vibaya

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama ikitokea ghafla mwanadamu akapoteza uwezo wa kudanganya. Ni sekta ipi itaathirika vibaya mno?

  2. JamiiForums Tanzania Jubilee Insurance hapa mmfeli vibaya sana

    Kwenye pitapita zangu nimekutana na tangazo hili kutoka kampuni ya Bima ya Jubilee Insurance ikitangazia umma kuhusu Bi Neema Vegula kuwa sio sehemu ya familia ya Jubilee Insurance. Ukilisoma tangazo hili limekaa kimtego sana na kwa upande mwingine sidhani kama linafuata miongozo na sera za...
  3. JamiiForums Tanzania Dkt. Thea Ntara: Wasanii wanaovaa vibaya na Wanawake wanaocheza vigodoro wakiwa wamelowesha nguo wakamatwe

    Mbunge wa Viti Maalum Dkt. Thea Ntara ametaka Serikali kuwachukulia hatua wasanii wanaovaa bila kuzingatia maadili akisema kuwa msanii sio kuvaa nguo za ajabu au kuimba nyimbo za matusi Ametoa kauli hiyo akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya bajeti Wizara ya Maendeleo ya jamii, Jinsia...
  4. JamiiForums Tanzania Ngoma agombana na Pin Pin Camara wakati wa mapumziko

    Ngoma ameoneka akimpiga Kwa kumshutukiza Goal keeper Camara Ngoma ameleta masifa, kumfokea mchezaji mwenzake mbele ya mashabiki wakati hayo mambo wangeyaongea chumbani muda wa mapumziko Ngoma sio coach wa captain wa timu, kwanini ajipe mamlaka ya kukoromea wenzake Taarifa nilizozipata ni kuwa...
  5. JamiiForums Tanzania Kama kuna kijana yoyote mdogo anae hitaji kumbusho lolote la kumuhasisha na kumuongoza sio vibaya akasoma hii

    ♥️Maji hufata mkondo vile vile Mrembo hufata unafuu, kwa hio usi-invest hisia zako katika pendo la ukweli, utaambulia kuchukia kila mtu na nafsi yako pia. 🕓Muda ni wa thamani kuliko pesa. Unaweza kutumia muda kupata pesa, lakini huwezi kutumia pesa kununua muda uliopita. Muda ni rasilimali...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Maisha wanayoishi wakazi wa Masaki, Mikocheni, Msasani ni Duni sana. Nimejisikia vibaya

    Nimepita haya maeneo mara chache nikiwa naangalia maisha ya wakazi wa haya maeneo. Inasikitisha sana. Ni maisha ya watu duni ambao wamekata tamaa kabisa ya maisha. Huwa nawaza sana kwa nini Serikali isibomoe hizi nyumba ambazo asilimia zaidi ya 80 ni za watu wa maisha ya hali ya chini kisha...
  7. M

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM ilijikanyaga vibaya kukubali agenda ya dharula kupitisha jina la Rais Samia kuwa mgombea Urais

    Kwanza hakubaliki na kukiwa na tume huru isiyoegemea kwake, atapigwa asubuhi na mapema na wapinzani wake, hana meno kwa mafisadi na wafuja kodi za watanzania na anayoyafanya anayajua mwenyewe na yanamfurahisha yeye pekee, hawezi kudhibiti watekaji wala kukemea uharifu huo Ni mbinu gani ambayo...
  8. JamiiForums Tanzania Za ndani ni kuwa G-55 wamevurugana vibaya. Wameanza kusalitiana na kutishana

    Unaambiwa G-55 wamevurugana vibaya baada ya watu wao waliokuwa na majina na umuhimu mkubwa kwao kuwakana. Waliohama sasa wataanza kusambaratikia vyama vingine kila mmoja na lake. Jana kulitokea purukushani iliyopelekea Mchome kupost risiti ya benki kwenye mtandao wa X ikionyesha Bony yai...
  9. JamiiForums Tanzania Nimesikia kuna mbunge eti ameambiwa haamasishe haki na demokrasia yeye amewahusisha JWTZ kuingilia kati kuwatishia Ulaya au nimesikia vibaya ?

    Hivi kuna mbunge huko amewahusisha JWTZ kwenye azimio lililotolewa na watu wa ulaya kuhamasisha mabadiliko ya haki nchini hebu naomba JamiiCheck mnisadie kupata majibu. Yani mtu amekushauri wewe jambo zuri na jema halafu wewe unaanza sijui JWTZ hivi unakuwa na akili timamu kweli ? Nimesikia...
  10. JamiiForums Tanzania India yasema iko tayari kwa mazungumzo lakini upole wake usije tafsiriwa vibaya

    Huku ukweli wa kudondoshwa ndege kadhaa za kivita za India ukithibiti mnamo siku ya mwanzo ya vita, na droni zake 25 kuangushwa kabla kufikia maeneo lengwa nchi kadhaa zimejitokeza kutaka kuzisuluhisha vita hivi. Waziri wa mambo ya nje wa Iran yuko India kwa kazi hiyo na Uiengereza nayo pia...
  11. JamiiForums Tanzania Kumbukizi namna polisi walivyo wapiga vibaya watu wa CUF

    Hii ilikuwa mbaya sana
  12. JamiiForums Tanzania Kuna koo/familia kila kitu kinaenda vibaya, nyingine kila wanachogusa kinatick... Kwa nini?

