video

  1. JamiiForums Tanzania SI KWELI Video hii inaonesha watu wakikimbia baada ya kushuka kwenye kivuko Kigamboni

    Wakuu nimekutana na hii video mtandaoni mara nyingi na inadaiwa kuwa ni kivuko cha kigamboni ambapo watu wakishuka huwa wanakimbia kwa spidi kama inavyoonekana kwenye video hiyo. JamiiCheck uhalisia ni upi?
  2. JamiiForums Tanzania Udhamini wa GSM kwenye ligi kuu sasa kuchunguzwa na FIFA

    Inaelezwa kuwa kuna kiongozi wa Klabu ambaye anasimamia timu kubwa barani Afrika ataingia matatani hivi karibuni. FIFA imetuma nyaraka kwa Shirikisho la Soka kuhusu tuhuma za upangaji mechi zilizotolewa dhidi yake. FIFA imelitaka Shirikisho hilo kufanya kazi kwa karibu na kutoa ushahidi wote...
  3. JamiiForums Tanzania Ukweli kuhusu video ya huyu mwanamke iliyokuwa ikisambaa mitandaoni

    UKWELI KUHUSU VIDEO YA MWANAMKE ILIYOKUWA IKISAMBAA KWENYE MITANDAO YA KIJAMII. 1. Hii ni video nzima. 2. Video ya awali ilikatwa na wahuni. 3. Si mtoto, ni mtu mzima. 4. TAZAMA VIDEO NZIMA👇
  4. JamiiForums Tanzania Video: Hapa sisi Mashujaa tulichemka sana. Sina cha Kumlaumu Referee

    Huu ulikuwa utoto. Mbinu za kupoteza muda inabidi mwalimu afundishe bila hivyo tutakuwa tunalalamika na kuonekana tu vilaza mbele ya watu wenye Ilimu katika hii Duniya. Huu ni mfano wa match ambayo Azam walikuwa wameamua kupoteza muda katika Dk 7 zikaongezwa mpaka kufika 100 baada ya zile 90...
  5. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere: Kufanya siasa kwenye nyumba za Ibada si sawa kabisa

    Ni hatari sana kuchanganya dini na siasa - Steve Nyerere Msanii wa filamu na Mwenyekiti wa Mama Ongea na Mwanao Steve Nyerere amekemea vikali tabia ya viongozi wa dini ambao wanaacha kuwaombea waumini wao na kujikita na masuala ya siasa. Kupata matukio na taarifa zote kwa kila mkoa kuelekea...
  6. JamiiForums Tanzania GRAPHIC VIDEO- Mpaka mateka wetu waachiwe huru, Kipigo kiko palepale

    Mkuu wa Majeshi ya Israel amewaonya kwa mara nyingine tena magaidi wa Hamas kuwa Majeshi ya Israel yataongeza mbinyo kwa magaidi hao huko Gaza mpaka mateka inayowashikilia waachiwe huru. Hayo yamejiri baada ya shambulio kubwa kuwasaka magaidi waliokuwa wamejificha kwenye nyumba moja huko Beit...
  7. JamiiForums Tanzania Exclusive Video ya 1974: Magoli ya Simba yaliyoipeleka Nusu Fainali ya Klabu Bingwa Africa

    Nimekutana na hii exclusive video ya mechi ya robo fainali kati ya Hearts of Oak vs Simba iliyofanyika mwaka 1974 ambapo Simba ilishinda kwa magoli 2-1 nikaona ni vyema kushea ili wengine wengi wapate kuiona. Baada ya hatua hiyo, Simba ilitinga hatua ya nusu fainali ya mashindano hayo ya...
  8. JamiiForums Tanzania Steve Mangele: Haiwezekani mtu atoke kwao aje kwetu kutetea waasi

    Katika maisha hakuna mtu hatari kama mtu mjinga aliejaaliwa Kujiamini na kukosa aibu. Mfano wa watu wa aina hii ni huyu Steve Nyerere, huyu ni moja ya watu wa hovyo sana nchini, ambapo imekuwa bahati mbaya sana kwa taifa mtu huyu kupata umaarufu na media coverage.
  9. JamiiForums Tanzania VIDEO: IDF wakishambuliwa na Hamas baada ya kuvamia nyumba Gaza.

