uzio

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BARD AI

    RC Makalla aagiza shule inayopakana na Makaburi ijengewe uzio ili kuwapa amani Wanafunzi

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla, amemtaka Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kinondoni, Hanifa Suleiman kujenga ukuta kuzunguka Shule ya Msingi Boko Mtambani ili kuleta amani na usalama shuleni hapo. Shule hiyo imejengwa karibu na eneo la makaburi yanayodaiwa kuwa na matukio ya mauzauza...
  2. maroon7

    Nguzo ya Tanesco inaweza kuwa ndani ya uzio?

    Nimekuta nguzo ya Tanesco imewekwa ila iko ndani ya eneo na ninataka kuweza uzio wa ukuta. Kwa wenye uelewa nipeni ushauri,hii nguzo naweza jenga ukuta ikawa ndani ya uzio wangu?
  3. JanguKamaJangu

    Uzio wa nyumba usiathiri ukuaji wa mtoto

    Wanaharakati wa haki za watoto kisiwani Pemba, wamewataka wazazi na walezi, wanaomiliki nyumba zilizozungushwa kuta ‘fens’ kuwapa muda watoto wao kuchangamana na wenzao, ili kucheza pamoja, ikiwa ni sehemu moja wapo ya kukuza ubongo wao. Wamesema, njia moja na rahisi ambayo haihitaji gharama...
  4. Josephaty Jumapili

    SoC02 Mtazamo, uzio wa mafanikio

    "Atazamavyo mtu nafsini mwake, ndivyo alivyo"! Usemi huu hauchukuliwi katika upana wake japo uhalisia wa maisha ya mtu huanzia katika fikra zake. Watu wengi wameshindwa kufikia viwango flani vya kiuchumi wakiamini wao sio watu wa kaliba hiyo nakuamini waliofika hatua hizo ni watu baadhi tu...
  5. Boss la DP World

    Sioni haja ya kujenga uzio

    Habari wakuu, kwa mara ya kwanza nilijenga nyumba 2 in 1 mkoa wa Morogoro, kwakuwa lengo ilikuwa kuzipangisha maana sikuwa nimetulia kimaisha nilizizungushia uzio wa matofali na kuziwekea mageti ili kila mpangaji atoke na kuingia kwa geti lake. Baada ya mwaka na nusu nilihamishwa mkoa mwingine...
  6. Google Diggers

    Ushauri: Mtendaji Kata na Mratibu Elimu Kata ya Kifuru(DSM). Kuhusu uzio Shule ya Msingi Kifuru, wafichieni aibu hawa Watoto na walimu wao

    Ni ushauri tu. Na Kawaida unaweza ukauchukua na au ukauacha. Nilipita kuelekea Mbezi nikitokea tabata. Baada ya eneo la Kinyerezi jijini DSM, utakutana na Shule ya Sekondari Kisungu, Hawa wameficha japo kwa uchache eneo dogo tu aidha Watu wasifanye njia, ama macho ya wapita njia na...
  7. N

    Tunafunga uzio wa umeme (Electric fence)

    ELECTRICAL FENCE SPECIAL OFFER (19,000/= per meter) fungiwa electrical fence kwa 19,000/= kwa mita moja, gharama iyo inajumuisha vifaa vyote vinavyotumika na ufundi, bei iyo ni kwa eneo la kuanzia mita 70 kuendelea, tunafanya kazi mikoa yote popote pale tunakufikia mteja, wahi sasa. Piga...
Back
Top Bottom