video

  1. JamiiForums Tanzania Tukumbushane "surprise" ya engagement ya Wolper (picha)

    1. Mvalishwa Pete wala hakuonyesha kustuka. 2. Huenda Hata waandishi na MC aliwalipa yeye mwenyewe. 3. UMRI ukisogea Noma sana. Unafosi kila kitu. 4. Ni kama alijivalisha Pete mwenyewe. **PICHA kwa Hisani ya MC Garab
  2. JamiiForums Tanzania Ninawapa alama 0/100 washiriki wote wa mdahalo StarTv kuhusu uchaguzi wa CHADEMA. Tazama video.

    Huyu mfuasi wa Lissu hajui kilichotokea kwenye uchaguzi wa 2020 au kaamua kujifanya mwendawazimu? Kwa huu mdahalo wa jana hakuna mwenye nafuu kwenye hawa washiriki wanne. Wote nawapa alama 0/100. Yericko anastahili na viboko kabisa. Ntobi aliyesema CHADEMA imeanzishwa 2019 anastahili kuwekewa...
  3. JamiiForums Tanzania Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza kwenye tishu za mwili.

    Video inayoonyesha mtiririko wa damu unaobeba oksijeni na kusambaza katika tishu mbalimbali za mwili, kazi kubwa ya damu ni kusambaza hewa ya oksejeni mwilini. Hewa ya oksejeni huingia mwilini kwa kuvuta pumzi kisha hufika kwenye mapafu na kuingia katika mkondo wa damu na kusambazwa mwilini.
  4. JamiiForums Tanzania Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion Waisrael wakikimbia makombora ya Yemen

    Wanaukimbi. Video inaonyesha ving'ora viliposikika Tel Aviv na uwanja wa ndege wa Ben Gurion huku Wahouthi wakirusha makombora dhidi ya Israel kutoka Yemen. Kundi linalojihami na Iran linasema mashambulizi yao yanapinga mauaji ya kimbari ya Israel huko Gaza. =============== Video shows the...
  5. S

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii ya kuku akiruka kutoka ghorofa moja hadi lingine ni halisi

    Nimeona video inayosambaa ikimuonesha kuku ameruka kutoka ghorofa moja hadi lingine huku watu wakisema kuwa kuku akiacha uvivu anaweza kufanya hivyo. Je, hii ni kweli?
  6. JamiiForums Tanzania Swali la siku: Ni vitu gani unazingatia kutambua Picha au Video zilizotengenezwa kwa kutumia Teknolojia ya Akili Mnemba (AI)?

    Mdau umewahi kupotoshwa na maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia ya Akili Mnemba (AI)? Je ni vitu gani unavizingatia katika kutambua maudhui yaliyotengenezwa kwa kutumia teknolojia hii ili kuepuka kupotoshwa?
  7. JamiiForums Tanzania Godbless Lema ameweka video ya Kamanda Mawazo X. Watu waitafsiri kama kijembe kwa timu ya Mbowe

    Mwanasiasa na nabii Godbless Lema ameweka video kwenye ukurasa wake wa X ikiwa na ujumbe wa kusisitiza kutoamini mwanasiasa yoyote. Tunajua Mawazo alikuwa akilalamika kuna watu ndani ya chama chake wanataka kumdhuru kabla ya kufikwa na umauti wake.
  8. JamiiForums Tanzania Video: Jamaa atandikwa viboko kwa kosa la kumpiga mama yake mzazi.

    Huko Kilimanjaro ukifaya kosa utapigwa viboko vya kutosha mbele ya mama yako, mkeo, watoto wako na jamii kwa ujumla, ili iwe fundisho.
  9. N

    JamiiForums Tanzania VIDEO: CHADEMA wote msikilizeni Mwl Nyerere

    Mwalimu Nyerere alishakataa mambo ya mtu kuongoza miaka kama ya baba Mkwe wake, R.IP BABA WA TAIFA LETU
  10. JamiiForums Tanzania Kumbukizi: Tusiwalaumu tena vijana wetu kwa kuendekeza mpira, tatizo lilianzia kwenye kauli za kiongozi mkubwa wa taasisi

