Waziri Mkuu wa Israel Benyamin Netanyahu maarufu kama Bibi ambaye pia ni komando wa zamani wa Jeshi la Israel IDF ametumia ukurusa wake wa X kupost na kuzima tetesi ambazo zilikua zinasambaa kwa kasi kuwa kauwawa Myahudi amepost kuzima tetesi zote...
Unakuta mwana alikuwa anapiga PCM pale pugu sec, ghafla akiwa prepo anaweuka na kuanza kuruka ruka, wanamrudisha nyumbani, cha kwanza wazazi wanachofanya ni kumpeleka kwa mganga anakaa mwezi mzima ila chalii.
Anarudi nyumbani hali inazidi kuwa mbaya, anapigwa minyororo kama mbwa, mama...
Hizo tuzo za kidunia hizi Tunazozijua zinataratibu zake za jinzi ya kupiga kura, na watu wenye sifa za kupiga kura huwa wanaainishwa kwenye website ya tuzo husika, na ili kupiga kura lazima uwe verified kabisa na upigaji wa kura Huwa unakuwa na ratiba ambayo wanatumiwa wenye sifa tu (voting...
GT
Labda mimi siyo mfuatiliaji.
1. Hivi hawa hawana mambo mengine yakuongea
2. Unaita press kusema kwamba unaunga mkono hotuba?
3. Huu ni uchawa na ukilaza uliopitiliza sijawahi kuona
4. Press huitishwa tu endapo una maoni tofauti na hotuba vinginevyo ni kupotezeana mda
Hivi unajiuliza haya iliyokuwa inayafanya CCM kuanzia kutoa hongo, kununua wapinzani,kuteka watu, kuuwa wapinzani mpaka kuja kuuwa maelfu kwenye maandamano bado kuna mijitu inamtetea huyu Mama?
Nyie Viongozi wa Kiisilamu mnaakili kweli? Au tatizo ndiyo kumaliza darasa la nne na la saba na...
Pro-mfumo mbovu
.Haya mambo hayawezi ishia mpaka yaishe wakulisave Taifa ndo kwanza hana ata wazo bado hajaamka kabisa.
Lazima tukubaliane yaliotokea tra29 na siku zote zilizofuata imetokana na wanachi vichaa kukutana na serikali katili
Ukweli ni kwamba pande zote hizi mbili zilificha makucha...
Hii Dunia tupo watu wenye haiba mbali mbali rahisi na ngumu katika kuishi na wengine na bahati mbaya kuna haiba hazibadiliki wala kurekekebishika hivyo unachotakiwa ikiwa utakutana na mtu mwenye haiba hiyo ni kujifunza kuishi naye au kumpuuza tu
WAKIKUTA UNABISHANA NA KICHAA WATAKUSHANGAA WEWE...
Wakuu, hivi ushawahi kufika sehemu ukamkuta kichaa anampigisha story mwenye akili timamu? Yaan kichaa kavaa smart kabisa kitanashati mwingine unakuta kapendeza mavazi ya urembo ila sio mzima ni kichaa kabisa, ushawahi kutana nayo hii sehemu?
Sio kila aliependeza ana akili timamu na sio kila...
Mjadala kamili uko hapa
(6,958) Vichaa huona nini? | JamiiForums Vichaa huona nini?
Kwa ufupi ni kwamba kuna namna fulani macho yao hufunguliwa na kuona sisi tusivyoviona. Ama akili zao hugeuza uelekeo na kutengeneza maombi tofauti akilini mwao
Hivyo ukimpa kichaa/ mwendawazimu vifaa vya...
Katika hali ambayo inashangaza sana na kukasirisha. Ni kitendo cha Khayatollah kumpigia simu Trump kuwa awaambie watu wake Mayahudi kuwa sasa wamerudishiana angalau yaishe.
