

  19. JamiiForums Tanzania Vijana kufatilia zaidi mpira kuliko mambo muhimu yanayoathiri nchi tatizo ni nini?

    Hapa chini nimeweka video ya wana Dar es Salaam wakisherehekea ushindi (kombe), ambapo wengi wao ni vijana. Jana taifa lilikuwa na jambo muhimu sana kwa mustakabali wa vizazi na vizazi, jambo lililogusa Bandari ambazo ndizo kiini cha uchumi na heshima ya nchi. Mpira na furaha ni muhimu sana...
  20. JamiiForums Tanzania Video: aibu, Warusi walipua tractor na kudai wamepiga kifaru cha leopard 2

    Hawa jamaa hadi wanatia aibu.. https://apnews.com/article/ukraine-russia-tank-leopard-blew-up-tractor-2824d17105d3cfb875a5306acd2c9089 A grainy black-and-white gunsight video Russia released this week to bolster a claim its military blew up some of Ukraine’s most fearsome tanks actually...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…