Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Alienishauri kufungua biashara ya video production ameniingiza chaka

Biashara yoyote mwanzo huwa inakuwa haina profit kubwa .

So kukomaa kwako na consistence ndo muhimu .

Then ikiwa Una Vifaa Vya video production jaribu kuwatafuta Events organizer uongee nao na mkubaliane kila Kazi anayokuletea utamlipa sh ngapi .

Hapo Kazi zitaanza kuingia Ila uvumilivu muhimu .

Ma MC
Events organizer
Kujitangaza IG ,FB ,Ticktock ni muhimu Sana

Be in touch with them
 
Thank you
Duh yani imebidi nianze tu kufanya content. Nimelazimika kuwa content creator
Content creator ni nzuri na Ina hela.. kwa sasa kama utakua mbunifu na kujua watu wanapenda nini sana...sasahivi kila ukiingia kwenye usafiri wa umma asilimia 90 Wana smartphone na wako bize kuangalia vya kuwachekesha vya kuwashangaza vya kuwaburudisha vya kuwapa elimu vya kujua nani fisadi nchi hii n.k..
Ila imekuaje umefeli video prod ? Nafikir Kuna codes tu hujajua niche yako au niche ipi Ina hela na namna ya kutafuta konekshen
 
Kwahiyo wewe ulitaka biashara gani mkuu..
Maana kiufundi hakuna biashara ambayo utaanza na itaanza kukupa faida hapo hapo.

Lakini nikupongeze sababu ushaingia na unajionea mwenyewe na unajiongeza mwenyewe humo humo ndani ya game.
 
Content creator ni nzuri na Ina hela.. kwa sasa kama utakua mbunifu na kujua watu wanapenda nini sana...sasahivi kila ukiingia kwenye usafiri wa umma asilimia 90 Wana smartphone na wako bize kuangalia vya kuwachekesha vya kuwashangaza vya kuwaburudisha vya kuwapa elimu vya kujua nani fisadi nchi hii n.k..
Ila imekuaje umefeli video prod ? Nafikir Kuna codes tu hujajua niche yako au niche ipi Ina hela na namna ya kutafuta konekshen
👊
 
Back
Top Bottom