vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Dunia kushuhudia vita vibaya vitakavyoangusha mataifa jeuri. Iran amejirayarisha na haitanii.

    Benjamini Netanyahu amejisifu kuwa ramani mpya ya mashariki ya kati inaenda vizuri.Katika kujisifu huko ametaja jinsi ambavyo Hamas na Hizbullah zimedhoofika. Makamanda wake nao hasa waziri wa Ulinzi wamekuwa wakitoa kauli za kujiamini kiasi kama hicho zinazoenda sambamba na kuvunja maeneo...
  2. JamiiForums Tanzania Mkuu wa mkoa wa Tabora unatumia madaraka yako vibaya kuhujumu Yanga

    Tunaheshimu mamlaka za uteuzi wa mkuu wa mkoa Tabora Tunatambua upo Tabora kumuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Leo umeongea kauli za ovyo na uropokaji ambao ni kutweza na kudhalilisha club ya Yanga Mkuu wa mkoa anatoa shutuma za uongo kuwa club ya Yanga imehonga wachezaji...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mnaodharau single mothers wakati mama yenu ni Single mother mnaemsifu ni shujaa wenu, mna uzima kichwani ?

    Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu. Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai. Hii tunaiitaje ? Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki...
  4. JamiiForums Tanzania Kwa style ya Uongozi wa Lissu, Heche na Mnyika, Mapandikizi CHADEMA wataaibika na kufeli vibaya sana

    Amani iwe nanyi Wanabodi, Kwa miaka mingi sana tangu kuanzishwa mfumo wa vyama vingi, moja ya mbinu ambayo imekuwa ikitumiwa na CHAMA CHA MAPINDUZI ili kuendelea kubaki mabarakani ni kununua Viongozi wa vyama vya Upinzani na kuwatumia kama Mapandikizi yao. Viongozi hawa wa vyama hivi vya...
  5. JamiiForums Tanzania Mbeya City FC wako on fire vibaya mno

    Ona mtiti huo viwanjani, nani kama Mbeya City FC?
  6. JamiiForums Tanzania Nchi masikini, ina wabunge wa viti maalumu 100+ Afrika tumelaaniwa vibaya! Nini kinazuia katiba isirekebishwe?

  7. JamiiForums Tanzania Kuna majina duniani ni kama yamepigwa marufuku sababu yametumika vibaya

    kuna majina ambayo yamepigwa marufuku katika baadhi ya nchi kwa sababu mbalimbali, ikiwa ni pamoja na matumizi mabaya, historia mbaya, au maana zisizofaa. 1. Hitler – Jina hili limepigwa marufuku katika nchi kama Ujerumani na Austria kutokana na historia yake na Adolf Hitler. 2...
  8. JamiiForums Tanzania Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko

    Magaidi wa ki-Houthi huko Yemen wanapata kipigo cha Mbwa-Koko baada ya wao kugundua ugomvi usiowahusu huko Gaza!! https://x.com/therealjew613/status/1902544051313782789?s=61
  9. T

    JamiiForums Tanzania Shilingi ya Tanzania yatajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi Duniani dhidi ya Dola ya Marekani kwa mwaka 2025

    Shilingi ya Tanzania ama TZS kwa kifupicho chake rasmi imetajwa kama fedha iliyofanya vibaya zaidi kwa mwaka huu wa 2025 hadi sasa kuliko fedha yoyote Duniani. Shilingi ya Tanzania imeshuka thamani kwa zaidi ya 8.9% dhidi ya Dola ya kimarekani toka mwaka huu uanze. Hii ni rekodi ya Dunia kwani...
  10. JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli investigation zile za kweli serikali yetu imekuwa ikizipinga sana na ikitokea serikali ushindwa vibaya sana.

    Inapotokea kuna tatatizo ndani ya nchi liwe kesi,biashara na mengine serikali ya kwetu ndio inaonekana kama imefungwa gori nyingi sana kama wanavyo ipenda yanga na simba kila gori milioni 5. Kuna kesi ambazo kama tutaka mataifa yaje kuchunguza ni aibu sana ila kwavile wamevaa pajama zetu...
  11. JamiiForums Tanzania Kuhusu kujisikia vibaya, mwili kukosa nguvu

    Kaka zangu ndugu zangu nimerudi tena,nimeenda hosptal nimepima wingi wa damu upo normal,nimepima pressure ipo normal, nimepima sukari ipo normal, mkojo pia upo safi, malaria hakuna nimepima hadi ukimwi hakuna ila bado mwili wangu haujakaa sawa manake najiskia vibaya sipati tena kizunguzungu ila...
  12. JamiiForums Tanzania Sir L. Hamilton kahamia Ferrari, msimu ameuanza vibaya kwa kupata point 1 tu kwenye Australian GP!

    Sio kwa Ubaya. Braza ameondoka Mercedes kaenda Ferrari, mikwara mingi sana ila sijui hajaizoea F1-75. Yote 9, msimu wa 2025/26 ndio tumeuanza hivyo Australia leo na matokeo ndio kama haya. Tukutane China tar 23.
  13. JamiiForums Tanzania Nelly Kamwelu yupo muhimbili anadai kapigwa vibaya sana

    Duuuh hii domestic violence kwa mrembo Nelly ni balaa, mwenye taarifa kamili atupe tafadhali Nifah cocastic
  14. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Simba Hongereni sana kwa kucheza hili vizuri, Ila Bodi mmejaa Vibaya sana

    Yani saiv ukiwasikiliza Wana simba husikii Tena Ile Kauli ya Simba wamevunjiwa kanuni Kwa kuzuiliwa kufanya mazoezi ndio Maana hawajacheza. Simba saiv wanasema Match iliahirishwa na Bodi ya Ligi 😂😂 Yani Simba wamewakana kabisa Bodi na TFF na Kwa hapa Simba nawapa kongole mmesukuma kete zenu...
  15. JamiiForums Tanzania Msemaji wa Yanga SC Ali Kamwe hapa kwa Kumjengea Nyumba Mama yako ili aishi na siyo Waishi sote na Baba yako umechemka vibaya mno

    Kuna Kasisi Mmoja nilimsikia (pamoja na Sheikh fulani) wakisema kuwa Watoto wengi tunapoteza Baraka zetu kwa Kukosana na Baba zetu kwa Kuwadharau na Kutowajali tukidhani (kwa Kudanganywa) kuwa Mama zetu ndiyo hasa wenye Baraka nasi kwakuwa tu wametubeba Matumboni mwao kwa Miezi Kenda (Tisa) na...
  16. JamiiForums Tanzania Usiruhusu Kusemwa Kwako Vibaya Kukakuzuia Kufanya Mambo Ya Msingi

    Zab 69:12 SUV [12] Waketio langoni hunisema, Na nyimbo za walevi hunidhihaki. Kusemwa kupo, tena kama ulikuwa hujui ujue Leo, na nikuambie kwamba utasemwa sana, utasemwa na marafiki zako, utasemwa na wapendwa wenzako, utasemwa na walevi, utasemwa na majirani, utasemwa na operesheni wenzako, na...
  17. JamiiForums Tanzania Afghanistan ni nchi moja safi sana kibinadamu kama mgeni japo vyombo vya habari kutangaza vibaya

    Hawa jamaa sio kama vyombo vya habari vinavyo chukua mda wa stive mangere,mwijaku,dotto magari,baba levo na wapuuzi ambao wamejazana kila kona kueleza raisi wa nchi bila kufumbua watu nchi ambazo ni fursa. Katika kitu ambacho unatakiwa kuelewa walipotokea na ukarimu wa afghanistan ni kwamba...
  18. JamiiForums Tanzania Nimesikia / Nimemsikia vibaya peke yangu au?

    Dakika chache zilizopita Rais Samia ametoka kumtaja Rais Mstaafu Kikwete kuwa Rais badala ya kumtaja kama Rais Mstaafu katika Utambulisho wake kabla ya kuanza kutoa Hotuba yake. Kama kawaida najua kuna wale Watetezi hovyo watakuja Kubisha hivyo naomba warejee matangazo ya TBC1 ili waweze...
  19. JamiiForums Tanzania Je, kutafutiwa mke wa kuoa ni vibaya?

    Ndugu zangu najuabsi jambo geni ila kwa dunia ya sasa hivi watu watakuchukuliaje ikiwa unataka kuoa ila wa kumuoa humuoni ukaomba msaada kwa ndugu wakutafutie, je kuna ubaya? Upi mtuzamo wako kwa kijana wa namna hii?
  20. JamiiForums Tanzania Paul Kagame ndiye Rais mwenye Intelejensia Kali kwa ukanda huu wa Afrika Mashariki

    Paul Kagame au unaweza kumuita Paulo Kagame, huyu ni kijana wa Nyerere aliyepikwa kijeshi na kuiva vyema hapa nchini Tanzania, aisee mwamba anajiamini sana unajua kwa nini!! Twende kazi!! Ni rais pekee kutoka eneo la Afrika mashariki ambaye kijasusi tunamuita HIGH PROFILE MISSION ana uwezo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…