    UKOO WAKO UNA LAANA AU UNA KIBALI?" Je, umewahi kujiuliza: Mbona baadhi ya familia wote wanapitia umasikini kizazi kwa kizazi? Watu wana elimu nzuri lakini hakuna maendeleo? Wengine hawajasoma, lakini kila biashara yao ina faida? Kuna familia watu wanakufa kabla hawajafanikisha chochote...
  13. JamiiForums Tanzania Kuanguka Kwako Vibaya Kunaweza Kusikuaibishe Milele Ikiwa Utamkimbilia Mungu

    Zab 145:14 SUV [14] BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini. Moja ya sifa nzuri aliyonayo Mungu ni huruma aliyonayo kwa watu wake, wale watu wanaofika wakati wanavunjika moyo kutokana na mambo mbalimbali wanayokutakana nayo katika maisha yao, Yeye huwainua tena. Mtu...
  14. JamiiForums Tanzania Waarabu na Wakoloni,WazunguWametufanya Vibaya Sana!,Sio Tuu Walitu Colonise Nchi Yetu,Bali Wametu Indoctrinate Mental Slavery,Sisi ni Watumwa Wao!

    Wanabodi, Kiukweli Waarabu na wakoloni,wazungu, wametufanya vibaya sana!,sio tuu walitu colonise nchi yetu,kuifanya ni nchi yao,bali pia wametufanya watumwa wao mpaka leo, mpaka kesho kwa kutu indoctrinate utumwa wa ki fikra, mental slavery,sasa sisi ni watumwa wao!utumwa huu unaendelea...
  15. JamiiForums Tanzania Sio vibaya uka-Share stori yoyote kuhusu miaka ile ulipokuwa shule.

    Tukiwa bado tunanukia kinyumbani nyumbani vijana wa form 1, tumetimiza wiki moja au 2 mbili hivi, ilikuwa imefika mida ya kwenda kuchukua msosi wa jioni. Sasa si unajua vyombo tunatunza kwenye matranka so inakubidi urudi bwenini ukachukue. Ile ndio form 1 tumeingia bwenini kuchukua vyombo...
  16. JamiiForums Tanzania Utasikia "Hybrid zinatumia mafuta vizuri mjini, ila ukienda highway zinatumia vibaya sana!"

    Usilahumu gari, mlalamikie dereva. Na ilikua 36 km/L sema kuna sehemu barabara ikawa inatengenezwa tukawa mwendo wa kobe ndio ikashuka hadi 32 km/L.
  17. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Aibu kubwa kwa CCM. Propaganda yao ya Udini waliyotegemea kutackle Waraka wa TEC yafeli vibaya sana

    Kwa ufupi ni kwamba CCM sasaivi imeishiwa mbinu za kuendelea kuwarubudi Watanzania na kuendelea kuwafanya Mazuzu. Siku zinavyozidi kwenda, Watanzania wamezidi kuonyesha kuwa wameshawaelewa CCM kuwa ni wafitinishi, walaghai, waongo na Wasiolitakia mema hili Taifa zaidi ya kulinda matumbo yao...
  18. JamiiForums Tanzania Usimseme mkeo au mumeo vibaya kwa watu.

    Ndoa nyingi zinaharibika kwasababu mke au mume kumsema mwenzie kwa watu hovyohovyo.Ni vizuri kuongea nyie wawili panapotokea kutokuelewana.Ugumu unatoka wapi,mbona mnavuliana nguo na kushiriki tendo la ndoa?Acheni hii tabia
  19. JamiiForums Tanzania Nimeponea chupuchupu kufanywa vibaya

    Aise! Wajuvi Baada ya kukaa ndani sana nikasema ngoja ninyooshe miguu,Sasa nikakatiza maeneo fulani kuna chochoro ambayo pembeni kuna bweni la wasichana wa shule fulani, Nikiwa sijui hili wala lile nikavutwa shati kwa mkono uliopenya kwenye kiuzio cha bogavilia, Shwaa nikajikuta nimeangukia...
  20. JamiiForums Tanzania Watu wanaweza kudhani mambo yamemuwakia vibaya Lissu bila wao kujua kuwa amepata fursa ya kujua adui yake ili iwe rahisi kucheza naye. SIASA ni mchezo

    Siasa ni MAGAZIJUTO. Simaanishi lissu ni perfect ila nachojua mimi siasa ni sayansi ya ku-survive pale ulipo, ku-maint power yako na kutumia nafasi hio na power yako kufikia viwango vingine vya juu kuzidi ulivyo navyo kwa sasa. Hata hao G55 sio wahanga wa kitu chochote cha ovyo au uongozi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…