    Askari wa IDF wakipiga kelele za kuomba msaada baada ya kuona maji yamezidi unga. https://www.youtube.com/watch?v=n2ktmJgcZ78 Hii video inaonyesha uwezo wa IDF kwenye uwanja wa mapambano.
  10. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ushahidi Video: MwanaCHADEMA aliyepigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa. Je, polisi bado mnakana kwamba hamhusiki?

    Katibu mkuu John Mnyika anaonesha video ya mtu mmoja aliyemtaja kwa jina la Noeli Mhema akiwa amelala chini baada ya kupigwa rungu la kichwa na kung'atishwa mbwa ambapo pembeni wanaonekana polisi pembeni na baadaye wakimpakia kwenye gari kumpeleka hospitali. Kwenye taarifa ya jeshi la polisi...
  11. JamiiForums Tanzania LATE: POPE FRANCIS IN HEAVEN AI VIDEO

  12. JamiiForums Tanzania Video: Wale mnaopenda movie za Mafarasi hivi ndivyo mnavyodanganywa

  13. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Meya jiji la Arusha: Siyo kwamba Gambo anaonewa ukweli ni hahudhurii vikao, na akihudhuria anakuwa wa mwisho kuingia na wa kwanza kutoka

    Katika kipindi cha Medani za Siasa kinachofanywa na Edwin Odemba (Chief Odemba) na kurushwa na Star TV, Meya wa jiji la Arusha aliulizwa kuhusu malalamiko kwamba Mbunge Gambo haudhurii vikao na haya yalikuwa Majibu ya Meya. “Siyo kwamba Gambo anaonewa, ukweli ni kwamba Gambo hahudhurii vikao...
  14. JamiiForums Tanzania Video: Tazama mwanafunzi mjapani UDSM akiongea kiswahili

    Mjapani Fumiyo Jin mwenye shauku ya kujifunza Kiswahili ili aweze kukalimani Kijapani-Kiswahili
  15. JamiiForums Tanzania Video: Hali ilivyo Kisutu, Ulinzi umeendelea kuimarishwa

    Ulinzi umeendelea kuimarishwa na Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam kuzunguka makutano yote yanayoingilia Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam ambako kuna kesi inayomkabili Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tundu Lissu. Katika kesi hiyo inayosikilizwa leo...
  16. JamiiForums Tanzania Video :Hindi moja libebe watoto(mahindi)8?Mbegu gani hii?

    Nimeshangazwa sana na kuona hizi video kwanza sio fake ni real zaidi ya yote nikashangaa tena kuona hata hapa bongo yameshafika. Je kiafya imekaaje haya mahindi? Wataalamu karibuni sana kuhusu hili CHASHA FARMING tafadhari nakuomba sana utoe maoni yako kuhusu hizi video.
  17. JamiiForums Tanzania Video: Rapper Tupac alikuwa amepandwa na pepo wakati yupo studio ana rekodi wimbo "Hit Em Up"

    Pepo huyo ndie aliekuwa anaongea kwenye wimbo " Hit Em Up" Kupitia midomo na sauti ya Tupac. Haya si maneno yangu bali nimeyakuta huko TikTok. Mtoa hoja hii anasema yeye ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya Lugha za kiroho. Vile vile ni mtaalamu wa Sayansi na Sanaa ya kusoma Sauti za ndani za...
  18. JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua wengi wao wa hawa wenzetu boda boda hawako stable katika fikra zao tazama hii video aliopost Samatime

  19. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM: Wapinzani wakifa, hatuwezi kulia! Tutawatupa Mtoni, wawe chakula cha mamba

    Tanzania kwisha habari yake. Utu umetoweka, watu wanatama i watu wafe ili wabakie madarakani. Huu wimbo unaoimbwa na CCM hakuna kiongozi yoyote wa chama au Serali aliyekemea. “WAPINZANI WAKIFA SISI HATUWEZI KULIA TUTAWATUPA MTONI WAWE CHAKULA CHA MAMBA”. Kupata matukio na taarifa zote kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Video: G55 Wanaogopa maswali ya waandishi wa habari, wamzuia Chief Odemba kuuliza swali

    Hili kundi la G55 likiongozwa na John Mrema wanakwepakwepa kujibu maswali ya waandishi hawayajibu kama walivyouliza, kituko zaidi kilichodhihirisha kuwa wanaogopa maswali magumu :AAAA: :AAAA: wamemzuia kwa nguvu zote Chief Odemba kuuliza swali ambalo lazima wamejua ni jiwe lingewapiga utosini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…