uzio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    DOKEZO Hai: Mwekezaji kijiji cha Mbosho, Kata ya Masama Kati amepanda uzio wa miba uliosogea barabarani na kupelekea njia kuwa nyembamba

    TATIZO LA BARABARA (KWARE - MBOSHO - LEMIRA - MASAMA MULA) Barabara hii ni mbovu kupitiliza na imekuwa kero kubwa. Mbaya zaidi, mwekezaji wa hapa Mbosho amepanda uzio wa miiba uliotanuka hadi barabarani. Barabara imekuwa nyembamba kiasi kwamba hata magari mawili au bajaji hayawezi kupishana...
  2. W

    KERO Shule ya Sekondari Kisungu-Dar, Wanafunzi wanapewa adhabu ya kuleta tofali za kujenga uzio

    Nina rafiki yangu ambaye mtoto wake anasoma Shule ya Sekondari Kisungu iliyopo Kinyerezi Dar es salaam. Alikuja kwangu kuniuliza iwapo kwenye saiti yangu nimebakiza walau tofali 20. Nilimuuliza tofali hizo anazihitaji kwa ajili ya nini, ndipo akaniambia kuwa mtoto wake alichelewa kufika shuleni...
  3. The Burning Spear

    Tafasiri ya tunajengga uzio tunaweka mamba pembenii

    GT Inachanganya kwa kweli
  4. Blasio Kachuchu

    CRDB Yachangia Madawati 111 na Ujenzi wa Uzio Shule ya Sekondari Prof. Adolf Mkenda, Rombo

    Mkuu wa Wilaya Rombo, Raymond Mwangwala (watatu kulia) akipokea mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10 kutoka kwa Mjumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya CRDB Bank Foundation, Coletha Ndunguru (wapili kushoto) kwa ajili ya kuchangia ununuzi wa vifaa vya ujenzi wa uzio wa Shule ya Sekondari...
  5. Mshana Jr

    Uzio wa miti

    Haupo kwa ajili ya ulinzi.. La hasha.. Bali upo kwa ajili ya kuonesha mipaka, kikomo cha uhuru, umiliki haki miliki na utawala... Je kwenye maisha yako una uzio? Ama ni free to air kama choo cha jiji?
  6. MK254

    Israel kufunga anga ya Yemeni, kutia uzio angani, hamna chochote kitapaa au kutua

    Hii wamesema baada ya wao kupiga ndege iliyokua imesalia uwanjani, uwezo wa kufunga anga wanayo, nia wanayo na sababu za kufunga wanazo..... Hawa wana wa Yakubu walibarikiwa sana, ukizingatia makobaz bilioni mbili duniani yamekua yakiomba Israel wafutwe kwenye ramani ila itakua wanayemuabudu...
  7. Mangi wa Rombo

    Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Pisi 225 Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo...
  8. Mangi wa Rombo

    Natafuta Nguzo za miti (Wooden Poles) kwa ajili ya kuzungushia uzio

    Tafadhali husika na kicha cha habari hapo juu! Natafuta nguzo za miti (Wooden Poles) Kwa ajili ya kuzungushia uzio shambani (Nimeambatanisha picha hapo chini). Natafuta zile ambazo zina dawa kabisa manake shamba lina mchwa kweliii! Ningependelea kama kuna msambazaji ambaye yupo Morogoro au...
  9. haszu

    Ukijifungia kwenye uzio wa " Vitu vya kike" " Mambo ya kike" Utakosa raha duniani.

    Mimi nanunua ubuyu nakula, Nanunua chips yai nakula Ice cream nakula kwa kunyonya bila shida. Haviondoi uanaume. Mambo ya sijui ndizi ule kwa kukatakata mana ukila kiurefu ni mambo yakike, nawaachia wale wasio jijua km ni jinsia gani. Watu wasiojiamini na uanaume wao ndio wana jishtukia
  10. upupu255

    Wazazi na Walezi Mtwara wajitolea kuchimba Msingi kwa Ujenzi wa uzio Shule ya Sekondari Chuno

    Wazazi na walezi katika Manispaa ya Mtwara Mikindani Mkoani Mtwara wamehamasika kujitolea kuchimba msingi katika ujenzi wa uzio shule ya sekondari chuno ili kudhibiti wanafunzi kuingia na kutoka shuleni kiholela. Kukamilika kwa uzio katika shule hiyo ya Sekondari Chuno kutasaidia wanafunzi...
  11. Deinstein 01

