Kuna possibility ya kuwa na video assistant referee (VAR) next season NBC Premier league

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,183
2,242
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
 
kuna tetesi azam amelipia var next season. maana kuna cheaper alternatives ya var. fifa introduced recently azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha.
kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : hawa wazee wa tff na board ya ligi wanaweza kuzingua. wataweka rushwa mambo yawe magumu. st*pid f*ols tu wapo pale kwa masilai ya simba, yanga, azam sio kwa masiali mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
Gharama ni kubwa sana, kwa huyu Azam anayeonesha mechi kwa cameras chache ndiyo aweze kuleta VAR miezi minne ijayo?

Ova
 
VAR zenyewe zinaongozwa na watu kutolea maamuzi, kwa sarakasi zetu hapa Bongo bado haiwezi kuwa mwarobaini.

Tena ndio zitatumika vibaya kwa kuegemea upande mmoja wa timu, kuna matukio yatachaguliwa kuangaliwa mengine yataachwa.
 
Kama bado kwa var hizi hata nje wanazngua tu, juzi goli la Bayern limekataliwa tena nusu fainali ya uefa, goli la ki Aziz vipi var haikuwepo? Kazi yoyote anayofanya mwanadamu lazima Ina makosa tu ya kibinadamu Wala haiwezi kua suluhisho
 
mchawi atajulikana tu. swala la mda.
 
VAR zenyewe zinaongozwa na watu kutolea maamuzi, kwa sarakasi zetu hapa Bongo bado haiwezi kuwa mwarobaini.

Tena ndio zitatumika vibaya kwa kuegemea upande mmoja wa timu, kuna matukio yatachaguliwa kuangaliwa mengine yataachwa.
swala ni kumjua mchawi nani?? so far mchawi ni board ya ligi na tff. wanapanga matokeo the whole truth is out.. lengo mchawi ajulikane
 
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
Ni nzuri ila mablack mmmm yaani kwa mpira wa kiafrica,,(African football) Bado sana Bora hivyo hivyo hadi tupate akili za kutosha
 
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu 🚮. we wait the f*ols to decide.
Kama VAR ilitunyima Yanga goli letu kule CAF basi waondoe tu hayo maushuzi meupe.

Halaf hizi technology zimekuja kuharibu tu mpira, raha ya mpira Maradonna afunge kwa mkono na msione
 
Kuna tetesi Azam amelipia VAR next season maana kuna cheaper alternatives ya var. FIFA introduced recently Azam na Board ya ligi wanataka kuipitisha. Kiwake next season, tutajua mchawi nani?!

note : Hawa wazee wa TFF na board ya ligi wanaweza kuzingua, wataweka rushwa mambo yawe magumu, wapo pale kwa maslahi ya Simba, Yanga, Azam sio kwa maslahi mapana ya ligi yetu . we wait the f*ols to decide.
azam hawezi kuweka var,gharama zake ni kubwa sana kwa viingilio vyetu haitaweza kulipa
 
Bora Azam ameamua kutujali marefa wa mpira wa miguu kwa maana k vant zimetuua macho
 
Hiyo VAR itafungwa kwenye viwanja vingapi? Maana mpaka ule uwanja wa Gen Isamuhyo sijui unatumika mechi za ligi kuu. Miundombinu ya viwanja vyetu ni mibovu, marefa eanajitahidi ila bado watahitaji semina elekezi kuweza kutumia. Sio mbaya kujaribu ila bado tuna safari ndefu kuipandisha hadhi ligi yetu.
 
Ni hatua nzuri maana maendeleo hayaji kwa ghafla.....kadiri siku zinavosonga mbele zitaboreshwa.

Tumetoka mbali sana, tangu enzi za kusikiliza matangazo ya mpira kwa radio hadi sasa kutazama kwa luninga sio kazi ndogo wala nyepesi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom