uzuri

Imani Uzuri is an American vocalist and composer.Uzuri has collaborated with a cross section of artists across various disciplines including Herbie Hancock, John Legend, Vijay Iyer, Sanford Biggers, Carrie Mae Weems, Wangechi Mutu and Robert Ashley.
In 2012 Uzuri released her critically acclaimed second album, The Gypsy Diaries, which was funded with a successful Kickstarter campaign. Uzuri was a 2015 Park Avenue Armory artist-in-residence. March 2016 will mark Uzuri's Lincoln Center's American Songbook series debut.

View More On Wikipedia.org
  1. Megalodon

    Wengi hawapendi JPM akumbukwe kwa Uzuri: lakini atabaki kuwa chaguo la watanzania wengi

    Kwa TZ, JPM was a prophet of our time , ni kama maji hata ukiyakataa utayanjwa. Kwa uharamia uliotokea 29 baada ya mwendawazimu kupewa rungu, we learned kuwa JPM was a prophet of our time. Alikuwa mtume na alimaanisha mengi kwa watanzania. Haya majambazi ya sasa yaliyoingiza ngono ...
  2. W

    Siku 100 za Rais Samia vingapi ametekeleza?

    Leo, Februari 10, 2026, ni siku ya 100 tangu Rais Samia Suluhu Hassan aapishwe kuanza awamu yake ya pili ya uongozi wake Novemba 03, 2025. Siku 100 ni muda mfupi katika uongozi wa taifa, lakini mara nyingi ndiyo kioo cha kwanza cha mwelekeo wa mamlaka. Kwa Rais Samia, siku hizi hazikupita...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    PostGE2025 Uzuri wa Gen Z hawana ujinga wa Udini

    Tuko salama! Yaani katika vitu ambavyo Gen Z wapi smart zaidi ya sisi kaka zao na baba zao ni ujinga wa Udini wala uchama. Hiyo ni moja ya tofauti kuu tuliyonayo na wao. Gen z wao huwezi mletea hadithi za kizamani au kufikirika atabaki kukudharau tuu. Gen Z hawaamini kwenye kumuachia Mungu...
  4. haszu

    Nilipata kazi sababu ya uzuri

    Pamoja na kua na vigezo, ila muonekano wangu ulifanya mkuu wa panel awe mpole sana na kuonesha kuvutiwa na mimi, nilipata kazi kirahisi sana. Baada ya kuingia kazini, nikawa namkwesikutaka ku date eneo la kazi. Kuna vitu haviwezi ongelewa ila vina athar sana mupnekano ikiwepo, people do judge...
  5. Anthony Kabeho

    GE2025 Rais Samia Kafanya Makubwa na anaelezea kwa uzuri sana Mipango yake Mikubwa na mizuri kwa Tanzania yetu

    Msimu wa kampeni ndio huu umezinduliwa,Jukwaa kwa Mh.Rais Samia Suluhu analimudu vyema kwani kashafanga makubwa na wananchi tumejionea. Kila anachosema kinaendana na tunachokiona katika Mikoa,Wilaya,Kata na Vijiji vyetu yaani kila pahala kaweka alama kwa kujenga na kuboresha miundo mbinu ya...
  6. Chizi Maarifa

    Nchi zenye kupendeza, uzuri na mpangilio wa Ujenzi mzuri zaidi Duniani

    Nchi Zinazojulikana kwa Uzuri na mpangilio mzuri wa Muundo na Mazingira 1. Italy Inajulikana kwa mafanikio ya kipekee ya usanifu kama miundo ya Kirumi, Renaissance, Baroque, na Neoclassical. Mijini kama Rome, Florence, Venice ina majengo ya kihistoria kama Duomo ya Florence, Colosseum, na...
  7. haszu

    Watoto wangu wakikua watanipenda zaidi wakijua wamechukua uzuri wangu

    Kila nikiwaangalia, najiona mimi, ni warembo kwelikweli, kitu ambacho watafurahi sana wakikua na kuniona mimi, wataona nimewarisisha kitu kilicho chema. Napenda sana Uzuri
  8. Mfilisti

    Kuna uzuri wa mwanamke ambao mwanaume maskini hafai kuutamani?

    Kwenye maisha ya sasa, kuna wanaume wanajishusha kutokana na hali zao za kifedha – wakiamini kwamba uzuri fulani wa wanawake hauwahusu, yaani zile pisi kali tuwaachie watu flani wenye kipato. Wengine wanasema: “Uzuri ni wa wale wenye uwezo wa kuutunza.” Swali: Kuna uzuri ambao mwanaume maskini...
  9. Mi mi

    Uzuri wa mwanamke ni Uwembamba wake

    Sifa ya mwanamke mzuri ni wembamba wake. Mwanamke akiwa mwembamba automatic tu anakuwa mzuri. Ki Korean figure fulani hivi
  10. T

    Uzuri wa kibamia hakifiki IKIMWI ulipo

    Kama we ni mwanaume mwenye kibamia na unajiona mnyonge kutokana na maumbile yako basi ondoa shaka Tafiti zinaonyesha wanaume wenye uume mdogo(kibamia) ni vigumu sana kupata magonjwa ya zinaa ikiwemo UKIMWI pindi wanapofanya ngono na mwanamke kwasababu ni vigumu kupata michubuko wakati wa tendo...
  11. Dogoli kinyamkela

    Hivi unajua tofauti kati ya uzuri na utamu. Hivi ni vitu viwili tofauti japo unaweza uvipate sehemu moja

    Hivi unajua tofauti kati ya uzuri na utamu...😊 Hivi ni vitu viwili tofauti japo unaweza uvipate sehemu moja, na wakati mwingine unaweza kupata kimoja kingine kikakosekana. Nijuacho mimi ni kwamba, Utamu ni intimacy, is how you feel. Na Uzuri ni Muonekano wako wa nje.... Pa kubonyeza...
  12. A

    Huwezi kuona uzuri wa Tanzania ukiwa Tanzania

    Waafrika tunakasumba ya kuwaona wazungu wanaoishi Ulaya kama watu wenye maisha mazuri kuliko Waafrika wanaoishi Afrika. Tumeitukuza Ulaya na Wazungu wanaoishi huko kuliko waafrika wanaoishi Afrika. Wazungu wamejitahidi kujipamba na kujipambanua kwa Waafrika kuwa Ulaya ni kuzuri na kuna maisha...
  13. Fbn

    Uzuri wa kuunda genge ili liwe kinga ya madaraka yako kuna siku linakugeuka wewe mfano Sudani

    Napenda kutoa mfano mchache tu wengine mtaweka hapa. Watawala wakishafika kujenga genge la kuwasimamia kila kona kuna siku watapenda nao nafasi uliyopo washike wao endapo mkipishana. Swala la sudani lilikuwa funzo tosha ila ndio basi tena. Hata kule congo laurent kabila nalo lilikuwa hivi...
  14. Moto wa volcano

    Uzuri wa mwanamke / pesa za mwanaume sio kila kitu kwenye maisha ya ndoa

    Wanaume wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya uzuri wa mwanamke na wanawake wengi wapo kwenye ndoa isiyo sahihi kwasababu ya pesa za huyo mwanaume. Ndani ya ndoa mtu ndio anakuja kutambua kumbe kwenye ndoa kuna vitu muhimu zaidi ya uzuri wa mwanamke na mwanamke pia anatambua kumbe...
  15. GoldDhahabu

    Kwa nini LAND CRUISER 300 ZX nyeusi?

    Natamani kufahamu utofauti wa LC 300 ZX nyeusi dhidi ya LC 300 ZX nyeupe. Nimekuta mahali LAND CRUISER 300 ZX nyeusi inapigiwa "debe" kama kwamba ni "bora" kuliko rangi zingine kama nyeupe. Nimeona pia viongozi wengi wanaotumia LC 300, magari yao ni rangi nyeusi. Naomba kufahamishwa...
  16. P

    Mara ya kwanza kuja mjini (Dar) jiji lilikukaribisha kwa style gani ukikumbuka kwa jinsi ulivyokuwa mshamba unakufa mbavu?

    Salaam Wakuu, natumai kaubaridi mwororo kawapapasa vyema huko mliko, twende kwenye mada. Sehemu yoyote mjini inachukuliwa kama sehemu ya kutolea ushamba, kutokana na kupiga hatua kwenye mambo mengi na muingiliano mkubwa na watu kutoka sehemu mbalimbali ulimwenguni. Naona ndio hata mababu zetu...
  17. haszu

    Watu wanasema nimemzidi dada angu kwa uzuri

    Yani dada kafanana sana na baba af mi nimeenda kwa baba. Bas watu wanasema nimemzidi dada kwa uzuri. Ila pia dada ni mrembo sana, so beautiful. Mama alikua hapendi watu wakisema hivyo. Mwanzo alikua na hofu ila sasa wasiwasi umeisha.
  18. balibabambonahi

    Siku hizi kila mwanamke ana uzuri wake. Hakuna anayekosa bwana

    Kuna mwenye sura nzuri, kuna mwenye nywele nzuri,kuna mwenye wezele,kuna mwenye hips kubwa,kuna kibonge anatikisa minyama, kuna anayerusha chura,kuna mwenye minding, kuna portable, kuna kafupi nyundo, kuna mwenye Saudi tamu nk. Maana ya mwanamke mzuri leo imekuwa mtambuka.
  19. Mr Why

    Watanzania huwa hawanunui gari inayotumia mafuta mengi hata kama ina ubora wa hali ya juu

    Watanzania huwa hawanunuzi gari inayokula mafuta mengi hata kama ina ubora wa kiwango cha juu Watanzania wanapotazama gari huwa hawazingatii sana ubora au brand wanachozingatia ni ulaji wa mafuta tu Hata uuze gari yako sh laki tano kama inatumia kiasi kikubwa cha mafuta hakuna mteja...
  20. Carlos The Jackal

    Uzuri wa LISSU hatungi, Hotuba zake zote Hurejelea yalosemwa huko nyuma, Suala la Katiba, Tume huru ya uchaguzi lilisemwa na tume ya Jaji Nyalali !

    Yakasemwa na tume ya Jaji Kisanga, yakarudiwa na tume ya Jaji Bomani yakaja kurudiwa zaidi na tume Jaji Warioba.( Hizo ni tume zilizoundwa na wasomi huru sio machawa). Ukweli ni kwamba , wajinga wengi , wasopenda kusoma Wala kufatilia, ambao hata hawajui chochote kuhusu hizi time zote...
Back
Top Bottom