    Habari zenu wanaJF wenzangu Kwa kauli hizi ndugu zangu, kuna sababu ya mtu mwenye akili timamu kuacha kushabikia mpira kweli?
  11. JamiiForums Tanzania Video: Hivi ndivyo UVCCM walivyosepa na kijiji Mbagala kwenye tuzo za maalum za vijana

    Wakuu, Humu mitandaoni uaweza kudhani kuwa UVCCM haina wanachama hai lakini hawa jamaa wana nyomi la kutosha. Hapa sijui ni watu wamefuata muziki au wamemfuata Mwenyekiti wa UVCCM, Kawaida lakini nyomi ni kubwa. Kumbe Lucas Mwashambwa na ChoiceVariable wako wengi sana huko mtaani?
  12. JamiiForums Tanzania Aliye na Video ya Mdude CHADEMA akilia kwa uchungu baada ya kuachiwa kwa Dhamana naiomba.

    Naskia ameteseka Sana aisee. Sasa Kama mwanaume mpaka Analia kwanini asiachane na hizi harakati. Inasikitisha Sana.
  13. JamiiForums Tanzania Video: Mashabiki wa CS Sfaxien wapigana wenyewe kwa wenyewe wakivutana kuhusu wachezaji

    Hali ilibadilika ghafla Mashabiki wa CS SFAXIEN wakaanza kupigana wenyewe kwa wenyewe na hii inatokana baadhi ya mashibiki wa Timu hiyo wakitaka kuwapiga wachezaji wao ma wengine kuwazuia. Tazama namna shabiki wa CS SFAXIEN alivyompiga kichwa shabiki mwenzake baada ya kuanzisha vurugu za...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Maombi ya Mwamposa yampa mama huyu TV na simu, abeba rimoti ili ibarikiwe

    Wakuu, Kawe leo kumezidi kupamba moto Kama hauna TV usijali, cha msingi nenda kapate maombi ya Mwamposa ili upate vifaa vyako hivyo. Samsung, LG na Hisense soon zinaenda kuwa out of business maana sasa hivi ukigusa tu kidogo TV unapata Naomba nisiongee sana nsije kuharibu...
  15. JamiiForums Tanzania Unaweza Jifunza Mengi toka kwa Video hii. Aendelee Pumzika Mahala pema peponi.

    Life. What is Life!?😭😭
  16. JamiiForums Tanzania Video: Lissu na Mbowe mambo shwari, tazama wakiingia pamoja kuzungumza kuhusu tathimini ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa

    Wakuu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe akiongozana na Makamu Mwenyekiti wa Chama hicho upande wa Bara Tundu Lissu kwa ajili ya kuzungumza na waandishi wa habari.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Baada ya Assad kukimbia nchi, waasi watua kwenye kasri lake la kifahari na kuanza kusheherekea

    Wakuu, Muda mfupi baada ya kuthibitisha kuwa waasi wamemtoa Assad madarakani na Rais huyu kukimbia nchi, video za waasi wakiwa ndani ya kasri lake zimeanza kuibuka. Huyu jamaa alikuwa anakula maisha kweli kweli na pengine ndo maana walikuwa wanataka kumtoa. Video hizi zinasambaa sana X...
  18. JamiiForums Tanzania Video: Rais Joe Biden aonekana akisinzia kwenye mkutano huko Angola

    Rais wa Marekani Joe Biden amefanya ziara ya kwanza Afrika mapema wiki hii kwenye nchi ya Angola mabapo huko amekutana na viongozi wa Afrika kujadili miradi ya kimaendeleo kwenye nchi hizo. Katika kipande cha picha kilichochapishwa na gazeti la The Telegraph la Uingereza, Biden anaonekana...
  19. JamiiForums Tanzania DOKEZO Makumbusho: Polisi wadaiwa kuvamia Ofisi za "Reachout Tanzania", wakidai kumtafuta Wakili Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini

    Polisi wenye silaha wadaiwa kuvamia ofisi za Taasisi ya Reachout Tanzania zilizopo maeneo ya Makumbusho jijini Dar es Salaam, wakidai kumtafuta Mwanasheria wao Lusako Alphonce, ambaye hakuwa ofisini. Polisi hao, wakiwa na sare na wengine hawana sare, walitishia kuvunja milango licha ya kuambiwa...
  20. M

    JamiiForums Tanzania Ndoa yoyote inapita hatua 4 kubwa, Wewe upo hatua gani?

    Sikiliza kwa makini
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…