    Fahamu kuhusu sperm allergy (mzio wa mbegu za kiume)

    Habari wanajamvi! Hakika dunia imejaa mambo mengi tusiyoyafahamu. Leo katika pitapita zangu nimegundua ya kuwa kuna baadhi ya wanawake wana mzio wa mbegu za kiume,hili jambo limenishangaza sana. Kwakuwa hili tatizo sijawahi kuona likijadiliwa hapa JF nikaona sio mbaya kushare nanyi...
  12. M

    Serikali iweke uzio katika Shule ya Msingi Minga (Singida), kuna Watu wanawafanyia ukatili Watoto

    Suala la Watoto wadogo kukumbana na changamoto mbalimbali za kikatili kwenye taasisi za elimu limekuwa ni jambo ambalo linajitokeza mara kwa mara sehemu tofauti. Wadau wa sekta tofauti nao wamekuwa wakipiga kelele juu ta matukio ya aina hiyo kwa kuwa yamechangia pia kuharibu ndoto za Watoto na...
  13. ELI COHEN

    Unaweza kudhani huu ni uzio Trump alijenga border na Mexico ila upo katika Border ya Misri na Gaza. Wamisri hawataki ukorofi wa watu wa Palestine

    Wanajua show wakimbizi wa gaza waliofanya lebanon na Jordan. Wanajua jinsi wakimbizi wa gaza waishio marekani wanavyoondana na kuvunja amani huko. Wanajua #freepalestine ni utapeli
  14. aise

    Karibu nikujengee uzio wa nyumba yako au eneo lako kwa bei sawa na bure

    Habari zenu wakuu, kama unahitaji kuwekea eneo lako uzio (fensi) Basi karibu nikufanyie kazi yako kwa bei sawa na bure. 0624254690
  15. Witch hunter

    Ifike wakati shule zote za Secondary ziwekewe uzio

    Hivi kwanza ni kwanini shule nyingi tena za serikali hazina uzio? Nyingine za wasichana na wanaishi hosteli, hivi kweli tangu uhuru mpaka sasa tumeshindwa tu kuweka uzio kwenye mashule yetu? Shule nyingine ziko katikati ya miji lakina hazina uzio. Kuna shule moja hapa Arusha wananchi...
  16. nzalendo

    Kwa nini makaburini wamejenga uzio

    Kwa mtazamo wa fasta.....sababu hakuna anayeweza kutoraka.......hakuna aliyeletwa humo akiwa hai...
  17. GENTAMYCINE

    DOKEZO Mwamposa ni nani Tanzania hii hadi anaruhusiwa Kubomoa Uzio uliojengwa kwa Ajili ya Matamasha yake Tanganyika Packers Kawe?

    Tena akiwa na Matamasha yake Makubwa ( hasa ya Mkesha ) huwa anawaambia Watu wa NHC Wanaoendelea na Ujenzi wa Nyumba za Samia Housing Scheme kuwa anaomba abomoe Kuta na akimaliza anawaambia atajengea. Haya Mamlaka Mwamposa anayatoa wapi? Na kwanini au kwa Faida ipi? Je, Wengine nao wakiamua...
  18. B

    Ujenzi wa uzio wa matofali

    Habari naomba kuuliza makadirio ya ujenzi wa uzio wa kawaida tu wa matofali kwenye eneo lenye urefu mita 120 na upana mita 80 inaweza kutumia matofali mangapi? Nataka nianze kukusanya tofali mdogomdogo
  19. Mamy7

    Ujenzi wa uzio wa waya (senyenge)

    Habari wanajukwaa, Naomba mwenye uzoefu wa kujua eneo la sq metre 400 (20×20) linahitaji nguzo ngapi na waya kiasi gani kwa kujenga fence (uzio)? Asanteni
  20. Pfizer

    Songwe: Ujenzi wa runway, Uzio na Taa za kuongozea ndege, vyakamilika Uwanja wa Songwe

    1. UJENZI WA RUNWAY YA SONGWE AIRPORT UMEKAMILIKA. Mradi wa Ujenzi wa sehemu ya kuruka na kutua Ndege "Runways" ambapo kulifanyika ujenzi wa tabaka la juu la lami KM 3.3 imekamilika kwa 100% 2. UJENZI WA UZIO WA KIWANJA CHA NDEGE CHA SONGWE NA TAA ZA KUONGOZEA NDEGE UMEKAMILIKA , JIJINI MBEYA...
Back
Top Bottom