Trump anasema atajaribu kuongea na Netanyau ola shida Netanyau ni mjeuri sana. Khayatollah anasema wameingia sana hasara...
wanaume wengi wanaonekana watu wabaya sababu ya mental health problems walizozipata kwa dharau za wanawake.
"Hakuna anayejali afya ya akili ya mwanaume hadi itakapogeuka kuwa hasira na ukichaa, ndipo kila mtu huanza kumwona kama mtu mbaya."
Naimani mko poa.
Leo nimeleta huu uzi kuchangamsha jukwa kidogo 🤣🤣
Kuna VICHAA wengine ni real wanashida hiyo lakini nina imani wapo wengine wanaigiza Kwa sababu zao binafsi.
Hapa mtaani kwetu yupo jamaa Kwa umri ni kama ana umri 25-30 yrs.
Huyu jamaa ana tabia moja mbaya sana.
Anatembea...
Polisi kiuhalisia kazi ya kubwa ni "ku - mantain law and legal orders" ambayo imewekwa ktk lugha rahisi ya "kulinda usalama wa raia na mali zao..."
Katika ku - maintain law and orders, moja ya jukumu lao la kwanza kabisa ni kuzuia uhalifu usitokee kwa kudhibiti visababishi....
Ikitokea kuna...
Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane!
Yaani Kuna Vichaa wanywa komoni kutoka pale Bitaraguru na Wanywa Ulanzi kutoka pale Kilolo wanapanua na kukenua Kwa bashasha wakiamini kabisa ya kwamba Arsenal (The Gunners )anakwenda kutolewa na timu ya Wazee Vijana (Real Madrid).
Huwa kila siku...
Ni jambo la kushangaza kuona baadhi ya wasomi(waliobobea katika elimu ya juu) wanaposhindwa kujibu hoja mitandaoni, wanakimbilia kutoa matusi ya kisaikolojia. Hoja hujibiwa kwa hoja.
Mtu akiandika uzi unaowa-challenge wenye shahada za juu, mara nyingi anaambiwa kuwa ana matatizo ya afya ya...
Wanapinga kitu wasicho kijua. Nimefanya utafiti WA Kina kuhusu New World Order . Nimesoma vitabu ishirini kuhusu " New World Order" .
Ninasema hivi dunia hii Ina ihitaji New World Order Kuliko unavyo weza kufikiria.
Mngejua New World Order mngetamani ianze hata kesho.
Mnadanganywa sijui...
Ndugu wa hao vichaa ni walipa kodi na wao pia kabla ya kuwa vichaa walikuwa walipa kodi hivyo serikali inapaswa kuchukua jukumu hili la kuwahudumia katika mazingira wezeshi
Baadhi ya ndugu wanahangaika na kuwapeleka walemavu wao hospital lakini wengine wanashindwa kulingana na ugumu wa maisha...
"Leo (Jumatatu, Septemba 30.2024) Bawacha tumewaita (wanahabari) hapa (makao makuu ya zamani ya CHADEMA) kufanya tukio la kuonyesha hasira zetu dhidi ya Rais (Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania), mwaka jana tarehe 3/8/2023 BAWACHA tulimualika kwenye kongamano la...
Nchi yao imevamiwa na wahamiaji haramu. Wauaji, wabakaji, maharamia na wagonjwa wa akili kutoka kwenye majela ya vichaa. Ameahidi anaenda kukata mzizi wa fitina wa tatizo hili akichaguliwa.
Na kwenye uchumi, viwanda na biashara ya kimataifa ameahidi anaenda kumaliza exploitation ya mataifa...
Mashabiki maarufu wa mpira Tanzania
10. GB 64
Huyu ni Shabiki maarufu wa Simba sc ambaye amekuwa gumzo sana siku za hivi karibuni hususan baada ya kupata mizengwe kutokana na kauli zake dhidi ya uongozi wa timu yake.
9.Aggy Simba
Huyu mwanadada jasiri na shabiki lialia wa Simba sc ambaye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.