Balozi anasema usafiri wa kwenda na kurudi upo. Hivyo anatafuta watu wa kujaza magari ya kwenda kwenye ufunguzi wa kampeni ccm kuelekea uchaguzi mkuu wa oktoba.
Wakazi wa dar es salaam mmekumbana na hali hii kama huku kwetu?
Kila hotuba za wanaotuongoza utawasikia wanajitapa mradi huu chini ya mama.samia umekuza biashara kwa asilimia 120% au utakuza uchumi kwa 180%.
Ili mradi tu uongo uongo na kuwahadaa watanganyika.
Inasikitisha zaidi pale wanapo jifanya kama.hawaoni uhalisia.
Ipo shida kwenye usimamizi wa hiyo...
eneo kubwa la bandari kavu ya kwala ni pori tu, limejaa nyasi tu, ila wamejenga kisehemu cha kuwekea hayo ma container kidogo sana, halafu rais ndio anaenda kukizindua,
why wasijenge mpaka bandari kavu ikakamilika ndipo wakamuita rais akazindue ?
Akizungumza na Nipashe, Mwenyekiti Mstaafu wa CHADEMA amesema amehudhuria uzinduzi wa Dira ya Taifa 2050 kwa kuwa alipokea mualiko wa kuhudhuria. Pia amesema wakati wa mchakato wao kama chama walitoa mawazo yao hivyo ni sahihi kwa wao kuiangalia kama waliyopendekeza yamezingatiwa.
Hii mada nimeamua kuileta kwenye jukwaa hili baada ya tafakuri ya muda mrefu.Baada ya tafakuri nimeitimisha kama ifauatavyo.
1.Kuruhusu kelele mahali panapohitaji utulivu ni ukusefu wa userious kwenye mambo yenye umuhimu mkubwa sana kwa taifa letu.
2.Kupiga kelele kipindi viongozi wanautubia...
Wakuu
====
Ni kweli? baada ya Rais Samia kushiriki kwenye uzinduzi wa mahema ya kanisa la Mwamposa Askofu Gwajima alitoa hii kauli inayosema "Mwamposa ni msaliti mimi nimefungiwa yeye anamkaribisha Rais kwenye uzinduzi wa mahema yake"
Naomba kufahamu ukweli wa jambo hili.
Wakuu!
Nimewaletea hapa picha ya Bendi ya Jeshi la Polisi Tanzania (brass band) na wenyewe wameshiriki uzinduzi Kanisa la Nabii na Mtume Boniface Mwamposa.
Leo mtoto hatumwi dukani. Wote tunaelekea KAWE kwenye uzinduzi wa Hema la uponyaji. Karibuni Wagombea (waliochukua fomu) wote.
https://www.youtube.com/watch?v=pAiducssxYs
Leo tarehe 19/6/2025 inafanyika uzinduzi mkubwa Wa Kihistoria,Hapo awali ilionekana kama jambo haliwezekani lakini kwa juhudi zake lilianza na hatimae leo linazinduliwa, wakati wa mchakato wa ujenzi wake lilijulikana kwa jina lake, lakini Wiki chache kabla ya uzinduzi wake Tumesikia halitajwi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuzindua daraja la Kigongo- Busisi (KM 3) juu ya Maji linalounganisha wilaya za Misungwi na Sengerema ifikapo tarehe 19 Juni, 2025.
Taarifa hiyo imetolewa na Abdallah Ulega (MB) Waziri wa Ujenzi wakati akizungumza...
WANAMICHEZO WANAENDELEA KUWASILI VIWANJANI UZINDUZI WA UMITASHUMTA & UMISSETA 2025
OR-TAMISEMI
Wanamichezo kutoka mikoa mbalimbali wanaendelea kuwasili katika viwanja vya Kichangani Manispaa ya Iringa kwa ajili ya ufunguzi rasmi wa Mashindano ya UMITASHUMTA & UMISSETA 2025.
Ufunguzi huo...
Wakuu
Uzinduzi wa C4C ya CHAUMMA Mwanza, Uwanja mweupe hakuna watu, yaani kuna bodaboda tu ambao ni kama wamewekewa mafuta ya bure.
Maandalizi yakiendelea katika uwanja wa Furahisha kikundi Mwanza.
Uzinduzi wa kampeni hiyo utafanyika baadae leo na kisha itapelekwa katika mikoa mbalimbali kwa...
Leo tarehe 3/6/2025 ndiyo siku ile iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu! Siku ambayo huko Jijini Mwanza Chaumma mpya itazindua kampeni kabambe ya C4C huku chopa ikiwa pembeni ikisubiri kukata upepo kuanza safari ya mikoa 16 mingine.
Watanzania wote tunasubiri kwa hamu habari moto moto kutoka kwa...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila ametoa wiki mbili kwa wafanyabiashara ndogondogo walio katika barabara za kuingia soko kuu la Kariakoo kuondoka.
Hatua hiyo inakuja ikiwa ni kuelekea ufunguzi wa soko hilo, lililokuwa katika ukarabati tangu Julai 10, 2021 baada ya kuungua...
Wanabodi
Niko hapa hoteli ya Four Points by Sheraton jijini DSM kuwaletea uzinduzi wa muongozo mpya wa ufanyaji biashara wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi (NEEC) ili Kurasimisha Biashara Ndogo Ndogo na Biashara ZIsizo Rasmi za Sekta Binafsi.
Karibuni
Paskali
https://www.youtube.com/live/jE6G8dBC6Hc?si=9somVYCO5gxYAzyS
Waliopo:-
Viongozi wa ngazi za juu wa Kanisa Katoliki: Makardinali, Maaskofu, na viongozi wengine wa kidini kutoka sehemu mbalimbali duniani.
* Wawakilishi wa serikali mbalimbali: Marais kama VP JD Vance (USA), Zelenskyy (Ukraine)...
https://www.youtube.com/live/IKo0vWFgOXo?si=VROW5KWJw-PEMKcw
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC), leo Mei 5, 2025 kimezindua ripoti ya hali ya haki za binadamu nchini kwa mwaka 2024.
Ripoti hiyo imezinduliwa Jijini Dar es Salaam ikiwa ni ripoti ya 23 tokea walipoanza utaratibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.